LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
1732531476417.png
 
Huyu ndio Mtanzania sasa ,yaani anajua yote kuhusu technolojia ya kijeshi ya Urusi zaidi hata ya NATO wanavyoijua Russia, anakuambia Russia hata technolojia yakuzuia ICBM ,sasa kama ni hivyo Russia mpaka sasa NATO wangekuwa wameshaichakaza vya kutosha Russia.

NATO wanaitana kila siku jinsi yakumkabili Russia, Bomu la juzi media zote kubwa wanarijadili ,viongozi na makamanda wakuu wakijeshi wanalijadiri uhatari wake ,lakini yupo Mtanzania mmoja ambae nchi yake hata kutengeneza kijiko haiwezi anakuambia Russia haina jipya 😀😀😀😀
Usikute hata hajawahi kuwinda ndege Kwa kutumia manati Kwa maana hata Teknolojia ya manati haijui😂😂😂🤣🤣
 
Ujuaji ndio unaoathiri maendeleo yetu kama nchi. Ndio maana ushauri wa kitaaluma huwa hausikilizwi ila mwanasiasa anayejua tu kusoma na kuandika anasikilizwa
Watanzania mdomoni niwazuri sana,ukienda nchi za ulaya au Marekani issue za siraha na technolojia huzungumzwa na wataalamu pamoja na wanajeshi or wanajeshi wastaafu ,

Huwezi kuona raia wakawaida ukamkuta anachambua siraha kama ICBM ,or anachambua mipango ya kijeshi,

akini njoo hapa Tanzania, mtu anachambua siraha nzito nzito za kivita mpaka mipango ya kijeshi ya NATO na Russia,
Utakuta mwingine anachambua mpaka anafkia stage anakuambia NATO haina kitu kwa Russia, or Russia haina kitu ni dhaifu 🤔🤔🤔🤔, Sasa mwangalie huyo anaesema hivyo ,hata mambo hajawahi kwenda ,yuko maji matitu huko anagombania mwendo kasi yakuja posta 😀😀. ..hatukatai tuna upande kila mtu ana ushabikia kwenye hii vita but tujaribu kuheshimu professionalism,..

NATO wanajua ukubwa wa Russia kivita na Russia anajua ukubwa wa NATO kivita,wanajuana hawa watu vzuri,sababu hata kuanzishwa kwa NATO sababu ni Russia
 
⚡German Defense Minister Boris Pistorius:

Russia produces as many weapons and as much ammunition in three months as the entire European Union does in a year.
German Defense Minister Boris Pistorius stated that Putin’s invasion of Ukraine has escalated beyond a regional war.

Pistorius believes Putin sees himself as victorious in the war and aims to continue fighting to establish a new world order. He noted that Russia has “completely mobilized its economy for war,” producing as much weaponry and ammunition in three months as the entire EU does in a year, Spiegel reports.

Given the persistent threat from Moscow, Pistorius emphasized the need for significant investments in Germany’s military readiness.

“Our security is a fragile commodity,” he warned
1732542728067.jpg
 
Urusi inazidi kuchakazwa 🤩 😍 🤩

Drones operated by Ukraine's military intelligence agency (HUR) hit an oil depot in the western Russian city of Kaluga, a source in the agency told the Kyiv Independent on Nov. 25.
 
The West can supply Ukraine with weapons and humanitarian aid for another 3 years at the expense of frozen Russian assets, — Reuters.
Trump can tell Putin that the West is ready to provide enough additional financial and military support so that Ukraine can hold the front line, and Russia will eventually run out of troops and money, so it is in his interest to negotiate a decent deal now
1732543615026.jpg
.
 
Back
Top Bottom