Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Usikute hata hajawahi kuwinda ndege Kwa kutumia manati Kwa maana hata Teknolojia ya manati haijui😂😂😂🤣🤣Huyu ndio Mtanzania sasa ,yaani anajua yote kuhusu technolojia ya kijeshi ya Urusi zaidi hata ya NATO wanavyoijua Russia, anakuambia Russia hata technolojia yakuzuia ICBM ,sasa kama ni hivyo Russia mpaka sasa NATO wangekuwa wameshaichakaza vya kutosha Russia.
NATO wanaitana kila siku jinsi yakumkabili Russia, Bomu la juzi media zote kubwa wanarijadili ,viongozi na makamanda wakuu wakijeshi wanalijadiri uhatari wake ,lakini yupo Mtanzania mmoja ambae nchi yake hata kutengeneza kijiko haiwezi anakuambia Russia haina jipya 😀😀😀😀
Watanzania mdomoni niwazuri sana,ukienda nchi za ulaya au Marekani issue za siraha na technolojia huzungumzwa na wataalamu pamoja na wanajeshi or wanajeshi wastaafu ,Ujuaji ndio unaoathiri maendeleo yetu kama nchi. Ndio maana ushauri wa kitaaluma huwa hausikilizwi ila mwanasiasa anayejua tu kusoma na kuandika anasikilizwa
German Defense Minister Boris Pistorius stated that Putin’s invasion of Ukraine has escalated beyond a regional war.⚡German Defense Minister Boris Pistorius:
Russia produces as many weapons and as much ammunition in three months as the entire European Union does in a year.
Hii habari akiiona ndugu yangu T14 Armata anajisikiaje
Yuko kimya anakunywa togwa na ugali wa kisamvu huko geza ulole.Hii habari akiiona ndugu yangu T14 Armata anajisikiaje
Hehehe anapambana mwambaYuko kimya anakunywa togwa na ugali wa kisamvu huko geza ulole.
Hongereni sana. Naona mmeshinda vita