ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Niliona mahali Ukraine walifanya shambulio kubwa Kursk ikaja kugundulika baadae walikua wanamkusudia waziri wa ulinzi wa Urusi ambae alikuwepo Kursk siku kadhaa kabla.kuna siku watatuelewa, subiri mpaka wajinga waondoke na roho ya gerasimov.
RUSSI wamepoteza mtu muhimu sana ila naamini hili litapita kama kawaida.
Watashambulia vyanzo vya nishati kwa siku moja then wanatulia.
Warusi nimewatoa thamani kwenye kulipa kisasi.
Ndugu anayekuletea adui karibu yako huyo ni shetani, putin apunguze utakatifu asiokuwa nao
View attachment 3178977
Siamini kama Urusi anashindwa ku target decision makers kadhaa wa Ukraine ili wawe convinced against targeting viongozi ambao hawashughuliki na frontline moja kwa moja.