Naheshimu maoni ya Hammaz.
Lakini ukae ukijua pia Kuna Wamarekani wanamlaumu Joe Biden kwa kuendelea kumchokoza Putin kwa kuruhusu makombora ya masafa marefu kupiga ndani ya Urusi.
Nadhani wanajua siku Urusi wakiamua kuweka busara pembeni nadhani wanajua fuka Dunia itakua katika Hali gani.
Utu na busara za Putin wameshazijua na nadhani wanazitimia vibaya,ila siku uvumilivu ukimtoka Nina hakika
hata nafasi hii ya kuandika kwenye mitandao hatutapata.
Wapo wamarekani wengi wanaomlaumu Biden kwa ujinga huu,mmoja wao ni Donald Trump,huyu sio mtu mdogo kwa USA.
Kuna watu wanajua Putin ana busara sio mtu wa mihemko.
Bado Nina Imani kubwa sana na Putin na Nina Imani kubwa sana na jeshi la Urusi.
Nchi moja kukabiliana na nchi zaidi ya 50 na ikiwa imetengwa na vikwazo juu hili sio jambo jepesi.
17 Dec, 00:00
Trump blasts Biden’s permission to use US weapons for strikes inside Russia as 'stupid'
The US President-elect said that nobody asked him to weigh in on the decision
NEW YORK, December 16. /TASS/. US President-elect Donald Trump attacked the current US leader Joe Biden's move to allow deeper missile strikes inside Russia as wrong and stupid.
"I don't think they should have allowed missiles to be shot 200 miles into Russia. I think that was a bad thing," he said at his first news conference since the election win. "That did a lot of bad things."
"I don't think that should have been allowed," Trump went on to say, speaking at his Mar-a-Lago estate in Florida. "Certainly not just weeks before I take over."
"I thought it was a very stupid thing to do," he continued.
The president-elect said he wasn’t asked to weigh in on the decision. Trump said he would have acted differently and could reconsider the decision when he takes office.
Kremlin Spokesman Dmitry Peskov earlier said Trump's statement about the peril of using US long-range ATACMS missiles for deeper strikes inside Russia is fully in line with Moscow's position.
Russian President Vladimir Putin said on November 21 that the US and its NATO allies had announced authorizing the use of longer-range weapons. Following the announcement, US and UK missiles attacked Russian targets in the Kursk and Bryansk regions, according to the president.
Russia responded by firing its newest Oreshnik intermediate-range ballistic missile with a non-nuclear warhead at a Ukrainian defense industry plant called Yuzhmash in the city of Dnepr, Putin said. The Russian president said the West could bring upon itself heavy consequences, should its inflammatory policies prompt further escalation of the conflict.
Nimeiweka hii ya Trump kuonesha kwamba ikiwa Kuna watu wanamlaumu Putin kwa kile wanachokiona ni udhaifu wakati huko Us Trump anamlaumu Biden kwa kuhatarisha usalama wa USA Kwa kuruhusu makombora kurushwa ndani ya Urusi.