LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Bwashee hao Pro NATO wahajielewi wamechanganyikiwa na ukijumlisha na zile sarakasi za Oreshnik siku chache zilizopita wamevurugwa hata uwaelezee vipi hawatakuelewa
 
Hao waasi 2000 waliochomwa ni lini hiyo na kivipi. Fafanua
Militia walifanya suprise attack Syria mji wa Aleppo na kichukua baadhi ya maeneo, hao wanatokea mpakani na Turkey na qako funded western.
Nadhani western ni kuleta panick kwa Urusi ukizingatia Syria haitakiwi kutoka chini ya Sphere of influence ya kremlin
Alichofanya Mrusi muamkia jana na leo ni a very serious air attack
 
Ushawahi kujiuliza US anatafuta nn ndani ya Ukraine Mpaka anakubali kuwekeza Billion dollars kwenye vita? Ushawahi kujiuliza anafaidika vipi na hiyo vita? Ushawahi kujiuliza atarudisha vipi gharama za walipa kodi wake?
 
JNIM terrorists display Ukraine flag after ambushing Malian soldiers and Wagner troops in Mali. The three men whose faces were blurred are likely Ukrainian. Remember that the Ukrainian government confessed to supporting the attack.
 

Attachments

  • 18928782_gdgtjprxcaeqna9_jpeg8aae5b207f3b0bec4335f7fc9cad3a30.jpeg
    82 KB · Views: 4
Waasi anao wasapoti zaidi ya 2000 wamechea kiberiti
Turkey shida wanataka kula kote kote, ila alichofanya mrusi kule angekifanya ukraine, nadhani vita ingekuwa imeisha
Unachokisema ni sahihi

β€ΌοΈπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΎThe Russian Ministry of Defense made the first statement about the offensive of terrorists in Syria
β–ͺ️Syrian troops, with the support of the Russian Aerospace Forces, have killed over 400 militants of the Jabhat al-Nusra (HTS)* group over the past 24 hours, attacking the positions of Syrian government troops in the provinces of Aleppo and Idlib, said Oleg Ignasyuk, deputy head of the Russian Central Military Command in Syria .
 

Attachments

  • 18929108_20241129073228_jpeg4f003c4847c700c9e1d223ae132c13d3.jpeg
    102.5 KB · Views: 4
  • 18929107_20241129073244_jpegbe09c18852b8e8fc5984cf101b1af67d.jpeg
    155.2 KB · Views: 5
  • 18929106_20241129073240_jpegf24fd64261d47e9d133c3b75d5c6f491.jpeg
    162.1 KB · Views: 4
  • 18929105_20241129073218_jpegd80c3945956082e53e9f52c978f8e9b3.jpeg
    107.5 KB · Views: 4
Make unoccupied Ukraine part of NATO to stop 'hot phase' of war, Zelenskyy says.

Zelenskyy appears to blink first, and Putin will make the most of it.

After being locked in a months-long stand-off over how the war ends, Zelenskyy appears to have blinked first, giving his clearest indication yet that Ukraine could be willing to cede territory (albeit not legally) in a peace deal
 
West wanajaribu kila njia maana front line hali ni mbaya,
Pokrovsk mrusi bado km 30 aikamate City center bado yupo outskirt, kutoka hapo kwenda Dnipro ni 180 km, maana yake anaenda kutokea kwa nyuma Zaporizhia. Hii mana yake Ukraine anatakiwa afanye counter haraka asije akawa outflanked nyuma.
Maana yake ni lazima wampunguze kasi na nguvu kwa divert attention kwenye strategic area nyingine kama Syria, hii gambling
Na bila kusahau Dnipro ni mji mkubwa wa viwanda and well fortified, na kinu cha Nyuklia, west wanataka mji usianguke, Urusi anataka auchukue kabla ya january 6. Ngoja tuone
 
Kufuatia mahojiano ya leo, wachambuzi wanasema mchekeshaji kakubali yaishe!

Analysis: Land is important to Ukraine, but it's the people that make up the country​


"The reason he's reaching this point is that while land is important to a nation like Ukraine, it's actually the people that make up the country," says Ramsay.

"And the simple fact is, he's losing so many young men fighting, huge numbers of the population have left the country.

 
Wachambuzi wanaendelea...........

Analysis: Zelenskyy seems to be hinting at possibility of talks with Russia​

Eighteen months ago the Ukrainian leader told Sky's Kay Burley he had no interest in talking with Putin for peace talks.

Today he had this to say to Sky's Stuart Ramsay:

"To talk just for talk, just for ambitions of Putin. Now, I think it's it's not smart. So we need to be in the position of strong position. And if we will be in strong position, you will hear us."

 
Wachambuzi wanasema kuwa kwa haya mahojiano ya leo mshindi ni:

Analysis: Zelenskyy appears to blink first, and Putin will make the most of it​


I think Vladimir Putin will be a happy man tonight following this interview.

As a man who doesn't like to back down, the Russian president will view this as a psychological victory.

The same goes for Zelenskyy's comments about being more afraid of losing people than land.

 
Finland alishadundwa mwaka 1939
Matokeo ya Vita ni Soviet union kushinda na kujinyakulia maeneo.
Tuliongeza eneo kule St Petersburg Ili pawe salama.
Kama ulikuwa hujui, fahamu hilo
 
Ukraine will never be allowed into NATO nor should it. It will never be able to defend itself or contribute to its own defense. This was a senseless war started by the industrial military complex and the Democrats so they get longer their money and take their kickbacks. What a waste of life and treasure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…