LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Da, ni hatari sana. Haya mambo ya kubet yamewaharibu sana vijana wengi wa kitz. Ujuaji mwingii na kujifanya wamarekani lakini kumbe upeo ni mdogo sana. Unapoona hata wamarekani na jeuri yao lakini wanatamani vita iishe amani irejee ujue huo mlima wa russia siyo wa kawaida. Watu wenye akili wameshaona hakuna namna ya kumshinda russia kwenye uwanja wa vita zaidi ya kukaa naye mezani tu na kumaliza huu mgogoro
 
Huyu anakumbuka shuka kumekucha!
 
Warusi wa Kibada tukiwaambia Urusi inapigika kirahisi wanakasirika na kutukana.

Russia will fall
 
Warusi wa Kibada tukiwaambia Urusi inapigika kirahisi wanakasirika na kutukana.

Russia will fall
Sio kwamba inapigika kirahisi(Kirahisi) tu hata mkitaka kipapa, kibunge , kisheikh nyie wapigeni tu ...lakini Cha kushangaza vilio vinatokea Kwa mpigaji badala ya mpigwaji ....nasemajeeeeee MKUKI HAUPIGWI KONZI ...... yaani anapigwa Urusi Kilimo Cha maiti na kilio kinatokea Ukraine na wewe unakuja kutamba hapa ...... Haya mmerudisha km ngapi!??....
 
Warusi wa Kibada tukiwaambia Urusi inapigika kirahisi wanakasirika na kutukana.

Russia will fall
Yaani Wewe Unaeishi Kisangwe huko mashenzini una kabando ka jero unatupiga fix hapa si ulete ushahidi ndg zele!! Vita ni ngumu ukitaka kuona ugumu wa Vita muulize Netenyau alisema ataimaliza Hamas na Hizbollah na mateka atawaleta kamuulize mateka wako wapi???
muulize pia hamas imeisha na hizbollah imeisha,?? njoo utujibu..Kama Ulaya nzima inakodi na majeshi mengine imeweka pale dhidi ya nchi moja tu na bado wamepigwa mpaka wanachanganyikiwa sasa nawashangaa mnaosema tofauti..
 
Huyu German akilijenga jeshi kubwa lazima aje alipe kisasi Cha WW2
 
Nilete ushahidi upi tena wakati vyombo vyote vimeripoti kuwa mifumo ghali kabisa ya ulinzi ya Russia- S 400 imepigwa kipigo cha Mbwa koko.
Najua taarifa hizi zinawaumiza sana KUMOYO

Russia is falling
 
Unajisikiaje kuwaita wazazi wako NZI.

Mshamba una laana wewe
 
Laana anazo mamaako....
Hivi Mama yako akiona unajiita Mtoto wa NZI unafikiri atajisikiaje.

Roho mtakatifu ananielekeza nikuambie ulikatae hilo pepo linalokuongoza Kuwaiti wazazi wako hivyo.
Na jinsi hizi jumbe zangu zinavyokukasirisha UJUE SIO WEWE ILA NI HILO LIPEPO LILILOPO NDANI YAKO.

Kwa kuwaheshimu wazazi wako hebu badili hilo neno na UWEKE LENYE KUWABARIKI NA KUWAHESHIMISHA WAZAZI WAKO
 
According to an article by Reuters columnist Hugo Dixon, if Europe allocates $300 billion in frozen Russian assets to Ukraine, it could sustain the war effort and frontline defenses for three more years or help broker a "more favorable" deal with Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…