LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Aisee kumbe leo huko Russia ni vilio tu baada ya jengo refu la ghorofa 37 kupigwa na Drones za Ukraine 🇺🇦. Taifa dogo sana linamuabisha, dhalilisha na kufedhehesha taifa kubwa. Jamani isije ikawa inajirudia ile tuliyoisoma kwenye vitabu vya dini kuwa kijana mdogo jasiri DAUDI analiangusha jitu kubwa sana GOLIATI. Kwa mwenendo huu tunaweza kushuhudia kichwa cha Goliati kikikatwa.

Kwa wenzangu Pro Russia wa Madale na Kigamboni tukubali tu kuwa Russia anapigwa kirahisi tu na hii vita hana mwisho mzuri
Russia ni noma anawatembezea kichapo mataifa zaidi ya 52 ya ulaya na NATO na yametumia kila aina ya silaha walizonazo na bado mkong'oto unaendelea kutembezwa
 
Kama mexico atamkaribisha shida iko wapi?
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nyerere na kaunda wanataka kujenga reli ya TAZARA
nchi za magharibi na marekani walipinga kwamba huo mradi hauwezekani. Wachina wakaijenga hiyo reli.
Miaka ya 90 mrusi akaja na wazo la kujenga chuo mbeya tech. kwa sasa MUST, akaruhusiwa akaendelea na kazi.
Nci za magharibi nadhani walitaka kujua mrusi anafanya nini,wakatoa msaada wa vichwa vya traini kusaidia reli ambayo hapo awali walipinga isijengwe, mbona hawakutulazimisha kumkataa mrusi kwa nguvu,bali walitumia akili kuwa karibu,mrusi anataka kutumia nguvu na nadhani kwa sasa anajutia kimoyo moyo.
Tatizo watoto wa elfu mbili mmejaa kwenye huu Uzi hivi unajua Nini kuhusu Cuba missile crisis?
 
Ni propaganda tu Ukraine ni salama mnoooo.... Hakuna mapigano popote pale ...nchi ni salama ..majimbo yote yapo chini ya utawala wa kyv....
Kaka kuna watu wanatia hasira sana😂😂😂tujaribu kuwapotezea. Akili zao ni stagnant, haziwezi kupokea kitu kipya. So tu waelewe tu, ndio uwezo wao wa kufikiria ulipoishia.
 
Ninaamini wewe sio kiburi ila uwezo wako wa kufikiria ndipo hapo ulipoishia. Hivi Rwanda anaukubwa gani kuisumbua Congo nzima?? Hadi umoja wa eac n sadc wamepeleka majeshi ila Congo ila sote tumeshindwa kuwafyekele mbali magaidi wa Rwanda kule Congo.

Hivi haujui au ni kiburi tu kinakusumbua. Haujui kuwa Ukraine anasaidiwa na umoja wa NATO nzima ila bado wameshindwa kumdhibiti Russia kutoichukua ardhi ya Ukraine?? Haustushwi kwa ukubwa wa mataifa yanayoifadhili Ukraine kwenye hii vita kuwa yote yameshindwa kumteteresha Russia??

Haujui kuwa Ukraine kashindwa kuitetea ardhi yake kutokuchukuliwa na Russia kila kukicha?? Hizi mbinu za kupika majengo ya wananchi ni ushahidi kuwa Ukraine ni failure kwenye hii vita. Wameshindwa kuwauwa na kuwamaliza wanajeshi wa Russia kule mstari wa mbele vitani, sasa wanaanza kupiga makazi ya wana chi!

Kuikejeli Russia kwenye hii vita ni upuuzi uliotukuka. Ninaamini kama Ukraine hasingepata msaada kutoka majuu, basi asingechukua hata wiki bila nchi yake yote kuchukuliwa. Russia ndio mfano Hai wa super power duniani saivi. Mwanaume amewekewa kila aina ya vikwazo vya uchumi, mali zake zote zilizokuwa EU zimepokwa ila hadi leo hajaanguka.

Tanzania tulichuzwa na usa kupigana na idi amin hapo nyuma. Uchumi wetu uliporomoka hadi tukashindwa kujilisha. Tukapewa maize ya msaada(mandi ya kulisha farasi ya njano) ili watu wasife kwa njaa. Uchumi wetu uliporomoka hadi shidaaaah. Ila Marekani licha ya vikwazo vyote kasimama hadi usa na nato wameamini kuwa hawamwezi mrusi, sasa wana draft dili la kumaliza hii vita.

Juu ya yote ninajua hutonielewa, ni nakubali. Nakumbuka manifesto 3 za lowasa pale jangwani aliwaahidi watz kuwa kama ingetokea angekuwa raisi wa tz, basi 1. Angeboresha elimu, 2. Angeboresha elimu na ahadi yake ya mwisho aliahidi 3. Angeiboresha elimu. Ckumwelewa lowasa ila kutokana na fursa niliyojaaliwa ya kutoka nje kimasomo, nimekuja kumuelewa sana lowasa.

Haiingii akilini mtu kuwa mbishi kwenye kitu ambacho hakijui. Cha ajabu sasa, fursa ya kuresearch anayo maana anatumia simu janja, haresrarch kuujua ukweli ila ulimkuta anavyopayuka kwa kitu asichokijua sasa, unaweza ukaacha ndala. Jamani, tu jifunze kuresearch ndio tuingie kwenye debate kama hizi.

Mwalimu wangu wa literature aliniambiaga" sometime it is better to stay quiet for people to think that you're not talking coz you're stupid, than talking out louder only to prove them right. " Watz tunatatizo moja kubwa sana, elimu yetu ni upuuzi uliotukuka. Ndio maana hadi leo watahiniwa wetu wa vyuoni hawawezi hata kujielezea au kuandika cv zao. Wapo wenye tofauti ila CCM imefanikiwa kitutawala maana sisi upstairs ni mambumbumbu maana wameivuruga education system yetu. Kama hamiamini hiki, angalieni kiongozi wa serikalini mwenye pesa gani ana mtoto anayesomea tz??

Samahanini nimeandika kwa jazba ila watu madudu wanayoyaandika wanatia hasira. Apologies wakubwa. Hata ivyo, mayb hii inatokana na watoto kuwepo likizo
,👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏😂✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
 
Kama mexico atamkaribisha shida iko wapi?
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nyerere na kaunda wanataka kujenga reli ya TAZARA
nchi za magharibi na marekani walipinga kwamba huo mradi hauwezekani. Wachina wakaijenga hiyo reli.
Miaka ya 90 mrusi akaja na wazo la kujenga chuo mbeya tech. kwa sasa MUST, akaruhusiwa akaendelea na kazi.
Nci za magharibi nadhani walitaka kujua mrusi anafanya nini,wakatoa msaada wa vichwa vya traini kusaidia reli ambayo hapo awali walipinga isijengwe, mbona hawakutulazimisha kumkataa mrusi kwa nguvu,bali walitumia akili kuwa karibu,mrusi anataka kutumia nguvu na nadhani kwa sasa anajutia kimoyo moyo.
Da aisee naona unarahisisha sana mambo.
Nakuambia hivi Mexico hata akimkaribisha Urusi kuweka jeshi lake pale,USA hatokubali.
Hivi unajua Cuba alimkaribisha Urusi?
Je hali nilikuaje? USA alichekelea?
Unaleta mifano ya East Afrika hapa.
 
Wewe hukuona Crimea imechukuliwa toka zaman, huoni kama Ukraine ilibid atafute ulinzi kulinda maeneo yake, vinginevyo Russia angeyamaliza. Vyovyote mtakavyosema ila mvamizi ni Russia
Sawa na Mimi nasema hivi,vyoyote mtakavyosema Ukraine inastahili kuadabishwa kwa kukaribisha maadui wa jirani yake.
 
Unaujua mgogoro wa cuba?
Ukiujua chanzo chake basi ndio utauelewa huo mfano uliopewa
Yaani ukiwa serious kabisa unafananisha ujenzi wa reli na ujenzi wa mitambo ya siraha
,✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Sikutaka kumpa mfano wa Cuba ili nipime uelewa wake,Asante Mkuu.
 
22 Dec, 2024
CIA chief pays ‘last visit’ to Kiev

Democrats sent the outgoing spymaster to tie up loose ends, Moscow has suggested.

Central Intelligence Agency Director William Burns has made yet another unannounced trip to Kiev, likely his final before stepping down from his position, according to Ukrainian leader Vladimir Zelensky.

Zelensky disclosed the meeting in a Telegram post on Saturday, highlighting the significant role Burns has played in supporting Ukraine during its ongoing conflict with Russia.

“Bill Burns paid his last visit to Ukraine as CIA director. We have held many meetings during this war, and I am grateful for your help,” Zelensky wrote, accompanied by a photo of him shaking hands with Burns.

The Ukrainian leader acknowledged that such high-level meetings are typically kept confidential, but emphasized the importance of highlighting their continued communication.

“Usually, such meetings are not reported publicly, and all our meetings – in Ukraine, in other European countries, in America, and in other parts of the world – took place without official information. But now, after the last visit, it is worth saying openly,” Zelensky said.

Throughout the conflict, the United States has been Kiev’s most crucial sponsor, providing the bulk of financial and military support as well as intelligence.

Russia's Foreign Ministry suggested that Burns' trip aimed to warn Ukrainian authorities against sharing potentially compromising information with Trump's auditors.

Senior Russian diplomat Rodion Miroshnik described Zelensky as a “weak link” and suggested that Burns sought to ensure he would not disclose any sensitive “evidence of illegal actions by American officials related to the Democrats and Biden.”

“Burns came to Kiev to tie up loose ends and coordinate actions with Zelensky for when Trump begins his review of the multi-billion-dollar US budget spending on Ukraine,” Miroshnik told TASS on Saturday.
 
Russian forces destroy Leopard tank in Ukraine – MOD (
The Western-supplied armor was eliminated with multiple direct hits by FPV drones, the Defense Ministry has reported

The Russian military has eliminated a German-made Leopard tank in Ukraine’s Kharkov Region, the Russian Defense Ministry said on Saturday, sharing aerial footage confirming the destruction.

In addition to the Leopard, Russian forces destroyed two other tanks, an M113 armored personnel carrier, two pickup trucks, five Soviet D30 howitzers, and four US-made M101 and M119 howitzers while repelling a failed Ukrainian counter-attack, in which Kiev lost up to 440 troops, according to Saturday’s update from the Defense Ministry.
 
Ikiwa Mkuu wa jeshi la Ukraine na wanajeshi wenyewe wa Ukraine wanakili uwezo wa jeshi la Urusi huko mstari wa mbele,Leo anatokea Mtanzania mmoja kutokea Matombo anasema jeshi la Urusi limeishiwa Cha kufanya,limetepeta,aisee hii nchi Ina watu wanaweza kuunda bomu zaidi ya nyukilia.
22 Dec, 11:37
Ukraine’s General Staff admits tense situation along entire frontline

MOSCOW, December 22. /TASS/. Ukraine’s General Staff described the situation for Ukrainian troops along the entire frontline as tense.

"The situation on the front remains very tense," Ukraine’s General Staff said on its Telegram channel.

The Ukrainian military also admitted the Russian army’s supremacy in terms of military equipment and the size of personnel.

Ukrainian Army Commander-in-Chief Alexander Syrsky said in a phone talk with Chief of the UK Defense Staff Admiral Tony Radakin on December 19 that the situation remained "extremely tense" on the front. Ukrainian commanders of various levels have been lately describing the frontline situation as very complex.
 
🇺🇦👏🇺🇦It has been reported that the armed forces of Ukraine liberated Kamianske in the direction of Zaporizhzhya in a counterattack and pushed back the katsapnia south of the village.
1734930609018.jpg
 
Kama mexico atamkaribisha shida iko wapi?
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nyerere na kaunda wanataka kujenga reli ya TAZARA
nchi za magharibi na marekani walipinga kwamba huo mradi hauwezekani. Wachina wakaijenga hiyo reli.
Miaka ya 90 mrusi akaja na wazo la kujenga chuo mbeya tech. kwa sasa MUST, akaruhusiwa akaendelea na kazi.
Nci za magharibi nadhani walitaka kujua mrusi anafanya nini,wakatoa msaada wa vichwa vya traini kusaidia reli ambayo hapo awali walipinga isijengwe, mbona hawakutulazimisha kumkataa mrusi kwa nguvu,bali walitumia akili kuwa karibu,mrusi anataka kutumia nguvu na nadhani kwa sasa anajutia kimoyo moyo.
Huna ujualo
 
Umeandik
Umeandika mengi na kueleza kuwa Ukraine anasaidiwa na NATO. Kwani hilo ni pambano la Masumbwi au Soka hadi kuwe na nguvu sawa. Kwenye vita unakwenda na marafiki zako . Hivyo hiyo hoja yenu ya kusema NATO anaisaidia Ukraine NI HOJA YA KITOTO SANA.
Aisee
 
Back
Top Bottom