Waasi anao wasapoti zaidi ya 2000 wamechea kiberitiTurkey amechomoa betri huko Syria.
Turkey shida wanataka kula kote kote, ila alichofanya mrusi kule angekifanya ukraine, nadhani vita ingekuwa imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waasi anao wasapoti zaidi ya 2000 wamechea kiberitiTurkey amechomoa betri huko Syria.
Hao waasi 2000 waliochomwa ni lini hiyo na kivipi. FafanuaWaasi anao wasapoti zaidi ya 2000 wamechea kiberiti
Turkey shida wanataka kula kote kote, ila alichofanya mrusi kule angekifanya ukraine, nadhani vita ingekuwa imeisha
Likizo imeanza..Haya ni mawazo yako pia.
- Ukraine haijawahi kuwanyanyasa raia wake, anatafuta usalama wake dhidi ya urusi, chokochoko za Russia dhidi ya Ukraine ndo sababu. Russia hataki Ukraine inayofungamana na magharibi.
Bwashee hao Pro NATO wahajielewi wamechanganyikiwa na ukijumlisha na zile sarakasi za Oreshnik siku chache zilizopita wamevurugwa hata uwaelezee vipi hawatakuelewaFInland hakuwa NATO.,kaomba kujiunga 2023 baad ya ushakunaku wa UK.Ila sasa hivi anajutia maana kikiwaka yeye ndio kawa chambo.RUSSIA hakuwahi kuelekeza makombora ya NUKLIA kwa FINLAND.Hakuwa hostile neighbor kwake.Ila alipoamua tu kujiunga na mashoga,hali yake imebadilika.Kwa sasa kuna makombora yanamuangalia yenye uwezo wa kuifanya nchi yake majivu within minutes.Sasa jiulize wewe hali ipi ilikuwa bora ile ya kuwa neutral au hii ya sasa?
Militia walifanya suprise attack Syria mji wa Aleppo na kichukua baadhi ya maeneo, hao wanatokea mpakani na Turkey na qako funded western.Hao waasi 2000 waliochomwa ni lini hiyo na kivipi. Fafanua
Ushawahi kujiuliza US anatafuta nn ndani ya Ukraine Mpaka anakubali kuwekeza Billion dollars kwenye vita? Ushawahi kujiuliza anafaidika vipi na hiyo vita? Ushawahi kujiuliza atarudisha vipi gharama za walipa kodi wake?Haya madai sio yakweli, Finland ni jirani wa Urusi kama ilivyo kwa Ukraine na Wana mpaka mkubwa mno na Urusi, kwanini Urusi hajaivamia na ni mwanachama wa NATO?
Hiyo ni tamaa ya Putin kutaka kunyakuwa ardhi ya Ukraine hasa kinu cha nyuklia na miji mingine yenye utajiri
Unachokisema ni sahihiWaasi anao wasapoti zaidi ya 2000 wamechea kiberiti
Turkey shida wanataka kula kote kote, ila alichofanya mrusi kule angekifanya ukraine, nadhani vita ingekuwa imeisha
West wanajaribu kila njia maana front line hali ni mbaya,Unachokisema ni sahihi
‼️🇷🇺🇸🇾The Russian Ministry of Defense made the first statement about the offensive of terrorists in Syria
▪️Syrian troops, with the support of the Russian Aerospace Forces, have killed over 400 militants of the Jabhat al-Nusra (HTS)* group over the past 24 hours, attacking the positions of Syrian government troops in the provinces of Aleppo and Idlib, said Oleg Ignasyuk, deputy head of the Russian Central Military Command in Syria .
Finland alishadundwa mwaka 1939Haya madai sio yakweli, Finland ni jirani wa Urusi kama ilivyo kwa Ukraine na Wana mpaka mkubwa mno na Urusi, kwanini Urusi hajaivamia na ni mwanachama wa NATO?
Hiyo ni tamaa ya Putin kutaka kunyakuwa ardhi ya Ukraine hasa kinu cha nyuklia na miji mingine yenye utajiri
NATO wamechinjwa elfu 10000 Kwa siku mojaKwa mara ya kwanza tangu vita ianze warusi zaidi ya elf mbili wamechinjwa ndani ya siku Moja 🤔😢🤔😢🤔😢View attachment 3165043