LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwahyo Kiev alienda kufuata nini? Acha kujikosha, lini Urusi iliondoa wanajeshi wake Kiev kupisha mazungumzo? Utakuwa na utindio wa ubongo kama huamini Urusi ilichezea kichapo kule Kiev na ushahidi wa wanajeshi na vifaru vilivyochomwa upo
 
😁😁😁😁
 
🤣🤣🤣🤣 Kaogopa Yule Jamaa dahh kaona uingereza patafuka moshi nchi itageuzwa majivu
 
🤣🤣🤣
 
Kwahyo Kiev alienda kufuata nini?
Habari za Asubuhi Mkuu. Umeamkaje? Huko poa kabisa kabisa ama ni WA moto moto. ???

Karibu Tena kwenye uzi huu tuendelee kuelimika. Watu wa hapa ni peace sana.

Kwa taarifa yako tu, uzi uhuu una views zaidi ya million kumi. Views kwa hapa inamaanisha watu waliopitia uzi huu. Na idadi hii ya views si kwa bahati mbaya bali ni kutokana na umuhimu wa uzi huu wenyewe unaotoa habari za ukweli zaidi. Idadi ya views itumike kukuamsha na ujiandae vema!

Ebu fikiria watu wooote hawa wakuone umeamka na unapiga stori Mtaani mida ya saa Tano Asubuhi lakini hujanawa uso Wala kupiga Maswali unajisikiaje? Kama ni mtu mwenye kujithamini utu wako utajisikia ovyo.

Ni kwa mfano huo huo hapo juu, basi utumike kukupa hamasa ya kuleta habari zilizonawa uso kabla ya kupiga stori Mtaani.

Sasa tupe habari za Frontline,😂😂😂😂😂
 
Kimewaka huko!

Air alert across Ukraine as Russia launches 'massive' attack on country's power grid​





View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1862022990013100143


View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1862022536063484130
 
North Korea to supply more ballistic missiles to Russia — U.S. envoy

North Korea is preparing to transfer additional ballistic missiles to Russia, according to Robert Wood, the U.S. Deputy Permanent Representative to the United Nations.

“Pyongyang has already delivered over 100 missiles and more than 18,000 containers of ammunition and equipment to Russia,” Wood stated. “Now, the DPRK is preparing to send an even larger number of ballistic missiles.”

The diplomat also revealed that North Korean-made 170-mm long-range self-propelled guns are increasingly being deployed in the war.

 
Siyo Kiev tu, Russia anaitaka Ukraine yote. Ni resistance ya wa Ukraine ndo imefanya hali iwe hivi ilivyo.
Haya ni mawazo yako na utashi wako juu yakupambanua vitu na kuvielewa,Russia angetaka Ukraine asingeshindwa kuichukua ,Russia anataka kuchukua Ukraine mshariki na sababu mbili tu ,

1.ukanda wa mshariki wa Ukraine wakazi ya hayo maeneo more than 70% wana asili ya urusi ,nandio kwa miaka nenda rudi serikali ya kyiv ilikuwa imewatenga nakuwanyanyasa kwasababu ya tu asili yao ya Russia, Russia anayataka hayo maeneo ili kuwakomboa na unyanyasaji wa muda mrefu wa kyiv .

2.sababu nyingine nikwanini Russia anataka kuchukua hayo maeneo ni issue ya kiusalama zaidi sababu mashiriki ya Ukraine ndio mpaka wa Russia na Ukraine ilipo ,so anaongeza buferzone ,
 
Haya ni mawazo yako pia.
- Ukraine haijawahi kuwanyanyasa raia wake, anatafuta usalama wake dhidi ya urusi, chokochoko za Russia dhidi ya Ukraine ndo sababu. Russia hataki Ukraine inayofungamana na magharibi.
 
Mh,hapa huyu mzee kamaanisha nini??

Putin says Russia could target 'decision-making centres' in Kyiv over use of Western weapons​


Russia is selecting targets in Ukraine that could include "decision-making centres" in Kyiv in response to Ukrainian long-range strikes on Russian territory with Western weapons, Vladimir Putin has said.

 
Kwahyo Kiev alienda kufuata nini? Acha kujikosha, lini Urusi iliondoa wanajeshi wake Kiev kupisha mazungumzo? Utakuwa na utindio wa ubongo kama huamini Urusi ilichezea kichapo kule Kiev na ushahidi wa wanajeshi na vifaru vilivyochomwa upo
Hapa ndio utajua unajibizana na jiwe, bupuru tupu, debe tupu kama hata hili hajui unadhani atakuelewa. Mwache na ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…