LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Is

Islander huwezi kuilinganisha na haya matoi waliyorusha Leo,ukiangalia majengo yaliyoshambuliwa huwezi amini ni intercontinental missiles imeshambulia..,imezdiwa hata na artillery shell ,kama Kuna mtu haamini haya akashuudie Al Jazeera wakionyesha picha za majengo yaliyoshambuliwa
 
Sawa picha zitakuja soon
 
Na hapo ndugu yangu wala sio majibu ya ujinga waliofanya wa kupiga ndani ya Urusi.
Majibu yanajadiliwa.

Pengine hili lilikua ni onyo,majibu yanaandaliwa ili kukomesha kabisa tabia hiyo.
Majibu ya ujinga huo hayatakua kwa Ukraine TU,Bali hata kwa wafadhiri wake.
Kama mnaona natania mtaona.
Urusi hua hawakurupuki.
Nami nilitaka kuhoji kwanini anampiga Ukraine na sio West na NATO ambao aliwatolea uvivu?
Binafsi majibu haya kwa Ukraine bado sijayafurahia ila nasubiri jibu kwa NATO roho ipoe.
 
Jamaa Hana Cha kufanya zaidi ya kutamba na hizo intercontinental missiles
Hawa ni wamagharibi:Wewe ni nani?

Russian-fired missile 'not ICBM', US official says​

We reported earlier on claims by Ukraine that Russia hit the city of Dnipro with what appeared to be an intercontinental ballistic missile (ICBM).

Ukraine says Russia struck it with 'new' missile; claims it was an ICBM are disputed​

Mwenye mali yake:​

Putin says Russia fired medium-range missile at Ukraine, not an ICBM​

Hawa jamaa wanajipigia Ngoma na kucheza wenyewe,kanchi kadogo kama Ukraine kanamtoa urusi kamasi Miaka mitatu Sasa, alafu unakuta mtu anakomaa kutetea nchi dhaifu namna hii 🏃🏃🏃
Kati ya Ukraine na Vietnam ni nchi ipi ndogo kieneo na kichumi? Kati ya Afghanistan na US/Russia ni nchi ipi ndogo kieneo, kichumi na kitechnologia?
 
Screenshot_20241122_042913_Chrome.jpg
plan ilikuwa kulimaliza Ukraine kwa siku-kuo milioni tu. Hatima zimekuwa simu 1000 😂😂😂
 
Back
Top Bottom