LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Watu mna akili ndogo yaani Gaidi akiua Marekani hamsemi Ugaidi hata wewe unauwawa ila sio Rais wa Urusi .Subiri waanze kuwauawa mawaziri na hata huyu kenge mwenyewe zele kwani FSB hawawezi hilo?? Wanaua watu hata London kama hujui.
Askari yeyote wa Russia ni halali kwa Ukraine, na kinyume chake ni sahihi
 
Watu mna akili ndogo yaani Gaidi akiua Marekani hamsemi Ugaidi hata wewe unauwawa ila sio Rais wa Urusi .Subiri waanze kuwauawa mawaziri na hata huyu kenge mwenyewe zele kwani FSB hawawezi hilo?? Wanaua watu hata London kama hujui.
Ila bado itabaki kuwa ni aibu kubwa sana na udhaifu mkubwa Generali mkubwa kiasi kile tena mtu muhimu sana ANAULIWA NDANI YA RUSSIA TAIFA LINALOAMINIKA KUWA NI KUBWA SANA KIULINZI. Yaani hata Ukraine nchi ndogo lakini imeizidi RUSSIA katika suala la Usalama wa viongozi wake muhimu
 
Huyu jamaa nani anamwelewaga 🥺🥺🥺
Vladimir Putin declared on Thursday that Russia was closer to reaching its goals in Ukraine and that the front line was advancing every day.
Mimi nadhani putin amechelewa kujua kipaji chake, jamaa ni comedy zaidi ya joti, muda huu angekuwa kwenye cheka tuu ya huko Urusi
 
Ila bado itabaki kuwa ni aibu kubwa sana na udhaifu mkubwa Generali mkubwa kiasi kile tena mtu muhimu sana ANAULIWA NDANI YA RUSSIA TAIFA LINALOAMINIKA KUWA NI KUBWA SANA KIULINZI. Yaani hata Ukraine nchi ndogo lakini imeizidi RUSSIA katika suala la Usalama wa viongozi wake muhimu
Punguza ushabiki mkuu.....
Raisi J. F. Kennedy alipopigwa risasi mpaka kufa alikuwa ni Rais wa nchi gani, je huo ulikuwa ni udhaifu wa wa kiulinzi wa nchi gani.
Rais mteule Trump alipopigwa risasi ya sikio wakati wa kampeni ulikuwa udhaifu wa kiulinzi wa taifa gani gani kubwa..
Jengo la WTO liliposhambuliwa mwaka 1997 ulikuwa udhaifu wa kiulinzi wa nchi gani....
 
Punguza ushabiki mkuu.....
Raisi J. F. Kennedy alipopigwa risasi mpaka kufa alikuwa ni Rais wa nchi gani, je huo ulikuwa ni udhaifu wa wa kiulinzi wa nchi gani.
Rais mteule Trump alipopigwa risasi ya sikio wakati wa kampeni ulikuwa udhaifu wa kiulinzi wa taifa gani gani kubwa..
Jengo la WTO liliposhambuliwa mwaka 1997 ulikuwa udhaifu wa kiulinzi wa nchi gani....
Kennedy na Trump ukiulizwa walishambuliwa na nani au ni influence gani ya nje iliyohusika utajibu nini. USA haikuwa na vita
 
Kennedy na Trump ukiulizwa walishambuliwa na nani au ni influence gani ya nje iliyohusika utajibu nini. USA haikuwa na vita
Mkuu iliyotokea kuuawa kwa yule General kule Russia haikuwa ndani ya uwanja wa vita na pia si tukio la hypersonic missile au attacms. Ule ni ugaidi kama ilivyo kwa magaidi waliopo duniani kote. Ugaidi ni sehemu ya kushindwa.
Mchangiaji hapo juu kaongelea 'udhaifu wa kiulinzi' na mimi nimejibu kwa kuangalia udhaifu wa kiulinzi kwa nchi yenye kudhaniwa ina teknolojia ya hali ya juu
 
Ndio maana nimemwambia mtoa mada ya kwamba Urusi inaweza isiivamie Ukraine kwa sababu zingine hasa za kiuchumi .

Lakini hoja ya kwamba Urusi inaogopa kuivamia eti kwa sababu ya kugopa Marekani itatuma wanajeshi wake sio kweli.

Na ndio maana nimemwambia ya kwamba Urusi ikiamua kuivamia Ukraine Marekani hatofanya chochote zaidi ya kuweka vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kusitisha hilo bomba la gesi.

Na kama umeufatilia huu mgogoro hakuna kiongozi yeyote yule wa Urusi aliye sema ya kwamba Urusi inataka kuivamia Ukraine zaidi ya kusema wanafanya mazoezi ya kijeshi ya kawaida, hizo tuuma za Urusi kutaka kuivamia Ukraine zimekuwa zikitolewa na nchi magharibi na viongozi wa Urusi Mara kwa mara wamekuwa wakikanusha.

Na sisitiza USA na washirika wake wange kuwa na nia ya kuisaidia Ukraine wangeisaidia kwanza kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Uzi wa siku nyingi kumbe??uko wapi mwendelezo wa habari za hivi karibuni??mleta mada tujulishe tafadhali.
 
Unahitaji kuelimishwa ndugu yangu.
Ukraine wanakufa kwa ujinga wao,wamekubali kuvamiwa kwa ujinga wao,wamekubali kutumika.
Kwa akili ya kawaida unaweza usielewe,lkn Kwa akili za kiusalama Ukraine amejitakia matataizo.
Hii mada tulisaha ieleza sana humu Sasa tumechoka.
Wewe hukuona Crimea imechukuliwa toka zaman, huoni kama Ukraine ilibid atafute ulinzi kulinda maeneo yake, vinginevyo Russia angeyamaliza. Vyovyote mtakavyosema ila mvamizi ni Russia
 
Propaganda, propaganda, propaganda.
Humu jukwaani na nje ya jukwaa hili kumejaa propaganda nyingi sana Sasa hivi hususan kutoka kwa Pro UkraiNATO.
Sijui ni aina ya kujifariji ama kutokukubali Hali Hali ya uwanja wa mapambano au ni kuishiwa uwezo wa kupambana mambo.
Propaganda zao utawasikia wakisema hivi,
"Masikini Putin",
"Urusi imeshalegea",
"Urusi ilifanya kosa kivamia Ukraine",
"Urusi vita hii imekwama",
N.k.
Sasa kwa sisi ambao tunafatilia kwa kuangalia uhalisia "facts" tunabaki tunashangaa!
Hivi kama Hali ni mbaya namna hiyo kwa Urusi mbona Sasa hivi inasemekana Warusi ndio wanasonga mbele kwa Kasi ya upepo?
Zaidi tunasikia kua Ukraine wanapoteza maeneo kwa Kasi mno?
Najiuliza hivi kama Urusi Ina Hali ngumu,mbona hatusikii Urusi kunyang'anywa hata wilaya moja iliyokua imeishikiria?

Acheni Propaganda jamani Hali ya Ukraine ni mbaya kuliko mwaka 2022.

wataalamu wanasema bado kidogo TU jeshi la Ukraine lita collapse,
Wataalamu wanasema bado kidogo TU Donbas inaenda kuanguka yote kwenye mikono ya jeshi imara kabisa hapa duniani la Urusi.
Fatilieni vianzo vya habari huru,na Sasa hivi hata vyombo vya west vimeanza kusema haya na kusema ukweli.
Jamani eeeh hii ni SMO kwa upande wa Urusi lkn ni vita ya ku survive kwa upande wa Ukraine.
Ukraine imezidiwa,imekweisha Haina hata wanajeshi imeishiwa wanajeshi,imeandikisha watu wazima,wakaisha,ikaandikisha wavulana kuanzia miaka 18 wakaisha,Sasa inafikiria kuandikisha watoto kuanzia miaka 14.
Huu si uuaji huu?
Haya ninayoyasema ni Hali halisi.

Jamani eeeh Ukraine Kwa kusaidiwa na NATO inarusha makombora ndani ya Urusi mengi yanadunguliwa machache sana Tena sana yanapenya,hata hivyo Hali hii haioneshi udhaifu wa Urusi na kibaya zaidi hayabadilishi kabisa mafanikio ya vita anayoyapata Urusi huko uwanja wa vita,tofauti kabisa na makombora anayorusha Urusi ndani ya Ukraine,makombora ya Urusi yanaidhoofisha kabisa Ukraine Kwa kipindi hiki ambacho vita inaendelea,yanalipunguzia nguvu kwa kiwango kikubwa sana jeshi la Ukraine kuweza kujitetea.

Kuua kamanda au makamanda wa jeshi la Urusi Tena wasio katika uwanja wa mapambano haibadilishi mafanikio ya vita aliyoyapata Urusi.
Kwana kuua kwa njia za kigaidi ni dalili za kua ndani ya uwanja wa vita mmezidiwa.
Kulenga na kuua wakuu wa kijeshi au wa kisiasa Kila upande unaweza,kama mnakumbuka Putin aliwahi kusema msitulazimishe tukapiga kwenye Decision making Centers za Viongozi wa Ukraine,na kama mnakumbuka Kuna siku kulikua Kuna mkutano wa kuwapa nishani wanajeshi wa Ukraine,alikuwepo Zelensky na kiongozi mmoja wa nchi ya west nimemsahau,Urusi walipiga kombora umbali mdogo TU kutokea sehemu palipokua na sherehe hiyo,Hiyo ilikua ni onyo kwamba tukitaka kumuua zelensky hatushindwi.
Lkn pia kama mtakumbuka Waziri Mkuu Msataafu wa Israel bwana Bennett Naftali alipokua akiongea na Putin alimsihi na kumuomba Putin asimuue Zelensky,Putin akakubali ombi hilo, Naftali akamwambi nihakikishie hutamuua.
Pia nakumbuka kauli ya Putin aliwahi kusema tunajua anapolala Zelensky na anapoamkia,hatutaki kumuua lkn tukitaka tuanaweza kumuua,ila hatutamuua ili aje aweke sahihi makubaliano baada ya kushindwa vita.

Ndugu zangu wapo mnaoona Urusi inachukua mda mrefu kumaliza vita,ila nyie Pro Russia na hata Pro UkraiNATO nadhani mnajua Ukraine peke yake asingefika Leo hii,Bali kwa msaada ya NATO amefika lakini akiwa amechoka balaa.
Sasa hivi ninavyoandika hapa zile silaha zote alizokua nazo Ukraine kabla ya hii SMO Hana Tena,zote zimeteketezwa,
Wanamletea Kila siku masilaha na masilaha lkn yanateketezwa.

Jamani eeeh sote tunakubaliana hapa kua NATO ndio umoja pekee wa kijeshi hapa duniani wenye nguvu kubwa kuliko umoja wowote na kuliko nchi yoyote.
Ni Hali ya kweli kabisa ndani ya NATO Kuna nchi Inaitwa Marekani,nchi hii siku zote tunasema Ina bajeati kubwa ya ulinzi kuliko nchi yoyote hapa duniani,tunasema kua ndio nchi yenye jeshi kubwa,uchumi namba moja,ujasusi namba moja na tunasema Ina teknolojia kuliko nchi zote Dunia,hii nchi inaweza ikakuvalisha jina la kuwa wewe ni gaidi Na Ina uwezo wa kukuvua.
Tunakuabali kua Marekani ndio nchi tajiri namba moja duniani.kwa kifupi tunasema Marekani yeye peke yake ndio superpower.
Haya lkn ndani ya NATO Kuna nchi zenye teknolojia kubwa sana Kwa Kila kitu,kuanzia teknolojia za silaha,ujasusi na vitu vingine nchi mfano UK,German,France, Italy,Canada, Denmark, Norway,Spain,Poland, Belgium, Sweden, Finland etc.
Ndani ya NATO Kuna nchi tajiri zaidi duniani yaani G7.
Sasa ndugu zangu mnashangaa Nini kwa Urusi kuchukua muda wa miaka miwili kukabiliana na nchi inayopewa misaada ya "Hali na Mali" na nchi hizo nilizozitaja hapo juu?

Jamani eeeh naomba tuone kwa macho yetu ukuu,maajabu na uwezo wa Urusi.
Urusi peke yake inaweza kupigana dhidi ya nchi ya Ukraine inayopewa Kila aina ya msaada inaoutaka wa silaha ,ushauri, ujasusi,mafunzo,vikwazo, satellite,mbinu,askari na propaganda nk.
NATO walichofanikiwa ni kupunguza tu spidi ya Urusi kupata ushindi lakini wameshindwa kufanya Urusi ishindwe vita hii ambayo Kwa kuisaidia Ukraine Kwa Kila kitu lengo lao Urusi ishindwe.

Ndugu zangu,kwa kuangalia hasara nadhani hamutaki tena kuangalia UkraiNATO wamepata hasara kiasi Gani Bali mnnangalia Urusi TU, kimsingi UkraiNATO wamepata hasara kubwa mno.
Jamani eeeh Kila siku tumekua tunasikia Urusi imelipua treni iliyokua Ina shehena za silaha,Urusi imelipua meli iliyokua Ina shehena za silaha,Urusi imelipua makambi yaliyokua na shehena za silaha,Urusi imelipua majengo ya chini ya ardhi ya kuongoza vita ndani yake kulikua Kuna wakuu ama wa USA Poland,UK , Ukraine n.kama wakuu wengine wa NATO.
Ndugu zangu haya yote hayajafanyika siku moja yamekua yakifanyiaka toka vita ianze.
Baadhi ya Maafisa wakuu wa NATO na hasa USA waliuliwa huko na baada ya kuuliwa utasikia huko USA wakisema Afisa huyu alikufa kwa jali alikua akifanya mazoezi ya kupanda milima,ama ajali ya helkopta,ama ajali ya gari,kumbe vijana wa Putin walifanya Yao

Suala la askari wa Korea kaskazini kufika vitani,jamani eeeh nimeshasema hapo juu NATO nao wengi TU wamekufia vitani,hivi mmesahau hapa juzi kati Wataalamu,wakufunzi na waalimu wa wasuala ya kijeshi ya mawasiliano na wanafunzi wao wa chuo Cha
kijeshi waliteketezwa chuoni hapo Ukraine?wataalamu kutoka USA,Finland Sweden n.k.

Ndugu zangu Mimi Lee nitakua mtu wa mwisho kuiona Urusi kama ni nchi dhaifu kwa sababu Urusi peke yake ikiwa imewekewa vikwazo kuliko nchi yoyote hapa duniani imeweza kukabilania na nchi zote hizo,nchi zenye nguvu kabisa hapa duniani.
Urusi ingekua dhaifu Leo hii tungekua hatuandikib hivi.

Kwa kifupi Urusi imeweza kuteketeza silaha nyingi sana za UkraiNATO kuliko silaha za urusi zilizoteketezwa,ndio maana unaona Leo majeshi ya Ukraine ndio yanayorudishwa nyuma na ardhi yake kuchukuliwa licha ya masilaha yote hayo kusaidiwa kutoka west.Kama silaha za urusi zingekua zimetekekezwa kwa wingi Leo hii majeshi ya UkraiNATO yangekua Yako mpakani mwa Ukraine na Urusi na hakuna hata centimeter moja ya ardhi ya Ukraine ingekua imekaliwa na Urusi.
Watu wanapiga propaganda eti Ukraine inashinda,labda inashinda kwa kurudi nyuma.

Kuna watu watakwambia hata Urusi inasaidiwa.
Eti inasaidiwa na Korea kaskazini'.
Hivi wakorea wamekuja lini Urusi?
Maana smo ilianza 2022.
Watasema Urusi inasaidiwa na china na ran .
Hivi ni lini marafiki wa Urusi wanakaaga vikao kama vile NATO wakaavyo na kuchangishana fedha ,wanajeshi na silaha?
NATO wanakaa vikao Kila mara kwa ajili ya Ukraine ambae sio mwanachama wa NATO.
Jamani eeeh vitani Kuna kupiga na kupigwa ,hata USA alipoivamia Iraq licha ya udhaifu na udogo wa Iraq kijeshi na kiuchumi dhidi ya Marekani na washirika wake lakini wanajeshi wengi TU wa Marekani walikufa.

Kubalini kataeni Urusi imeonesha maajabu makubwa sana hapa duniani,Urusi inastahili heshima.
NATO wameogopa kuweka No fly zone,wameogopa kudungua makombora ya Urusi kama walivyodungua ya Iran,wameogopa kuingia waziwazi wanaingia kama mamluki (mercenaries).

Walisema Urusi haiwezi kupigana mda mrefu,kumbe wao ndio hawawezi,
Urusi imeishiwa silaha,kumbe wao ndio zimekwisha,maana imejulikana kua Urusi inazalisha silaha mara Tatu kuliko NATO wote.
Silaha za urusi duni,kumbe zao ndio dhaifu.
Jeshi la Urusi dhaifu kumbe ndio jeshi imara.

Propaganda hazisaidii Sasa hivi.
Well analysis
 
Mkuu iliyotokea kuuawa kwa yule General kule Russia haikuwa ndani ya uwanja wa vita na pia si tukio la hypersonic missile au attacms. Ule ni ugaidi kama ilivyo kwa magaidi waliopo duniani kote. Ugaidi ni sehemu ya kushindwa.
Mchangiaji hapo juu kaongelea 'udhaifu wa kiulinzi' na mimi nimejibu kwa kuangalia udhaifu wa kiulinzi kwa nchi yenye kudhaniwa ina teknolojia ya hali ya juu
Sema pia kwa hizi nchi za wenzetu zilivyo unaweza kuta hili tukio limefanywa na Russia wenyewe kummaliza huyo General wake . Huenda intelligence yao ikamgundua kutumika . Usaliti, kununulika, kupenyezwa tangu utotoni HAYA MAMBO HUFANYIKA SANA KWENYE HII DUNIA. Ni kama Tz leo iingie kwenye vita dhidi ya Rwanda MAMLUKI WENGI SANA WATAJULIKANA KWENYE MAJESHI YETU NA WENGINE HAWATAJULIKANA KANISA BALI WATU WATAKUWA WANASHANGAA HUJUMA ZINAFANYIKA BILA KUJUA CHANZO.

NI MAONI YANGU TU HAYA
 
Ila bado itabaki kuwa ni aibu kubwa sana na udhaifu mkubwa Generali mkubwa kiasi kile tena mtu muhimu sana ANAULIWA NDANI YA RUSSIA TAIFA LINALOAMINIKA KUWA NI KUBWA SANA KIULINZI. Yaani hata Ukraine nchi ndogo lakini imeizidi RUSSIA katika suala la Usalama wa viongozi wake muhimu
Trump alipigwa risasi ya sikio!Kwahiyo US imezidiwa na ukraine kwenye ulinzi wa viongozi?
 
Kwa hiyo NATO au USA wakitumia nchi nyingine si watamfikia tu?
Uliona israel alivyopeleka ndege na kumpiga iran na zikarudi salama,napo tuseme israel alitumia nchi ya karibu na iran?
Kama jirani yako hata kama ana nguvu kiasi gani,lakini akataka kukupangia marafiki na maadui,kama wewe ni mwanaume utapigana kufa na kupona.
Israel iliingia Iran kupitia anga la Iraq. Angenyinywa hiyo access asingeweza kushambulia
 
Aisee kumbe leo huko Russia ni vilio tu baada ya jengo refu la ghorofa 37 kupigwa na Drones za Ukraine 🇺🇦. Taifa dogo sana linamuabisha, dhalilisha na kufedhehesha taifa kubwa. Jamani isije ikawa inajirudia ile tuliyoisoma kwenye vitabu vya dini kuwa kijana mdogo jasiri DAUDI analiangusha jitu kubwa sana GOLIATI. Kwa mwenendo huu tunaweza kushuhudia kichwa cha Goliati kikikatwa.

Kwa wenzangu Pro Russia wa Madale na Kigamboni tukubali tu kuwa Russia anapigwa kirahisi tu na hii vita hana mwisho mzuri
 
Back
Top Bottom