much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kivipi wakati anakalia majimbo mengi zaidi ya Ukraine?Huyu fala Putin vita ilishamshinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi wakati anakalia majimbo mengi zaidi ya Ukraine?Huyu fala Putin vita ilishamshinda.
Hata israhell inaizidi Ghaza kila kituUrusi iiangushe marekani wakati Jimbo moja tu la Texas linaizidi Urusi kwa kila kitu
Kwahyo Kiev alienda kufuata nini? Acha kujikosha, lini Urusi iliondoa wanajeshi wake Kiev kupisha mazungumzo? Utakuwa na utindio wa ubongo kama huamini Urusi ilichezea kichapo kule Kiev na ushahidi wa wanajeshi na vifaru vilivyochomwa upoLini Russia ilisema inaichukua Kiev? Hata hivyo, walishaingia Kiev muda mfupi tu walipoanzisha SMO, lakini wakaondoa askari wao na mizinga kwa good Faith ili kupisha mazungumzo ya amani yaliyokuwa yanaendelea Uturuki!!! Bahati mbaya mazungumzo yalivunjika wakati wameisha ondia vikosi vyao vyote!
Tuulizane kwanza. Ulianza kufuatilia kwa umakini habari za SMO Toka lini?
😁😁😁😁Lini Russia ilisema inaichukua Kiev? Hata hivyo, walishaingia Kiev muda mfupi tu walipoanzisha SMO, lakini wakaondoa askari wao na mizinga kwa good Faith ili kupisha mazungumzo ya amani yaliyokuwa yanaendelea Uturuki!!! Bahati mbaya mazungumzo yalivunjika wakati wameisha ondia vikosi vyao vyote!
Tuulizane kwanza. Ulianza kufuatilia kwa umakini habari za SMO Toka lini?
🤣🤣🤣 Wasianze kusema kwamba Russia anaua watu hovyo oohh anatumia silaha nzito nzitoNi kweli wamekiri na wamesema wanaandaa majibu. Ila kusiwe na malalamiko.
🤣🤣🤣🤣 Kaogopa Yule Jamaa dahh kaona uingereza patafuka moshi nchi itageuzwa majivuAcha uongo.Hakuna ATACAM wala STORM SHADOW nyingine yeyote iliyotumika tena baada ya ile ya majuzi.Athatri za ORISHNIK ni kubwa sana kuliko unavyofikiria,Achana na fake news sitarajii kama UKRAINE atatamani tea lile bomu litumwe kwake.SI umesikia Keith Starmer baada ya lile bomu kajiwahi kwamba wao hawako vitani na RUSSIA.
🤣🤣🤣Sio kwamba inapigika kirahisi(Kirahisi) tu hata mkitaka kipapa, kibunge , kisheikh nyie wapigeni tu ...lakini Cha kushangaza vilio vinatokea Kwa mpigaji badala ya mpigwaji ....nasemajeeeeee MKUKI HAUPIGWI KONZI ...... yaani anapigwa Urusi Kilimo Cha maiti na kilio kinatokea Ukraine na wewe unakuja kutamba hapa ...... Haya mmerudisha km ngapi!??....
Habari za Asubuhi Mkuu. Umeamkaje? Huko poa kabisa kabisa ama ni WA moto moto. ???Kwahyo Kiev alienda kufuata nini?
Wajinga acha yawakute
Haya ni mawazo yako na utashi wako juu yakupambanua vitu na kuvielewa,Russia angetaka Ukraine asingeshindwa kuichukua ,Russia anataka kuchukua Ukraine mshariki na sababu mbili tu ,Siyo Kiev tu, Russia anaitaka Ukraine yote. Ni resistance ya wa Ukraine ndo imefanya hali iwe hivi ilivyo.
Haya ni mawazo yako pia.Haya ni mawazo yako na utashi wako juu yakupambanua vitu na kuvielewa,Russia angetaka Ukraine asingeshindwa kuichukua ,Russia anataka kuchukua Ukraine mshariki na sababu mbili tu ,
1.ukanda wa mshariki wa Ukraine wakazi ya hayo maeneo more than 70% wana asili ya urusi ,nandio kwa miaka nenda rudi serikali ya kyiv ilikuwa imewatenga nakuwanyanyasa kwasababu ya tu asili yao ya Russia, Russia anayataka hayo maeneo ili kuwakomboa na unyanyasaji wa muda mrefu wa kyiv .
2.sababu nyingine nikwanini Russia anataka kuchukua hayo maeneo ni issue ya kiusalama zaidi sababu mashiriki ya Ukraine ndio mpaka wa Russia na Ukraine ilipo ,so anaongeza buferzone ,
Hapa ndio utajua unajibizana na jiwe, bupuru tupu, debe tupu kama hata hili hajui unadhani atakuelewa. Mwache na ujingaKwahyo Kiev alienda kufuata nini? Acha kujikosha, lini Urusi iliondoa wanajeshi wake Kiev kupisha mazungumzo? Utakuwa na utindio wa ubongo kama huamini Urusi ilichezea kichapo kule Kiev na ushahidi wa wanajeshi na vifaru vilivyochomwa upo