D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Juzi kwenye mahojiano Babu lavrov alisema majaribio ya silaha hiyo ilikuwa ni alarm kwa watu wa upande wa pili, aliendelea kusema alarms Ile mpaka muda huu imepokelewa kwa tahadhari nzuri ya kukiepuka kikombe cha jahannam.Baada ya Oreshnik na kuranda randa kwa drone juu ya US base kule UK, matumizi ya ATACMS na storm shadow yamekuwa prohibited
Nikaunganisha nukta, kwa siku za karibuni mabwana wale hawajarusha hata jiwe mitaa ya URUSI.
nikabaki kucheka na kusikitika.
Hawa wajinga wawili bado wanawasiliana na wao ndio watakaoamua ni lini vita hii itakwisha na kipigo gani kitolewe kwa adui mpuuzi.
🇺🇸 na 🇷🇺 ni wanakharamu.