Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
Comment yake ina namna ya ukweli...maelfu Kwa maelfu ya Askari WA Ukraine wanakimbia Vita..wengine. Kwa miguu misituni...wengine Kwa pikipiki, wengi wao wamevua uniform...Yaani duh..Bora umetupa matango pori ,tuchangamshe jukwaa mkuu
Russia's leadership has dismissed General Sergei Kisel
Hamna kitu hapoComment yake ina namna ya ukweli...maelfu Kwa maelfu ya Askari WA Ukraine wanakimbia Vita..wengine. Kwa miguu misituni...wengine Kwa pikipiki, wengi wao wamevua uniform...Yaani duh..
Hiyo Idlib inaenda kukombolewa soon.Russian, Syrian jets intensify bombing of Syria's rebel-held northwest
AMMAN, Dec 1 (Reuters) - Russian and Syrian jets struck the rebel-held city of Idlib in northern Syria on Sunday, military sources said, as President Bashar al-Assad vowed to crush insurgents who had swept into the city of Aleppo.
December 1, 20248:17 PM GMT+3
Hata hazo ni propaganda hivi watu laki 6 unawajua kweli ww?Kipanya hamaanishi wote hao Zaid ya laki 6 wamekufa bali ni jumla ya waliokufa na kujeruhiwa kiasi kwamba huwez tena kurud uwanja wa mapambano,kwenye vita mwanajeshi akipata majeraha makubwa anahesabika kama hafai tena kimatumizi
Kwa hiyo nyie mkipiga Nuclear mtahamisha majengo ya New York na Washington kwenda Mars sio?? Ili Nuclear za Russia zisiyapige!!!The US Reveals the Aftermath of a Nuclear Strike on Moscow
The American publication Newsweek has analyzed the potential consequences of a US nuclear strike on Moscow. Historian and nuclear technology expert Alex Wellerstein used modeling to demonstrate the extent of destruction caused by the detonation of the US's most powerful nuclear bomb, the B-83. The scenario assumes an airburst at 3.3 km, deemed the most likely attack method on a major city.
Key Consequences:
Fireball (radius 4.1 km): Complete vaporization due to temperatures reaching millions of degrees.
Blast Wave (175 km²): Building destruction and massive fires.
Thermal Radiation (546 km²): Severe burns causing disability.
Shockwave Damage (1385 km²): Broken windows and injuries even tens of kilometers away.
Casualties
The strike could result in 1.37 million fatalities and 3.75 million injuries, considering Moscow's population density (10.2 million).
Experts emphasize that such a scenario illustrates the catastrophic consequences of a nuclear conflict. Any nuclear blackmail by Russia could provoke a US response, potentially obliterating key cities and The regim itseView attachment 3167121.View attachment 3167121
Wanatoka Nduki balaa