LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Suala si taarifa nyingi, suala unao uthubutu wa kufanya?

Nenda kasome cold War uone Nikita Khrushchev alichukua maamuzi gani?

USA wameizingira Cuba na Russia meli yao inapita USA wanaizuia. Makamanda wa Russia wanapewa amri wapite hivyo hivyo na watu wamepita.

Dmitry Anatolyevich Medvedev alitoa misimamo gani wakati hii Operation inaanza? Kwa kuangalia tu unadhani kama angelikuwa rais wa Russia hawa manazi wa Ukraine na West wangethubutu kuichezea Russia kama wakati huu wa Putin?

Ofcourse warusi hawaogopi! Ila Putin ndiye anayeogopa!
Umechambua kisomi kiongozi
 
Uduwanzi kama huu huwezi kusikia NATO waki entertain.

Intuition

Na hiyo ni inside Moscow.

Putin is embarrassingly weak. West wanatageti wata muhimu wa Russia na hakuna kitu Russia anafanya ili waone ni hatari kujaribu tena kitu kama hicho!

Syria washukuru Mungu wameingia makubaliano na magaidi ambao ni vibaraka wa USA, Turkey na Israel n.k

Ambapo mpaka kwa sasa wameachiwa waendelee na makubaliano yao ya base zao kubaki. Hizo base ni njia kuhimu sana kwa Russia kuweza kulinda maslahi yake mashariki ya kati na Afrika.

Ili West wamchanganye Putin wametanua wigo wa matatizo kwa usalama wa Russia: Wametanua Georgia na wakatanua Syria. Kitu ambacho kimemfanya Russia asiwe na uwezo wa kupeleka majeshi yake Syria kwani ubavuni kwake kuna vuguvugu huko Georgia muda si mrefu kunaweza kulipuka na bado anaendelea na SMO yake Ukraine.

Kila mstari mwekundu Putin anaoutamka wanauvuka na Putin yupo kimya anajibu kiuoga.

Nani anayejua sasa hivi watafanya nini? Russia kwa sasa tatizo ni Putin. Ni mlaini sana. Siasa yake na West haina tofauti na CCM na Mbowe.

Hizi kazi za milipuko wanafanya sana M16 na si ajabu idara ya usalama wa taifa wa Ukraine wameshirikiana nao.

Mna kazi ya kung'ang'ania sijui kuna raia jamii ya warusi kule Ukraine na sababu nyenginezo kama hizo!

Ramzan Kadyrov ni nani? Siyo mrusi kwani? Makamanda wake wa kijeshi ni nani kwani siyo Warusi? State of Duma ni nani kwani siyo warusi? Mbona wote walimshauri Putin afanye kama tunachokiona sisi na bado Putin kanywea?

Putin kwa hali iliyofikia sasa hivi kwa usalama wa Russia ni mdhaifu.

Hili ni pigo kubwa kwa Russia.
Lee Van free
 
Mbona unafosi Putin afanye unavyo taka wewe.
Unayajua madhumuni ya security council ya Russia?
Naona Toka Gaza, Lebanon na sasa Syria waarabu wenzio wamepigika unataka kiforce Russia itumie nguvu kubwa?.
Acha Putin afanye kile yeye anaona sahihi kama ni legelege waambie NATO waingie front ndio utajua kwanini NATO inahitaji wanachama zaidi.
Russia hata itengwe na dunia nzima ila ndio taifa ambalo gumu na haliwezekaniki kimedani.

Eti afanye hivi mara vile we unafikiri watu wanaangalia Leo?. Watu wapo kuitazama future unafikiri Iran inashindwa kuingilia ugomvi wa Syria au kuiattack Tena Israel.

Russia is complicated state. Ngoja siku Russia ihisi sasa inaenda kushindwa ndio utajua kwamba kwanini NATO. Wanakaa vikao kujadili kauli za Putin na sio za joice wowowo.

Pia ujue sio kila vita mbabe anashinda nyingine wanashindwa pia ila Hilo lisikufanye ukamchokoza.

Omba sana usije kutokea Russia ikatangaza vita rasmi na taifa lolote sio hiyo SMO.
 
Vita rasmi ni ipi zaidi ya hii? Matumizi ya nuclear??
Kuiita SMO ni arrogance ya wa Russia.
 
Na hiyo ni inside Moscow.

Putin is embarrassingly weak. West wanatageti wata muhimu wa Russia na hakuna kitu Russia anafanya ili waone ni hatari kujaribu tena kitu kama hicho!
kuna siku watatuelewa, subiri mpaka wajinga waondoke na roho ya gerasimov.

RUSSI wamepoteza mtu muhimu sana ila naamini hili litapita kama kawaida.
Watashambulia vyanzo vya nishati kwa siku moja then wanatulia.

Warusi nimewatoa thamani kwenye kulipa kisasi.

Ndugu anayekuletea adui karibu yako huyo ni shetani, putin apunguze utakatifu asiokuwa nao
Screenshot_20241217_194139_Chrome.jpg
 
Suala si taarifa nyingi, suala unao uthubutu wa kufanya?

Nenda kasome cold War uone Nikita Khrushchev alichukua maamuzi gani?

USA wameizingira Cuba na Russia meli yao inapita USA wanaizuia. Makamanda wa Russia wanapewa amri wapite hivyo hivyo na watu wamepita.

Dmitry Anatolyevich Medvedev alitoa misimamo gani wakati hii Operation inaanza? Kwa kuangalia tu unadhani kama angelikuwa rais wa Russia hawa manazi wa Ukraine na West wangethubutu kuichezea Russia kama wakati huu wa Putin?

Ofcourse warusi hawaogopi! Ila Putin ndiye anayeogohapa

Vita rasmi ni ipi zaidi ya hii? Matumizi ya nuclear??
Kuiita SMO ni arrogance ya wa Russia.
Endelea kuamini hivyo kwenye mtandao, lakini naimani ndani yako unajua kabisa Russia ikiamua hii hii warfare hakuna kitu kitabaki kime simama hapo Ukraine.
 
Mbona unafosi Putin afanye unavyo taka wewe.
Unayajua madhumuni ya security council ya Russia?
Naona Toka Gaza, Lebanon na sasa Syria waarabu wenzio wamepigika unataka kiforce Russia itumie nguvu kubwa?.
Acha Putin afanye kile yeye anaona sahihi kama ni legelege waambie NATO waingie front ndio utajua kwanini NATO inahitaji wanachama zaidi.
Russia hata itengwe na dunia nzima ila ndio taifa ambalo gumu na haliwezekaniki kimedani.

Eti afanye hivi mara vile we unafikiri watu wanaangalia Leo?. Watu wapo kuitazama future unafikiri Iran inashindwa kuingilia ugomvi wa Syria au kuiattack Tena Israel.

Russia is complicated state. Ngoja siku Russia ihisi sasa inaenda kushindwa ndio utajua kwamba kwanini NATO. Wanakaa vikao kujadili kauli za Putin na sio za joice wowowo.

Pia ujue sio kila vita mbabe anashinda nyingine wanashindwa pia ila Hilo lisikufanye ukamchokoza.

Omba sana usije kutokea Russia ikatangaza vita rasmi na taifa lolote sio hiyo SMO.
Katafute kazi ya kufanya kama hoja zimekushindwa huna hata aibu kusema Dunia nzima itamshindwa Russia hapo Ukraine ameomba had msaada Iran na n.korea huna hata aibu na wanaokusapot mnalingana ubongo
 
Ukraine's Special Operations Forces killed 50 North Korean soldiers and injured 47 others in three days of fighting in Russia's Kursk Oblast, the unit said on Dec. 17.

The Special Operation Forces published footage of first-person-view (FPV) drones successfully targeting soldiers and equipment on the battlefield.
 
Warussi wanaelewa sana wanachokifanya.
1.Putin angetumia mihemko kuingia Ukraine - kukandamiza kwelikweli yangemtokea puani.Ndo maana hata vita vilovyoibuka palikua na sintofahamu nyingi Urusi na sababu kubwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya warussi na wa-ukraine- uhisiano wa damu, culture etc.kule kukuta mtu ana-ndugu Urussi au Ukraine ni zaidi ya kawaida.Wanajeshi kukuta wana familia huku na huku - kawaida - hapo inabidi utulie kwelikweli ndo maana hatuoni akifanya kama Israel inachokifanya Gaza au Lebanoni
2.Pilli bila shaka anataarifa nyingi kuliko tunavyofikiri - hafanyi maamuzi kwa hisia...taarifa ndo zinafanya wafanye hayo maamuzi.
3.Warussi hawana haraka, wala hawamuogopi US au Ulaya..kama sisi tunavyoogopa - hao wote ni wazungu tu -bara moja - wanajuana - wameishapigana mamia ya vita ni sawasawa na sisi Mkongo kumuogopa Mkenya au Mnamibia kumuigopa Mrwanda..wote waafrika tu kuna vitu wanashare the same kwa hao wazungu.
4.Ukorofi wa Urussi na kuwakazia west umeanza kuzaa matunda..angalia Georgia - ndo kwanza mawesitisha mambo ya EU na wamepata Rais pro Russia, Romania - pro Russia alikia anaenda kushinda - wakatengua matokeo, Slovakia huko Fico prime minister ni pro Russia - walimtwanga Risasi hakufa kaisha-confirm kuwepo red square Moscow may kwenye parade, Ufaransa wanatumia nguvu kubwa sana kumzuia Le pen-ipo siku watajichanganya tu, Germany hali mbaya - deindustrialization - gharama ya uzalishaji kubwa sana - gas..,Croatia wamesema hawana mpango wa kutuma majeshi yao Ukraine na kama vipi Ukraine Igawanywe kama ilivyokua Cheklovakia..etc..
Kuna karata na bomu Russia inalitengeneza Ulaya huko - siku vyama vikilipuka patakua hapakaliki.
Appenda uchambuz wa kutumia skill Kama huu hongera sana hata huko USA Waranza kufunga badhi ya kambi maana Kuhudumia hizo Kama itakuwa ni Mzigo wa we walipa Jodi wa marekani
 
Naheshimu maoni ya Hammaz.
Lakini ukae ukijua pia Kuna Wamarekani wanamlaumu Joe Biden kwa kuendelea kumchokoza Putin kwa kuruhusu makombora ya masafa marefu kupiga ndani ya Urusi.
Nadhani wanajua siku Urusi wakiamua kuweka busara pembeni nadhani wanajua fuka Dunia itakua katika Hali gani.
Utu na busara za Putin wameshazijua na nadhani wanazitimia vibaya,ila siku uvumilivu ukimtoka Nina hakika
hata nafasi hii ya kuandika kwenye mitandao hatutapata.
Wapo wamarekani wengi wanaomlaumu Biden kwa ujinga huu,mmoja wao ni Donald Trump,huyu sio mtu mdogo kwa USA.
Kuna watu wanajua Putin ana busara sio mtu wa mihemko.
Bado Nina Imani kubwa sana na Putin na Nina Imani kubwa sana na jeshi la Urusi.
Nchi moja kukabiliana na nchi zaidi ya 50 na ikiwa imetengwa na vikwazo juu hili sio jambo jepesi.

17 Dec, 00:00
Trump blasts Biden’s permission to use US weapons for strikes inside Russia as 'stupid'

The US President-elect said that nobody asked him to weigh in on the decision

NEW YORK, December 16. /TASS/. US President-elect Donald Trump attacked the current US leader Joe Biden's move to allow deeper missile strikes inside Russia as wrong and stupid.

"I don't think they should have allowed missiles to be shot 200 miles into Russia. I think that was a bad thing," he said at his first news conference since the election win. "That did a lot of bad things."

"I don't think that should have been allowed," Trump went on to say, speaking at his Mar-a-Lago estate in Florida. "Certainly not just weeks before I take over."

"I thought it was a very stupid thing to do," he continued.

The president-elect said he wasn’t asked to weigh in on the decision. Trump said he would have acted differently and could reconsider the decision when he takes office.

Kremlin Spokesman Dmitry Peskov earlier said Trump's statement about the peril of using US long-range ATACMS missiles for deeper strikes inside Russia is fully in line with Moscow's position.

Russian President Vladimir Putin said on November 21 that the US and its NATO allies had announced authorizing the use of longer-range weapons. Following the announcement, US and UK missiles attacked Russian targets in the Kursk and Bryansk regions, according to the president.

Russia responded by firing its newest Oreshnik intermediate-range ballistic missile with a non-nuclear warhead at a Ukrainian defense industry plant called Yuzhmash in the city of Dnepr, Putin said. The Russian president said the West could bring upon itself heavy consequences, should its inflammatory policies prompt further escalation of the conflict.

Nimeiweka hii ya Trump kuonesha kwamba ikiwa Kuna watu wanamlaumu Putin kwa kile wanachokiona ni udhaifu wakati huko Us Trump anamlaumu Biden kwa kuhatarisha usalama wa USA Kwa kuruhusu makombora kurushwa ndani ya Urusi.
 
Kwa data hizi halafu mtu bado anaiona Urusi dhaifu,kweli?
Naomba tuwe tunafanya analysis kisomi jamani.
Na hiyo ni USA peke yake.
what about other western countries

Ukraine: U.S. Military Aid Exceeds Costs of Afghanistan
Defense
by
Martin Armstrong,

Feb 23, 2023
Russia-Ukraine war 2022-2024
Ukraine receives the most military aid from the United States: Since the beginning of the war and as of Jan. 15, 2023, $46.6 billion in financial aid for military purposes has flowed to the country now at war with Russia. When calculating the average annual costs (in 2022 prices) of previous wars in which the United States has been involved in, the true magnitude of the country's Ukraine aid expenditure can be seen. As this infographic shows, the payments to Ukraine have already exceeded the annual military expenditure of the U.S. in the war in Afghanistan from 2001 to 2010. The U.S. military costs in the Vietnam War, the Iraq War and the Korean War were significantly higher - according to calculations by the Kiel Institute for the World Economy as part of its Ukraine Support Tracker.
 
People also ask
How many countries are supporting Ukraine against Russia?
Countries delivering military aid to Ukraine

The aid has mostly been co-ordinated through the Ukraine Defense Contact Group, whose 57 member countries include all 32 member states of NATO. The European Union co-ordinated weapons supplies through its institutions for the first time.
 
🇷🇺🇺🇦 Russian President Putin says the situation on the battlefield will not change, even if Ukraine lowers the mobilization age to 14.

"Lowering the mobilization age to 18 would already be a crime. Reducing it to 14, as in Hitler’s Germany with the creation of the Hitler Youth, would be another crime."
 
May God bless President Putin and Russia with victory over Ukraine and the combined Communist forces of NATO.
Here's some information about aid to Ukraine by country:

United States
The US is the largest provider of military aid to Ukraine, with nearly $183 billion in total funding as of September 30, 2024. Most of this funding supports American industries that produce military equipment and weapons.

Norway
Norway is the biggest supporter of Ukraine as a percentage of GDP, with aid amounting to 1.7% of its GDP.

United Kingdom
The UK has committed £12.8 billion to Ukraine, with £7.8 billion in military support and £5 billion in non-military support.
Other countries
European countries have provided the most total aid to Ukraine, including financial, military, and humanitarian aid. Spain, Belgium, Portugal, Sweden, Norway, and Iceland have all signed 10-year bilateral security cooperation agreements with Ukraine.
You can also donate to Ukraine through private Ukrainian charitable foundations, such as:
 
Back
Top Bottom