FafanuaTurkey amechomoa betri huko Syria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FafanuaTurkey amechomoa betri huko Syria.
Fafanua mkuu.Turkey amechomoa betri huko Syria.
Mikwara gani wakati tuliona wote humu wakati watu wanafumuliwa na OreshnikMzee wa mikwara!
Oreshnik missiles could be used to strike Kiev – Putin
The Russian military is selecting targets in Ukraine for further possible strikes using the country’s new Oreshnik hypersonic ballistic missiles, President Vladimir Putin warned on Thursday.
![]()
Oreshnik missiles could be used to strike Kiev – Putin
Russian President Vladimir Putin has warned of possible strikes in Ukraine using the new Oreshnik hypersonic missilewww.rt.com
Nchi ipo mashariki ya kati huko, inahusiana vipi na Russia sphere of influence?Putin is Russia's most failed politician, thanks to him, NATO has expanded to 32 members, Russia gained 2500 kilometers of border with NATO and now? Cyprus officially declares its intention to apply to join NATO, becoming the 33rd country of the Western Alliance.View attachment 3165038
Hahahaahaa. 😀😀😀😀😀🤣🤣🤣 jinga sanaWamesema tu " YANGA BINGWA" basi
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
RUSSIA anajilinda na NATO ambao wametangaza kuisambaratisha URUSI.Ukitaka kuona kama huu ni uchokozi dhahiri USA wana kitu inaitwa MONROE DOCTRINE hii kitu inasema USA haitakubali taifa lolote kubwa kuweka kambi ya kijeshi au makombora kwa jirani yeyote wa USA.Kwa ufupi kitendo cha kuajribu hivyo kwao USA ni tangazo la vita. Hali kadhalika RUSSIA anayo position kama hiyo kwa majirani zake.UKRAINE kapata alichokitengeneza yeye mwenyewe.Juzi alihojiwa Angel Merkel anasema 2014 walisaini MInsk agreement iliyosema NATO haitosogea UKRAINE, ili wapate muda tu wa kujenga jeshi la UKRAINE. Nia yao ikiwa kuitumia UKRAINE kuisarambatisha RUSSIA.Responsible leader hawezi kuanzisha vita na jirani yake Ili kujitanua zaidi na kumega ardhi yake.
Russia haikuanzisha vita sababu ya kujitanua na kuchukua ardhi bali kuzuia Ukraine kujiunga na NATO
Huyo unaemfafanulia utakesha nae nakuambia!RUSSIA anajilinda na NATO ambao wametangaza kuisambaratisha URUSI.Ukitaka kuona kama huu ni uchokozi dhahiri USA wana kitu inaitwa MONROE DOCTRINE hii kitu inasema USA haitakubali taifa lolote kubwa kuweka kambi ya kijeshi au makombora kwa jirani yeyote wa USA.Kwa ufupi kitendo cha kuajribu hivyo kwao USA ni tangazo la vita. Hali kadhalika RUSSIA anayo position kama hiyo kwa majirani zake.UKRAINE kapata alichokitengeneza yeye mwenyewe.Juzi alihojiwa Angel Merkel anasema 2014 walisaini MInsk agreement iliyosema NATO haitosogea UKRAINE, ili wapate muda tu wa kujenga jeshi la UKRAINE. Nia yao ikiwa kuitumia UKRAINE kuisarambatisha RUSSIA.
+
+
+
Kale kamama nilikuwa nakaona kiongozi wa maana kumbe kapumbavu.RUSSIA anajilinda na NATO ambao wametangaza kuisambaratisha URUSI.Ukitaka kuona kama huu ni uchokozi dhahiri USA wana kitu inaitwa MONROE DOCTRINE hii kitu inasema USA haitakubali taifa lolote kubwa kuweka kambi ya kijeshi au makombora kwa jirani yeyote wa USA.Kwa ufupi kitendo cha kuajribu hivyo kwao USA ni tangazo la vita. Hali kadhalika RUSSIA anayo position kama hiyo kwa majirani zake.UKRAINE kapata alichokitengeneza yeye mwenyewe.Juzi alihojiwa Angel Merkel anasema 2014 walisaini MInsk agreement iliyosema NATO haitosogea UKRAINE, ili wapate muda tu wa kujenga jeshi la UKRAINE. Nia yao ikiwa kuitumia UKRAINE kuisarambatisha RUSSIA.
+
+
+
Haya madai sio yakweli, Finland ni jirani wa Urusi kama ilivyo kwa Ukraine na Wana mpaka mkubwa mno na Urusi, kwanini Urusi hajaivamia na ni mwanachama wa NATO?RUSSIA anajilinda na NATO ambao wametangaza kuisambaratisha URUSI.Ukitaka kuona kama huu ni uchokozi dhahiri USA wana kitu inaitwa MONROE DOCTRINE hii kitu inasema USA haitakubali taifa lolote kubwa kuweka kambi ya kijeshi au makombora kwa jirani yeyote wa USA.Kwa ufupi kitendo cha kuajribu hivyo kwao USA ni tangazo la vita. Hali kadhalika RUSSIA anayo position kama hiyo kwa majirani zake.UKRAINE kapata alichokitengeneza yeye mwenyewe.Juzi alihojiwa Angel Merkel anasema 2014 walisaini MInsk agreement iliyosema NATO haitosogea UKRAINE, ili wapate muda tu wa kujenga jeshi la UKRAINE. Nia yao ikiwa kuitumia UKRAINE kuisarambatisha RUSSIA.
+
+
+
FInland hakuwa NATO.,kaomba kujiunga 2023 baad ya ushakunaku wa UK.Ila sasa hivi anajutia maana kikiwaka yeye ndio kawa chambo.RUSSIA hakuwahi kuelekeza makombora ya NUKLIA kwa FINLAND.Hakuwa hostile neighbor kwake.Ila alipoamua tu kujiunga na mashoga,hali yake imebadilika.Kwa sasa kuna makombora yanamuangalia yenye uwezo wa kuifanya nchi yake majivu within minutes.Sasa jiulize wewe hali ipi ilikuwa bora ile ya kuwa neutral au hii ya sasa?Haya madai sio yakweli, Finland ni jirani wa Urusi kama ilivyo kwa Ukraine na Wana mpaka mkubwa mno na Urusi, kwanini Urusi hajaivamia na ni mwanachama wa NATO?
Hiyo ni tamaa ya Putin kutaka kunyakuwa ardhi ya Ukraine hasa kinu cha nyuklia na miji mingine yenye utajiri