LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Katafute kazi ya kufanya kama hoja zimekushindwa huna hata aibu kusema Dunia nzima itamshindwa Russia hapo Ukraine ameomba had msaada Iran na n.korea huna hata aibu na wanaokusapot mnalingana ubongo
Jitahidi ukisoma uelewe mkuu.

Nani kasema ikichangiwa na dunia!, nzima ila NATO nauhakika it'll be catastrophe. Hiyo america na ulaya itakua kama sayari ya Mars. The dead planet
 
17 Dec, 2024

Kiev’s troops report abysmal conditions during Kursk incursion – Economist

Ukraine’s Vladimir Zelensky is pushing troops forward despite incurring heavy casualties on Russian territory

Ukrainian forces are complaining about terrible conditions in Russia’s Kursk Region, where they are struggling against the military superiority of their opponents, according to a report by The Economist.

Russia has a “massive” advantage in manpower and military hardware, while Ukrainians are having to endure pest infestations, bad weather, and enemy attacks, the British magazine said on Monday, citing interviews with troops on the ground.

“Rain, slush, snow, cold, mud, beetles, worms, rats, and glide bombs,” an NCO with Ukraine’s 95th Air Assault Brigade said of the situation. “In Kursk, death is always close; it practically holds your hand.”

“Every unit in Kursk has switched to defense,” an artillery commander with the 82nd Air Assault Brigade told the outlet.

Ukrainian journalists working for a local newspaper in the area bordering Kursk Region no longer cover the incursion because they know “too much” to toe the official line that it was “Ukraine’s great and only triumph of 2024,” they told.
 
Mbona unafosi Putin afanye unavyo taka wewe.
Unayajua madhumuni ya security council ya Russia?
Naona Toka Gaza, Lebanon na sasa Syria waarabu wenzio wamepigika unataka kiforce Russia itumie nguvu kubwa?.
Acha Putin afanye kile yeye anaona sahihi kama ni legelege waambie NATO waingie front ndio utajua kwanini NATO inahitaji wanachama zaidi.
Russia hata itengwe na dunia nzima ila ndio taifa ambalo gumu na haliwezekaniki kimedani.

Eti afanye hivi mara vile we unafikiri watu wanaangalia Leo?. Watu wapo kuitazama future unafikiri Iran inashindwa kuingilia ugomvi wa Syria au kuiattack Tena Israel.

Russia is complicated state. Ngoja siku Russia ihisi sasa inaenda kushindwa ndio utajua kwamba kwanini NATO. Wanakaa vikao kujadili kauli za Putin na sio za joice wowowo.

Pia ujue sio kila vita mbabe anashinda nyingine wanashindwa pia ila Hilo lisikufanye ukamchokoza.

Omba sana usije kutokea Russia ikatangaza vita rasmi na taifa lolote sio hiyo SMO.
Mkuu umeongea kwa usahihi sana.Wengi wanataka PUTIN afanye wanayowaza wao kwenye akili zao.Muda umefika sasa mpaka military analyst wa West wamekubali kwamba RUSSIA anapata ushindi mkubwa kwenye uwanja wa vita.Juzi BBC ambalo ni shirika la serikali ya Uingereza limetoa taarifa yao inkionyesha kuwa jeshi la UKRAINE linaelekea kusambaratika wakati wowote, na kwamba RUSSIA is winning.PUTIN hana haja ya kubadili mbinu yake kwa sababu inampa ushindi mkubwa na kupunguza sana idadi ya wanajeshi wake wanaoathirika vitani.Malengo yote ya SMO yanatimizwa kwa nini wapanick.
 
Jamaa umeandika kwa uchungu sanaa, hiyo Russia unayoisifia imeshindwa kuzuia ndege za Ukraine kutamba ndani ya anga lake, yaani no fly zone ndio ije kuitisha NATO!!, kama Russia ina ubavu irushe hata jiwe ndani ya nchi mojawapo ya NATO ndio utaona kile ambacho hukuwahi kukishuhudia maishani mwako!!
 
Endelea kuota ila pamesha kucha.

Unaweza kaniambia muungano imara wa kijeshi wa NATO upo kwa ajili ya opposition gani.

Kwanini wao NATO wanao umia kupigwa Ukraine wasiingize hata askari Moja tu kuonyesha uungaji mkono wao kwa Ukraine.

Unaleta ushabiki maandazi hapa. Mbona waasi mmewasaidia chap wamemtoa Asad nendeni mumsaidie na zelensky hata kuzuia tu makombora.

Na juu ya no fly zone hiyo sio haja ya Russia kwani wao wanaamini zaidi ktk makombora sio ndege uwanja wa vita. Unaweza kuniambiwa wapi na wapi Russia iliweka no fly zone kwenye vita zake?.

Nyie ndio ilimradi umeona ni america basi huna la kuambiwa. Cockap
 
Mkuu umeongea kwa usahihi sana.Wengi wanataka PUTIN afanye wanayowaza wao kwenye akili zao.Muda umefika sasa mpaka military analyst wa West wamekubali kwamba RUSSIA anapata ushindi mkubwa kwenye uwanja wa vita.Juzi BBC ambalo ni shirika la serikali ya Uingereza limetoa taarifa yao inkionyesha kuwa jeshi la UKRAINE linaelekea kusambaratika wakati wowote, na kwamba RUSSIA is winning.PUTIN hana haja ya kubadili mbinu yake kwa sababu inampa ushindi mkubwa na kupunguza sana idadi ya wanajeshi wake wanaoathirika vitani.Malengo yote ya SMO yanatimizwa kwa nini wapanick.
Mi nilicho jidumza ni Hawa wa Russia kufanya kinyume na matarajio ya watu wanakuingiza mkenge ujue wepesi wakufinye.

Kwao hawaoni hatari kurudi nyuma nakukuachia maneno ila mwisho wa siku utajuta Leo hii Kuna wajinga wanaamini Kursk Ukraine itaishikilia bila kujari No supply no retreat no forward. Unazidi kupumguziwa eneo la kujitawala mwisho wa siku mnakuwa katika mzunguko mdogo hamuwezi kufanya lolote mnakwisha.

Muda we unawaza Putin ata kurupuka unamkuta jamaa wala Hana wasiwasi anakufinya mdogomdogo.
 
Sasa hivi Pro NATO wameanza kufurahia ugaidi.
Kwa hiyo Sasa hivi vita ya west dhidi ya ugaidi hapo Tena.
Kwa kawaida ugaidi ni vita ya watu dhaifu.
Ukiona taifa limeanza kutumia ugaidi ujue kwenye uwanja wa mapambano wameshazidiwa.
Kuna muda utafika naamini Dunia nzima itailaani Urusi kwa maamuzi ya yake ya kuogofya.
Urusi inafanya vizuri kwenye uwanja wa vita dhidi ya Ukraine inayopewa Kila aina ya misaada ya silaha kutoka nchi zaidi ya 57.
Ukraine imeishiwa wanajeshi wakubwa,wameandikisha vijana wenye miaka 18 wameisha ,Sasa wanafikiria kuandikisha watoto kuanzia Mika 14,halafu Kun mtu anakuambia Ukraine wanafanya vizuri.
Iko siku watatoa wagonjwa hospitlini wakapigane.

Drafting 14-year-olds won't help Kiev, Putin asserts
The Russian leader said that he has no doubt that the draft age in Ukraine will ultimately be lowered
MOSCOW, December 16.
The situation on the battlefield will not change even if Ukraine lowers the country’s call-up age to 14, Russian President Vladimir Putin said.
 
Endelea kuamini hivyo kwenye mtandao, lakini naimani ndani yako unajua kabisa Russia ikiamua hii hii warfare hakuna kitu kitabaki kime simama hapo Ukraine.

Wapiganaji wa Korea wapo ndani ya ardhi ya Urusi iliyovamiwa na adui. Wanamsaidia rafiki kumtoa adui ndani ya nyumba yake.
Kama ambavyo wa magharibi walivyo ingia ndani ya ukraine kumsaidia zelensky kumuondoa adui nyumbani mwake, kwahiyo Putin aache kulalamika.
 
Jitahidi ukisoma uelewe mkuu.

Nani kasema ikichangiwa na dunia!, nzima ila NATO nauhakika it'll be catastrophe. Hiyo america na ulaya itakua kama sayari ya Mars. The dead planet
Hata kwa hili nakukatalia mkuu kwani NATO hana nyuklia ni kua kwenye vita ya nyuklia wote watajiangamiza sio Russia wala NATO na hakuna anayetaka Hilo litokee
 
Sawa mkuu sisi tuendelee tu kushabikia, wao ndio wanajua wanataka nini.

Tusilete fikra zetu za kikinjeketile kwa wakuu wa dunia. Biden sio mjinga kusema sasa wanaenda kudeal na taifa lenye nguvu kijeshi. Hii ni warning kwamba tucheze kwa steps tusije mkanyaga bouncer.

Swali la msingi ni kwanini Putin hataki kufanya maangamizi hapo Ukraine kama makamanda wake wanavyo taka. Hapa Kuna jambo limejificha na naimani hata NATO wanatamani kulijua ndio maana wanajambisha kutaka kuvuka red line ila wanakumbuka sumu hailambwi.

Mi nitaamini Russia ni mdebwedo siku NATO wakaweka no fly zone Ukraine ama waingize askari wao kwa tangazo rasmi la kwenda kumtoa mvamizi. Hapo nakuhakikishia Mimi najinyonga siku hiyohiyo. OVER
 
Redline ipi ya Putin ambayo aliweka na haijavukwa
 
Unajinyonga siku hiyo hiyo?? aise
 
Jamaa umeandika kwa uchungu sanaa, hiyo Russia unayoisifia imeshindwa kuzuia ndege za Ukraine kutamba ndani ya anga lake, yaani no fly zone ndio ije kuitisha NATO!!, kama Russia ina ubavu irushe hata jiwe ndani ya nchi mojawapo ya NATO ndio utaona kile ambacho hukuwahi kukishuhudia maishani mwako!!
Unataka jiwe lipi
 
Back
Top Bottom