LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Unataka kubishana na waziri wa ulizinzi wa UK? kama hukubaliani nae basi fanya ku google hata kidogo
View attachment 3171268

Chimba data​

Total strength of UK Forces​

All trained and untrained personnel​

Total strength of UK Forces​

All trained and untrained personnel​

By this measure, the strength of the UK Forces was 183,230 personnel as of 1 April 2024, according to the latest figures. This is a decrease of 3.0% since 1 April 2023.

Broken down by force type, there were 37,780 personnel in the Royal Navy (including the Royal Marines), 110,300 in the Army and 35,140 in the RAF (these figures, and those cited below, have been rounded, so don’t always add up to the precise total)

Source: Ministry of Defence statistics • Chart created on 12 June 2024.
Read the article on fullfact.org.
 
Tatizo ni askari wa ASSAD hawatai kupigana na Hizbullah walikuwa backup kubwa, Russia anamsaidia air force tu land force anatakiwa jeshi la serikali. Serikali ya Assad inaenda kuanguka na nimeikia watoto na mke wameshaondoka Syria
Watu walipambana kwa ajili yake ila mwisho wa siku akaona watu wajinga.muache apambane na hali yake😂😂
 
Chimba data​

Total strength of UK Forces​

All trained and untrained personnel​

Total strength of UK Forces​

All trained and untrained personnel​

By this measure, the strength of the UK Forces was 183,230 personnel as of 1 April 2024, according to the latest figures. This is a decrease of 3.0% since 1 April 2023.

Broken down by force type, there were 37,780 personnel in the Royal Navy (including the Royal Marines), 110,300 in the Army and 35,140 in the RAF (these figures, and those cited below, have been rounded, so don’t always add up to the precise total)

Source: Ministry of Defence statistics • Chart created on 12 June 2024.
Read the article on fullfact.org.
Tatizo hawa West wa Sumbawanga ni wabishi sana. itu viko wazi wao wanabisha. Ogopa sana mtu kulishwa matango pori akashiba. yaani wanaamini NATO inweza mchakaza Mrusi
 
Kwa hiyo muzee unataka nambia Russia yenye wanajeshi 1.7mlion ,wakapambane na USA, GERMAN,UK,FRANCE, TURKEY, ITALY, AUSTRALIA,SPAIN,POLAND, SLOVENIA, BELGIUM,NOTHELAND, NORWAY, PORTUGAL,SWEDEN,MONTENAGO, CZECH, HUNGRY ,ROMANIA,LUTHANIA, SLOVAKIA,ALBANIA,CROASIA ,MONTENEGRO, NORTH MACEDONIA,LATVIA AND BULGARIA eti Russia hii inayopelekeshwa na Ukraine,Kursk kwenyewe imeshindwa kurudisha inaishia kuomba msaada kwa kiduku unachekesha sana unafaa kuungana na kina joti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We jamaa una hoja za kiccm
 
Kadiri ya France 34 (TV), Zelensky amekiri kupokea fungi kingine la F16 kutoka Denmark.

Na pia, Urusi imejitwalia kijiji huko3 Donbas
 
Kwa hiyo muzee unataka nambia Russia yenye wanajeshi 1.7mlion ,wakapambane na USA, GERMAN,UK,FRANCE, TURKEY, ITALY, AUSTRALIA,SPAIN,POLAND, SLOVENIA, BELGIUM,NOTHELAND, NORWAY, PORTUGAL,SWEDEN,MONTENAGO, CZECH, HUNGRY ,ROMANIA,LUTHANIA, SLOVAKIA,ALBANIA,CROASIA ,MONTENEGRO, NORTH MACEDONIA,LATVIA AND BULGARIA eti Russia hii inayopelekeshwa na Ukraine,Kursk kwenyewe imeshindwa kurudisha inaishia kuomba msaada kwa kiduku unachekesha sana unafaa kuungana na kina joti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Una uhakika hao wote unaowataja Wana Mpango wa kuhitaji kupigana na Urusi? Kwa taarifa yako hakuna nchi hata Moja Ulaya inayotaka ugomvi na Urusi wala yenye hiari ya kuhatarisha mahusiano na Urusi.

Tatizo lipo mahali kwamba karibu nchi zote za Ulaya ni Makoloni ya MAREKANI tangu baada ya vita vya pili vya Dunia. Mwenye kusababisha purukishani kote Dunia ni Joka Jekundu (MAREKANI) kwa maslahi yake.
 
Hapo tuko sawa mkuu ,unajua Russia Ina nguvu ila kupambana na hawa mabeberu aka wana wa yule ibilisi ni swala hata kibibilia halimpi ushindi Russia
 
Vita inaishia kwenye meza ya mazungumzo,
Wakati Urusi anaongeza kasi na anakaribia kuangusha defence line nyingi na zikianguka kasi ya kusonga mbele itakuwa ni kubwa.
kwa ukraine anajitaidi ku defend Urusi asiongeze maeneo, ila changamoto ni manpower na inexperinced soldier, hata backers nao wameanza kuchoka.
Recruit ya mercenaries imeshuka, maana wamegundua hali kwa ground ni tofauti na wengi wamelala mbele.
Askari wanaokuwa mobilised nao wengi wanakimbia
Mkuu ni kwanin urusi ameshindwa kukomboa eneo lake linaloshikiliwa na Ukraine
 
Kwa hiyo muzee unataka nambia Russia yenye wanajeshi 1.7mlion ,wakapambane na USA, GERMAN,UK,FRANCE, TURKEY, ITALY, AUSTRALIA,SPAIN,POLAND, SLOVENIA, BELGIUM,NOTHELAND, NORWAY, PORTUGAL,SWEDEN,MONTENAGO, CZECH, HUNGRY ,ROMANIA,LUTHANIA, SLOVAKIA,ALBANIA,CROASIA ,MONTENEGRO, NORTH MACEDONIA,LATVIA AND BULGARIA eti Russia hii inayopelekeshwa na Ukraine,Kursk kwenyewe imeshindwa kurudisha inaishia kuomba msaada kwa kiduku unachekesha sana unafaa kuungana na kina joti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Akili zako ndogo kwani wanajeshi si wataongezeka tu ..vita vikianza 8russi atakuwa na wanajeshi mil10 ndani ya miezi 10 tu ...tena kama mabomu ya nuke yasipo tumika ndiyo itakuwa hivyo
 
Screenshot_20241208_121037_Chrome.jpg

Usipokuwa na nguvu ziumiazo ni roho za raia wasiojiweza.

Ngoja nipitie tena mahojiano alioyafanya Sergei lavrov hapo juzi baadae nitarudi.
 
Habari za feontline zinatakiwa haraka .Au ugomvi umesuluhishwa. Tunataka nani kampiga nani acheni ngonjera. Hivi wale machampioni wa habari za feont wameenda wapi
BAD NEWS FOR PUTIN- In the direction of Kursk, the Ukrainian Armed Forces counterattacked the Russians during the night and regained control of the villages of Orlivka, Pogrebky and Maryivka-UKRAINE COMMAND.
1733665937458.jpg
 
Back
Top Bottom