kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Haya wale wanaopenda majina, chukua hiloOreshnik, kombora jipya la Putin!
Oreshnik mwenyewe huyu hapa:
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859567946768494788
Oreshnik hazuiliki!
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859559709088338319%5B/UR
ππ Aisee kazi ipo
Nimejiuliza kwanini atumie ICBM wakati Iskander zinafika na kupiga vizuri.
Kumbe...
View: https://x.com/gbrumfiel/status/1859632881292714242?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1859632881292714242%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Sawa picha zitakuja soonIs
Islander huwezi kuilinganisha na haya matoi waliyorusha Leo,ukiangalia majengo yaliyoshambuliwa huwezi amini ni intercontinental missiles imeshambulia..,imezdiwa hata na artillery shell ,kama Kuna mtu haamini haya akashuudie Al Jazeera wakionyesha picha za majengo yaliyoshambuliwa
Nami nilitaka kuhoji kwanini anampiga Ukraine na sio West na NATO ambao aliwatolea uvivu?Na hapo ndugu yangu wala sio majibu ya ujinga waliofanya wa kupiga ndani ya Urusi.
Majibu yanajadiliwa.
Pengine hili lilikua ni onyo,majibu yanaandaliwa ili kukomesha kabisa tabia hiyo.
Majibu ya ujinga huo hayatakua kwa Ukraine TU,Bali hata kwa wafadhiri wake.
Kama mnaona natania mtaona.
Urusi hua hawakurupuki.
Hawa ni wamagharibi:Wewe ni nani?Jamaa Hana Cha kufanya zaidi ya kutamba na hizo intercontinental missiles
Na wewe ni Mr MjuajiWaelimishe wewe basi,maana Kila siku unajinasib humu kuwa wewe una akili sana.
Lakini tukikuuliza utupe materials unabaki kukosoa. TU,kwa kifupi wewe mwenzetu ni Mr Misifa.
... yaani hujaelewa tu kwamba sasa hivi unatakiwa uwe unasali kuiombea Dunia ivuke huu mtihani?Afanye kweli,red lines zote zimeshavukwa.
Apige kweli sasa, kila siku mikwara tuAfanye kweli,red lines zote zimeshavukwa.
Vile vipicha walivyoonyeasha Al jazeela ni za nyumba ambazo zilikuwa mbali sana na sehemu vyuma vilivyotua tena zilidondokewa na missile ambazo zilijaribu ku intercept yale Madude ya Putin.Braza yale madude mfano yakilipuka Kimara watu wa Mlandizi kinyesi kinawatokaSawa picha zitakuja soon
Kati ya Ukraine na Vietnam ni nchi ipi ndogo kieneo na kichumi? Kati ya Afghanistan na US/Russia ni nchi ipi ndogo kieneo, kichumi na kitechnologia?Hawa jamaa wanajipigia Ngoma na kucheza wenyewe,kanchi kadogo kama Ukraine kanamtoa urusi kamasi Miaka mitatu Sasa, alafu unakuta mtu anakomaa kutetea nchi dhaifu namna hii πππ
Yaani una uwezo wa kummaliza adui yako una kaa nae siku 1000? Hizi ni swaga za kujitetea Putin is a loser objective zake zote zimefeli, is loser big lozaaaaa
Unajua dhumuni la uvamizi?Yaani una uwezo wa kummaliza adui yako una kaa nae siku 1000? Hizi ni swaga za kujitetea Putin is a loser objective zake zote zimefeli, is loser big lozaaaaa
Hii kihasibu imekaaje?Ukraine intercepted 12 of the 3 missiles launched...π€£
STFU... yaani hujaelewa tu kwamba sasa hivi unatakiwa uwe unasali kuiombea Dunia ivuke huu mtihani?
PATHETIC!