Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Wajeda wa kiduku huko Kursk wanavyohaha
Ebwana, Tuliambiwa wameenda kupata uzoefu wa kivitaWajeda wa kiduku huko Kursk wanavyohaha
View attachment 3180114
What is up?Hali ni mbaya RUSSIA
Kwa hiyo wewe na akili zako ulijua wameenda kwa Picnic?Wajeda wa kiduku huko Kursk wanavyohaha
View attachment 3180114
Kwa hiyo majimbo ya Ukraine aliyoyachukua Urusi yamesharudishwa?Urusi hawana jipya wanaloweza kufanya.
Hii vita imewaletea fedheha
Aisee!!Huku ni kujifariji tu, Putin kawa mlenda haswa
Hawawezi kuyarudisha halafu Dubu kawaambia NATO kama vipi West watafuta target Kiev then waweke mifumo ya bora ya ulinzi yote wanayoiamini lakini yeye ataichoma na Oreshnik bila hata ya kubaki uchafuKwa hiyo majimbo ya Ukraine aliyoyachukua Urusi yamesharudishwa?
Ha ha ha ha... nimeipenda hii... Putin the Great.Mzee wa mikwara:Kuhusu Oreshnik:
Putin proposes 'high-tech missile duel' with US in Kyiv
Vladimir Putin has proposed "a high-tech duel" between Russia's new hypersonic ballistic missile and US missile defence systems.
"Let them determine some target for destruction, say in Kyiv, concentrate all their air defence and missile defence forces there, and we will strike there with Oreshnik and see what happens.
"There is no chance of shooting down these missiles," says Putin.
![]()
Ukraine war latest: Rubio accuses Zelenskyy of 'lie' over US guarantees - after Russian port hit by strike
Marco Rubio has accused Volodymyr Zelenskyy of lying. Meanwhile, a Russian port has been hit by a Ukrainian strike, which has limited oil processing. Catch up on the latest below.news.sky.com
Mbona hajachoma hii iliyopo badala yake oreshnik ilienda kulipua choo Cha publicHawawezi kuyarudisha halafu Dubu kawaambia NATO kama vipi West watafuta target Kiev then waweke mifumo ya bora ya ulinzi yote wanayoiamini lakini yeye ataichoma na Oreshnik bila hata ya kubaki uchafu
Israel yupo pale atafanyeje sasa na ni mshikaji wake.Hivi kwa nini Putin anapenda kujificha kwenye hoja ya tumefanikisha lengo letu ,pindi mambo yakimwendea ndivyo sivyo? mfano ishu ya Syria anasema hivi
We came to Syria 10 years ago to prevent a terrorist enclave from being created there," On the whole, we have achieved our goal .Putin said
Watu mna akili ndogo yaani Gaidi akiua Marekani hamsemi Ugaidi hata wewe unauwawa ila sio Rais wa Urusi .Subiri waanze kuwauawa mawaziri na hata huyu kenge mwenyewe zele kwani FSB hawawezi hilo?? Wanaua watu hata London kama hujui.Nimegundua kumbe Ukraine wana uwezo wa kummaliza hata Putin. Ni vile hawataki tu