LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nilete ushahidi upi tena wakati vyombo vyote vimeripoti kuwa mifumo ghali kabisa ya ulinzi ya Russia- S 400 imepigwa kipigo cha Mbwa koko.
Najua taarifa hizi zinawaumiza sana KUMOYO

Russia is falling
Jamaa hawaamini macho Yao🤩😍🤩
 
Kwa upande wangu namuona Putin kama mmoja wa viongozi wastaarabu sana duniani.
Anachokifanya ni kutoa 'onyo' na si kupigana serious kama Ukraine, US na West walivyo na ndo maana bado anaita ni SMO wakati Ukraine na NATO wapo serious 100%.
Tukumbuke kuwa Russia asingeweza kuivamia Ukraine kama si hizo chokochoko za West.
Kwa chokochoko hizi itafikia wakati ustaarabu na uvumilivu utaisha na ndo mwanzo wa vita vikubwa duniani.
Hakuna binadamu duniani aliye mvumilivu muda wote na hapo nadhani NATO wanachokitaka.
Tuendelee kumuombea Putin aendelee kuvumilia usumbufu wa NATO japo ni ngumu kumeza.
 
Nadhani kuna kitu inabidi watu wakielewe, Ukraine juzi walituma drone kabla ya shambulio ya jana na zote zilitunguliwa pale kursk, ina maana air defence missile lazima zilitumika.
Na air defence ina idadi ya makombora, yakitumika ku reload, lazima utumie muda, sasa muda wana reload ndio zikatumwa Atacms sio ishu ya kutokuwa effective, bali saturation attack
Na kama ambavyo nimewahi kusema tutaendelea kushuhudia exchange of missile hapo kursk, ili kuwaokoa askari wa NATO na kuzuia sumy offensive ambayo ni buffer ya kiev.
Pia ukizingatia Urusi anataka kumaliza hapo kursk pia aanzishe kharkiv offensive
 
kujimwambafy
On the night of November 25th, the Armed Forces of Ukraine launched another attack with Western missiles in the Russian rear region. At night, Russian Khalino military airfield in the Kursk region was attacked by ATACMS cluster missiles.

The footage shared online showed the explosions of the M74 munition in the area of the airfield.

Habari kamili hii hapa
====
NATO ikipigwa msiwe mnakimbia jukwaa, hapa jamvini ni mwendo wa Ukweli, msikimbie ukweli.
 
Hii ni jana!

Russian forces continue to make significant tactical advances in western Donetsk Oblast and are coming closer to enveloping Velyka Novosilka and advancing towards important Ukrainian ground lines of communication (GLOCs) supplying the rest of western Donetsk Oblast and running into eastern Dnipropetrovsk and Zaporizhia oblasts.
November 25, 2024, 6:45pm ET


 
Hatimaye wamekiri wenyewe! Mziki mzito!Hii ni leo!

Russia advancing in Ukraine 'at fastest pace since early months of war'​


Russian forces are advancing in Ukraine at the fastest rate since the early months of the war, according to a respected US-based thinktank. Battlefield reports indicate Moscow is edging closer to the key logistics town of Pokrovsk in Donetsk.

Tuesday 26 November 2024 08:17, UK

 
Ninajiuliza tangu Russia ayakamate maeneo mengi ya Ukraine anawezaje kuyathibiti maana ninavyojua inahitajika uwe na Askari wengi sana na vifaa (Manpower). Sasa jamaa kateka eneo kubwa sana la Ukraine na bado tunaambiwa anaendelea kusonga mbele kuchukuwa maeneo mengine zaidi.

Ninaomba wataalamu wa haya mambo mnijuze.

Wale mnaoongozwa na mihemko ya kimapenzi na itikadi MSIJIBU Tafadhali
 
bado tunaambiwa anaendelea kusonga mbele kuchukuwa maeneo mengine zaidi.
Mfano halisi ni hili shambulio linaloandaliwa, angalia hiyo idadi ya askari!

Ukrainian military officials continue to warn of potential Russian ground operations against Zaporizhzhia City, though the timeline and scale of this offensive operation remain unclear .

The Economist
, citing Ukrainian intelligence sources, reported on November 24 that Russian forces are preparing for a future offensive operation with up to 130,000 personnel on Zaporizhzhia City, which is 30 kilometers from the current frontline.

 
Maeneo mengi wanayochukua Urusi , wanaungwa mkono na wananchi wa eneo Hilo mfano Yale majimbo yaliyopiga kura za kujitenga. Utawala huwa Mara nyingi haubadiliki kwa hiyo ni rahisi kwao kuyatawa.
 
Ungekuwa umesomea masuala ya Vita ungejua....
Ila Kwa kukusaidia tu, maeneo mengi ya Donetsk na mikoa Jirani wananchi au wakazi WA maeneo hayo ni Waukraine wenye asili ya Urusi Kwa hiyo Hao ndio wanaosaidia kudhibiti maeneo hayo .
 
Jeshi la Russia ni zaidi ya milioni 1 na mpaka sasa ni vikosi maalum pekee ndivyo vipo vitani.

Ukiondoa vikosi hivyo maalum ndo waja na vikosi maalum vya kutoka Chechen, Wagner, Korea Kaskazini na vingine vidogovidogo yaani Units.

Ukraine hawana idadi kubwa ya jeshi bali wategemea jeshi la kuazima kutoka NATO, Marekani na nchi zingine kama Colombia.

Pale Kurks walokuwa walilinda pale ni wanajeshi wa Korea Kaskazini ndo maana katika makubaliano Korea Kaskazini wakaamua kuongeza idadi ya jeshi lake pale kwani Kurks pia pana mtambo wa Nyuklia ambao kama Ukraine ikiweza kuushikilia (huku ikisaidiwa na vikosi maalum vya NATO) ndo watatumia kufanya mazungumzo mara Trump atapoingia White House.

Kosa kubwa ambalo Ukraine wamefanya ni kutuma vikosi vyake maalum na vingi kwenda Kurks, kosa ambalo ni kiufundi ni twasema ni "moment of brilliance lakini kistratejia twasema ni "strategic catastrophic", kwani kitendo hichi walokifanya Ukraine kiliacha sehemu kubwa ya upande wa Mashariki ambao ndo Russia amekuwa akiukamata bila shida na vikosi vilivyopo pale havina ujuzi wowote ni wale wanookotwa mitaani na mavan.
 
Updates: Idara ya Ujasusi wa ndani ya Russia FSB yamfukuza jasusi wa Uingereza na pia kumwita (summon) balozi wa Uingereza Moscow Nigel Casey aende wizara ya ulinzi ya Russia.

FSB wamedai jasusi huyo alikuwa akijishughulisha na ujasusi ndani ya Moscow.

Jasusi huyo alipelekwa Moscow mwezi August kuziba nafasi ya maofisa sita ambao walifukuzwa na Russia kwa madai ya kufanya ujasusi nchini humo.

Video chini balozi Casey akiwasili kwenye ofisi za wizara ya mambo ya nje ya Russia.


View: https://t.me/tass_agency/287422
 

Hii habari imeshakuwa zilipendwa bibie,tuletee nyingine za Moto 🏃🏃
 
"It is wiser not to wait, but to hit launchers in Russia, if Russia attacks us. A combination of high-precision strikes is needed that will disable the systems that are used to attack us, and we must strike first," — Admiral Rob Bauer
 
Nilete ushahidi upi tena wakati vyombo vyote vimeripoti kuwa mifumo ghali kabisa ya ulinzi ya Russia- S 400 imepigwa kipigo cha Mbwa koko.
Najua taarifa hizi zinawaumiza sana KUMOYO

Russia is falling
Acha uongo.Hakuna ATACAM wala STORM SHADOW nyingine yeyote iliyotumika tena baada ya ile ya majuzi.Athatri za ORISHNIK ni kubwa sana kuliko unavyofikiria,Achana na fake news sitarajii kama UKRAINE atatamani tea lile bomu litumwe kwake.SI umesikia Keith Starmer baada ya lile bomu kajiwahi kwamba wao hawako vitani na RUSSIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…