Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Tunachangamsha jukwaa mkuuWadau niwaombe kama hamna updates za uwanja wa vita basi tusubiri hadi zitakapopatikana. Sasahivi thread hii imekuwa mbaya kwasababu ya kuweka mastori tu ya kufikirika na chambuzi ndeeeeeeeeeeeefu zisizo na maana.
Tunachangamsha jukwaa mkuuZumaridi likubwa wewe?
Sawa mkuu😂😂😂Tunachangamsha jukwaa mkuu
Kwa kuwa umesema hoja yako imejikita katika biblia,basi ungetoa na hizo Aya zinazoelezea unabii huo.Vinginevyo unapoteza watu na wewe mwenyewe unajipoteza pia.Ni kweli NATO itaendelea kuwepo ila USA kuanguka hapo umedanganywa.Ukihitaji msaada wa Aya zinazoelezea unabii wa suku za mwisho ntafute inboxWanaodhani kuna super power mwingine ataibuka zaidi ya NATO kuitawala Dunia siku zijazo hasomi bibilia na tayari maandalizi ya NATO yamekamilika kwa asilimia kubwa.Ukisoma danieli sura ya 8 yote utapata majibu,Marekani itaangamia katika harakati za kuisimamisha NATO , Russia na China wataangamizwa kabisa na umoja wao utapotezwa kabisa,yataibuka mataifa manne ambayo ndiyo yatakua nguzo ya NATO kwa wakati huo mataifa hayo yatakua German,UK, Italy na France wakati huo USA itakua imeangamizwa katika vita kubwa baina ya NATO na mataifa yatakayoongozwa na Russia na China ,ila NATO itaibuka mshindi katika vita hivyo huku ukiwa imempoteza baba Yao mpendwa U.S.A maana atakua ameangamizwa vibaya ,China na Russia nazo zitafutiliwa mbali ,uchumi wa Dunia utaanguka vibaya,mamilion ya binadamu wataangamia kutokana na silaha nzito zitakazotumika kipindi hicho, NATO itakuja kuangamizwa na Yesu tuu pekee ,hakuna tena utawala utakaotawala baada ya NATO ,zaidi ya ufalme wa mbinguni.mwenye ufahamu na afahamu
Naunga mkono hoja hawa majamaa washenzi sana wanajuanaJuzi kwenye mahojiano Babu lavrov alisema majaribio ya silaha hiyo ilikuwa ni alarm kwa watu wa upande wa pili, aliendelea kusema alarms Ile mpaka muda huu imepokelewa kwa tahadhari nzuri ya kukiepuka kikombe cha jahannam.
Nikaunganisha nukta, kwa siku za karibuni mabwana wale hawajarusha hata jiwe mitaa ya URUSI.
nikabaki kucheka na kusikitika.
Hawa wajinga wawili bado wanawasiliana na wao ndio watakaoamua ni lini vita hii itakwisha na kipigo gani kitolewe kwa adui mpuuzi.
🇺🇸 na 🇷🇺 ni wanakharamu.
Infact pamoja na vikwazo vyote vya NATO lengo la Russia linaenda kutimia.Zelensky analilia misaada ya silaha,wenye nazo wamechoka ama wameishiwa ama hawataki kumpa kwa kuona hazisaidii kitu.
Zelensky ‘doesn’t understand’ Western reluctance to provide Patriots
The Ukrainian leader has complained about dwindling donations from foreign arms donors
Ukrainian leader Vladimir Zelensky has questioned Western arms donors for failing to meet his demands for air defense systems.
Officials in Kiev have been complaining for months that Western nations are not giving Ukraine enough arms to successfully oppose Russia, both on the battlefield, where the Ukrainian army is in retreat, and in defending critical locations from long-range strikes.
“Frankly speaking, I sometimes don’t understand this. Everyone knows that 10 to 12 additional Patriot systems will ensure life for us and make the war meaningless for [Russian President Vladimir] Putin,” he claimed on Tuesday.
The remarks came during a meeting with the leader of the Socialist-Democratic faction in the European Parliament, MEP Iratxe Garcia.
US pays $20 billion into Ukraine loan fundRead more US pays $20 billion into Ukraine loan fund
Zelensky was referring to the US-made MIM-104 Patriot long-range missile system, which is one of the most advanced and costly military capabilities donated to Ukraine by its Western backers.
Labda mkuu maana kila mtu ana wazi lakeBiblia inasema mfalme wa kaskazini ataiangamiza babeli. Ule Mji mkuu,mama wa machafuko ya ulimwengu
Sawa mkuu nilikua nachangamsha jukwaa ntakuchekKwa kuwa umesema hoja yako imejikita katika biblia,basi ungetoa na hizo Aya zinazoelezea unabii huo.Vinginevyo unapoteza watu na wewe mwenyewe unajipoteza pia.Ni kweli NATO itaendelea kuwepo ila USA kuanguka hapo umedanganywa.Ukihitaji msaada wa Aya zinazoelezea unabii wa suku za mwisho ntafute inbox
Nimesoma kwenye Website ya Russia ya RT wamesema 2 zimezuiwa na 4 masalia yake yamepiga katika majengo na kujeruhi watu kadhaa wakiwemo wanajeshi.Atacms fired into Russia, one again:
All six atacms targeting the Taganrog airfield, were intercepted.
Urusi na Marekani hawana kujuan hivyo.Naunga mkono hoja hawa majamaa washenzi sana wanajuana
Nimesoma kwenye Website ya Russia ya RT wamesema 2 zimezuiwa na 4 masalia yake yamepiga katika majengo na kujeruhi watu kadhaa wakiwemo wanajeshi.