LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mikwara gani wakati tuliona wote humu wakati watu wanafumuliwa na Oreshnik
 
Putin is Russia's most failed politician, thanks to him, NATO has expanded to 32 members, Russia gained 2500 kilometers of border with NATO and now? Cyprus officially declares its intention to apply to join NATO, becoming the 33rd country of the Western Alliance.
 
Kwa mara ya kwanza tangu vita ianze warusi zaidi ya elf mbili wamechinjwa ndani ya siku Moja 🤔😢🤔😢🤔😢
 
In an interview with The Telegraph's Ukraine: The Latest podcast on Nov. 28, former British Prime Minister Boris Johnson said that any possible ceasefire should involve a European peacekeeping mission including British forces to defend the front line.
 
Nchi ipo mashariki ya kati huko, inahusiana vipi na Russia sphere of influence?

Hawa jamaa wamepakana na Uturuki, Ugiriki na Misri.

Ila utamaduni wao ni wa kigiriki na orthodox churches.

Hawa wakijiunga hakuna athari yoyote kwa Urusi.
 
Responsible leader hawezi kuanzisha vita na jirani yake Ili kujitanua zaidi na kumega ardhi yake.
RUSSIA anajilinda na NATO ambao wametangaza kuisambaratisha URUSI.Ukitaka kuona kama huu ni uchokozi dhahiri USA wana kitu inaitwa MONROE DOCTRINE hii kitu inasema USA haitakubali taifa lolote kubwa kuweka kambi ya kijeshi au makombora kwa jirani yeyote wa USA.Kwa ufupi kitendo cha kuajribu hivyo kwao USA ni tangazo la vita. Hali kadhalika RUSSIA anayo position kama hiyo kwa majirani zake.UKRAINE kapata alichokitengeneza yeye mwenyewe.Juzi alihojiwa Angel Merkel anasema 2014 walisaini MInsk agreement iliyosema NATO haitosogea UKRAINE, ili wapate muda tu wa kujenga jeshi la UKRAINE. Nia yao ikiwa kuitumia UKRAINE kuisarambatisha RUSSIA.
+
+
+
 
Ukrainian armored personnel carrier “Oncilla-Shturm” approved for operation — Ministry of Defense

The “Oncilla” APC will be produced in several modifications. Its key characteristics include:
• Crew: 3 personnel plus 6 gunners
• Range: Over 700 km
• Features: Equipped with a powerful turbodiesel engine, automatic transmission, automatic tire inflation, fire extinguishing system, and air conditioning
• Armor: Capable of withstanding small arms fire, shrapnel, and explosions
• Armament: Fitted with a remotely controlled combat module featuring a large-caliber machine gun

 
On the night of November 29, Ukrainian forces struck an oil depot in Russia's Rostov region and destroyed a radar for the Buk-M3 air defense system used by Russian invaders.
 
Huyo unaemfafanulia utakesha nae nakuambia!
 
Kale kamama nilikuwa nakaona kiongozi wa maana kumbe kapumbavu.
 
Haya madai sio yakweli, Finland ni jirani wa Urusi kama ilivyo kwa Ukraine na Wana mpaka mkubwa mno na Urusi, kwanini Urusi hajaivamia na ni mwanachama wa NATO?
Hiyo ni tamaa ya Putin kutaka kunyakuwa ardhi ya Ukraine hasa kinu cha nyuklia na miji mingine yenye utajiri
 
FInland hakuwa NATO.,kaomba kujiunga 2023 baad ya ushakunaku wa UK.Ila sasa hivi anajutia maana kikiwaka yeye ndio kawa chambo.RUSSIA hakuwahi kuelekeza makombora ya NUKLIA kwa FINLAND.Hakuwa hostile neighbor kwake.Ila alipoamua tu kujiunga na mashoga,hali yake imebadilika.Kwa sasa kuna makombora yanamuangalia yenye uwezo wa kuifanya nchi yake majivu within minutes.Sasa jiulize wewe hali ipi ilikuwa bora ile ya kuwa neutral au hii ya sasa?
 
General Keith Kellogg, nominated by U.S. President-elect Donald Trump to become a special envoy for Ukraine and Russia, says he is ready to secure peace through force.

"I am honored by Donald Trump's appointment to serve as Assistant to the President and Special Envoy for Ukraine and Russia. It was the privilege of my life working for President Trump, and I look forward to working tirelessly to secure peace through strength while upholding America’s interests. I am ready with the commitment and dedication it deserves," Kellogg said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…