HaaahaaaMbona unatufokea kwa kutumia lugha ya huyo huyo Mkoloni ambaye unatunanga naye?
Naunga hoja hii mikono na miguu. Kama Maafisa habari wameshindwa kazi waseme tuwatafute wengine wa kutuhabarisha.
Kabisa. Kwanza hawa wachambuzi wetu wapo kimihemko zaidiTuendelee kutoa habari za mapigo na mwendo Kursk Donestc Na kwingineko hatutaki uchambuzi tutachambua wenyewe
Vita inaishia kwenye meza ya mazungumzo,Facts ziwe za kutosha ndio msingi wa vita sio blahblah. Facts maramani ma video ndio yanatakiwa hapa
Sasa NATO wanasubiri nini kama Ukraine imeishiwa Manpower/Askari. Ni kwanini NATO wasilete Askari wao!? Mfano Marekani alete Askari 100,000, Ufaransa 80,000, UK na Germany kila mmoja 70,000, na vi nchi vingine vichangie kila moja angalau Askari 20,000. Wakifanya hivyo dakika tu wanamuangusha MrusiVita inaishia kwenye meza ya mazungumzo,
Wakati Urusi anaongeza kasi na anakaribia kuangusha defence line nyingi na zikianguka kasi ya kusonga mbele itakuwa ni kubwa.
kwa ukraine anajitaidi ku defend Urusi asiongeze maeneo, ila changamoto ni manpower na inexperinced soldier, hata backers nao wameanza kuchoka.
Recruit ya mercenaries imeshuka, maana wamegundua hali kwa ground ni tofauti na wengi wamelala mbele.
Askari wanaokuwa mobilised nao wengi wanakimbia
Kama Ukraine imeweza kukalia maeneo ya Urusi mpaka leo hii jua Hali kwenye mstari wa mbele ni mbaya kwa pande zote,Sasa NATO wanasubiri nini kama Ukraine imeishiwa Manpower/Askari. Ni kwanini NATO wasilete Askari wao!? Mfano Marekani alete Askari 100,000, Ufaransa 80,000, UK na Germany kila mmoja 70,000, na vi nchi vingine vichangie kila moja angalau Askari 20,000. Wakifanya hivyo dakika tu wanamuangusha Mrusi
Sio draft hilo, kwamba unasukuma tu keteSasa NATO wanasubiri nini kama Ukraine imeishiwa Manpower/Askari. Ni kwanini NATO wasilete Askari wao!? Mfano Marekani alete Askari 100,000, Ufaransa 80,000, UK na Germany kila mmoja 70,000, na vi nchi vingine vichangie kila moja angalau Askari 20,000. Wakifanya hivyo dakika tu wanamuangusha Mrusi
Kweli kabisa,ni fedheha kubwa sana Ukraine kuingia na kuikalia kimabavu ardhi ya "super power" lakini ndio hivo urusi Hana Jinsi.., anafanya kila mbinu Ili kuivua hii aibu lakn chuma kimekwamaKama Ukraine imeweza kukalia maeneo ya Urusi mpaka leo hii jua Hali kwenye mstari wa mbele ni mbaya kwa pande zote,
Waziri wa ulinzi wa UK amewambia wenzie kuwa akiingia kwenye mtanange jeshi lake litakwisha ndani yaa miezi sita kwa kasi ya kipondo anachotoa Urusi. KUmbuka UK in wanajeshi 130,000 tu akitoa 70k atabaki na nini?Sasa NATO wanasubiri nini kama Ukraine imeishiwa Manpower/Askari. Ni kwanini NATO wasilete Askari wao!? Mfano Marekani alete Askari 100,000, Ufaransa 80,000, UK na Germany kila mmoja 70,000, na vi nchi vingine vichangie kila moja angalau Askari 20,000. Wakifanya hivyo dakika tu wanamuangusha Mrusi
Waziri wa UK kasema hayo na wote tumeshuhudia,lkn nakuambia Kuna vi Tanzania havitakubaliana nae kabisa wakati hata kupanda ndege TU kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine havijapanda.Waziri wa ulinzi wa UK amewambia wenzie kuwa akiingia kwenye mtanange jeshi lake litakwisha ndani yaa miezi sita kwa kasi ya kipondo anachotoa Urusi. KUmbuka UK in wanajeshi 130,000 tu akitoa 70k atabaki na nini?
Kama Ukraine imeweza kukalia maeneo ya Urusi mpaka leo hii jua Hali kwenye mstari wa mbele ni mbaya kwa pande zote,
Tatizo ni askari wa ASSAD hawatai kupigana na Hizbullah walikuwa backup kubwa, Russia anamsaidia air force tu land force anatakiwa jeshi la serikali. Serikali ya Assad inaenda kuanguka na nimeikia watoto na mke wameshaondoka SyriaMajeshi ya Assad huko Syria yanaretread kila upande, ni swala la muda tu serikali ya Assad itaanguka,na hili litakuwa dhihirisho tosha kwamba Ukraine ameweza kumpa urusi " homework" ya maana.
N.B,back up ya urusi ndio ilisaidia kwa kias kikubwa sana kumuweka madarakani Assad vita ilipokuwa imechachamaa!
UK Ina wanajeshi 130000 we jamaa unafutiliaga mambo kweli?Waziri wa ulinzi wa UK amewambia wenzie kuwa akiingia kwenye mtanange jeshi lake litakwisha ndani yaa miezi sita kwa kasi ya kipondo anachotoa Urusi. KUmbuka UK in wanajeshi 130,000 tu akitoa 70k atabaki na nini?
Unataka kubishana na waziri wa ulizinzi wa UK? kama hukubaliani nae basi fanya ku google hata kidogoUK Ina wanajeshi 130000 we jamaa unafutiliaga mambo kweli?
Unataka kubishana na waziri wa ulizinzi wa UK? kama hukubaliani nae basi fanya ku google hata kidogo
View attachment 3171268
Watu walipambana kwa ajili yake ila mwisho wa siku akaona watu wajinga.muache apambane na hali yake😂😂Tatizo ni askari wa ASSAD hawatai kupigana na Hizbullah walikuwa backup kubwa, Russia anamsaidia air force tu land force anatakiwa jeshi la serikali. Serikali ya Assad inaenda kuanguka na nimeikia watoto na mke wameshaondoka Syria