LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kumbe kulikua Kuna mazungumzo nyuma ya pazia

Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
Kilichonistusha hapa ni kwamba Russia baada ya kusema hivyo wakamlizia kwamba "Russia 🇷🇺 haikuhusika na hayo mazungumzo"
Jaribu tu kuunganisha dot kiutuuzima utaelewa
 
Nimescreenshoot twiti ya Rais wa Ukrein kuwa mpaka Sasa Kuna casuality ya watu 700000 kwa jeshi la Urusi huku 198000 ndo wamekufa kati Yao.
Ijapokuwa ni taarifa ya upande mmoja lakin ni kigezo kimojawapo Cha wale watu wanaotudanganya hum kuwa wanajeshi wa Urusi zaidi ya laki 7 wamekufa.
 
Attachments

  • Screenshot_20241209-174036.jpg
    Screenshot_20241209-174036.jpg
    434.5 KB · Views: 3
Kumbe kulikua Kuna mazungumzo nyuma ya pazia

Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
Kuna mchezo mkubwa umefanyika
Si bure israel kushambulia ghafla syria
 
Attachments

  • ins_link_DDXMbvQPneF_1733771352793.mp4
    2.4 MB
Kumbe kulikua Kuna mazungumzo nyuma ya pazia

Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
Ok, aim of Russia to restrict gas pipeline from Qatar to Europe ndio maana akamsaidia Assad kijeshi I do believe they negotiated with new regime with same contract otherwise will be disaster for Putin
 
Embu fafanua kuhusu hiyo route ya bomba la mafuta linapitaje hapo Syria kutokea Qatar.
Au vinginevyo, west wachukue syria na Urusi amege Ukraine,
Nachoona Syria kutakuwa na force 3/4
U.S, Israel na west,
Militia ambao wanaweza ku side na Urusi na Iran. Maana Iran anajua amebaki yeye tu pale kati ambaye kwa public anaonekana Anto U.S, na Israel,
Na Turkey, maana hawezi kukubali wale kurds wamsumbe maana anajua ni bomu la U.S na Israel dhidi yake. Najua atakuwa amajifunza kutoka walionguka
 
Nafikiri hawa jamaa nyuma ya pazia walikuwa wanatuchezea mchezo.Mchezo unaelekea kuisha.
Win win situation ndiyo inayoendelea sasa hivi.

West :Russia achia mashariki ya kati.

Russia:West niachieni maeneo ya Ukraine.

Wote: Ok,tumekubaliana!

'Ukraine are on the verge of collapse'

Russia's spy chief Sergei Naryshkin also said his country was close to achieving its goals in Ukraine.

"We are close to achieving our goals, while the armed forces of Ukraine are on the verge of collapse," Mr Naryshkin claimed.

Dah! Watu wanajua kupika propaganda aisee 🙌🙌🙌
 
Russia is evacuating its forces from Syria as one of its military bases comes under siege, Kyiv’s military intelligence agency (HUR) reported on Dec. 10.
 
Erdogan usnitch unaenda kubackfire,
Alikuwa ana wasaliti Russia na Iran pale Syria, ila pia hakuwa royal kwa U.S
U.S kwa kulijia hili wakawa wanawatumia kurds kama laverage, now Syria imeanguka waasi wa kurds watakuwa free kukiwasha dhidi ya Turkey. U.S wanasema turkey akianzisha mashambulizi dhidi ya kurds wanamlima sanction.
Ndoto yake ya kuwa oil hub kwa kuchukua maeneo yenye mafuta Syria na Iraq yanakufa.
Hii inaenda kuwa kisu kooni kwa Edorgan kotekote kaaribu
 
Natamanj hii itokee ili hata bomba lile la isreli la mafuta alifunge kabisa ili wanyukane wao kwa wao
Kuna mchezo mkubwa umefanyika
Si bure israel kushambulia ghafla syria
Netanyahu akisikia kauli kama hii huwa anapanic sana anaweza kumalizia stock ya mabomu hapo Syria
 
Back
Top Bottom