FBI wamesema Iran inahusika kwenye mashambulizi ya TrumpKennedy na Trump ukiulizwa walishambuliwa na nani au ni influence gani ya nje iliyohusika utajibu nini. USA haikuwa na vita
Russia ni noma anawatembezea kichapo mataifa zaidi ya 52 ya ulaya na NATO na yametumia kila aina ya silaha walizonazo na bado mkong'oto unaendelea kutembezwaAisee kumbe leo huko Russia ni vilio tu baada ya jengo refu la ghorofa 37 kupigwa na Drones za Ukraine 🇺🇦. Taifa dogo sana linamuabisha, dhalilisha na kufedhehesha taifa kubwa. Jamani isije ikawa inajirudia ile tuliyoisoma kwenye vitabu vya dini kuwa kijana mdogo jasiri DAUDI analiangusha jitu kubwa sana GOLIATI. Kwa mwenendo huu tunaweza kushuhudia kichwa cha Goliati kikikatwa.
Kwa wenzangu Pro Russia wa Madale na Kigamboni tukubali tu kuwa Russia anapigwa kirahisi tu na hii vita hana mwisho mzuri
Tatizo watoto wa elfu mbili mmejaa kwenye huu Uzi hivi unajua Nini kuhusu Cuba missile crisis?Kama mexico atamkaribisha shida iko wapi?
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nyerere na kaunda wanataka kujenga reli ya TAZARA
nchi za magharibi na marekani walipinga kwamba huo mradi hauwezekani. Wachina wakaijenga hiyo reli.
Miaka ya 90 mrusi akaja na wazo la kujenga chuo mbeya tech. kwa sasa MUST, akaruhusiwa akaendelea na kazi.
Nci za magharibi nadhani walitaka kujua mrusi anafanya nini,wakatoa msaada wa vichwa vya traini kusaidia reli ambayo hapo awali walipinga isijengwe, mbona hawakutulazimisha kumkataa mrusi kwa nguvu,bali walitumia akili kuwa karibu,mrusi anataka kutumia nguvu na nadhani kwa sasa anajutia kimoyo moyo.
Acha initafune lakini siwezi kuwa mjinga kama wewe Bora wangetumia kondom tu kuliko kuleta mtoto mpumbavu kama wewe....Laana ya kuita wazazi wako NZI itakutafuna sana
Wanatafuta sababu za kumpiga Muajemi....FBI wamesema Iran inahusika kwenye mashambulizi ya Trump
Kaka kuna watu wanatia hasira sana😂😂😂tujaribu kuwapotezea. Akili zao ni stagnant, haziwezi kupokea kitu kipya. So tu waelewe tu, ndio uwezo wao wa kufikiria ulipoishia.Ni propaganda tu Ukraine ni salama mnoooo.... Hakuna mapigano popote pale ...nchi ni salama ..majimbo yote yapo chini ya utawala wa kyv....
Binadamu wa kwanza kuwaita wazazi wake NZI ni wewe.Acha initafune lakini siwezi kuwa mjinga kama wewe Bora wangetumia kondom tu kuliko kuleta mtoto mpumbavu kama wewe....
,👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏😂✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍Ninaamini wewe sio kiburi ila uwezo wako wa kufikiria ndipo hapo ulipoishia. Hivi Rwanda anaukubwa gani kuisumbua Congo nzima?? Hadi umoja wa eac n sadc wamepeleka majeshi ila Congo ila sote tumeshindwa kuwafyekele mbali magaidi wa Rwanda kule Congo.
Hivi haujui au ni kiburi tu kinakusumbua. Haujui kuwa Ukraine anasaidiwa na umoja wa NATO nzima ila bado wameshindwa kumdhibiti Russia kutoichukua ardhi ya Ukraine?? Haustushwi kwa ukubwa wa mataifa yanayoifadhili Ukraine kwenye hii vita kuwa yote yameshindwa kumteteresha Russia??
Haujui kuwa Ukraine kashindwa kuitetea ardhi yake kutokuchukuliwa na Russia kila kukicha?? Hizi mbinu za kupika majengo ya wananchi ni ushahidi kuwa Ukraine ni failure kwenye hii vita. Wameshindwa kuwauwa na kuwamaliza wanajeshi wa Russia kule mstari wa mbele vitani, sasa wanaanza kupiga makazi ya wana chi!
Kuikejeli Russia kwenye hii vita ni upuuzi uliotukuka. Ninaamini kama Ukraine hasingepata msaada kutoka majuu, basi asingechukua hata wiki bila nchi yake yote kuchukuliwa. Russia ndio mfano Hai wa super power duniani saivi. Mwanaume amewekewa kila aina ya vikwazo vya uchumi, mali zake zote zilizokuwa EU zimepokwa ila hadi leo hajaanguka.
Tanzania tulichuzwa na usa kupigana na idi amin hapo nyuma. Uchumi wetu uliporomoka hadi tukashindwa kujilisha. Tukapewa maize ya msaada(mandi ya kulisha farasi ya njano) ili watu wasife kwa njaa. Uchumi wetu uliporomoka hadi shidaaaah. Ila Marekani licha ya vikwazo vyote kasimama hadi usa na nato wameamini kuwa hawamwezi mrusi, sasa wana draft dili la kumaliza hii vita.
Juu ya yote ninajua hutonielewa, ni nakubali. Nakumbuka manifesto 3 za lowasa pale jangwani aliwaahidi watz kuwa kama ingetokea angekuwa raisi wa tz, basi 1. Angeboresha elimu, 2. Angeboresha elimu na ahadi yake ya mwisho aliahidi 3. Angeiboresha elimu. Ckumwelewa lowasa ila kutokana na fursa niliyojaaliwa ya kutoka nje kimasomo, nimekuja kumuelewa sana lowasa.
Haiingii akilini mtu kuwa mbishi kwenye kitu ambacho hakijui. Cha ajabu sasa, fursa ya kuresearch anayo maana anatumia simu janja, haresrarch kuujua ukweli ila ulimkuta anavyopayuka kwa kitu asichokijua sasa, unaweza ukaacha ndala. Jamani, tu jifunze kuresearch ndio tuingie kwenye debate kama hizi.
Mwalimu wangu wa literature aliniambiaga" sometime it is better to stay quiet for people to think that you're not talking coz you're stupid, than talking out louder only to prove them right. " Watz tunatatizo moja kubwa sana, elimu yetu ni upuuzi uliotukuka. Ndio maana hadi leo watahiniwa wetu wa vyuoni hawawezi hata kujielezea au kuandika cv zao. Wapo wenye tofauti ila CCM imefanikiwa kitutawala maana sisi upstairs ni mambumbumbu maana wameivuruga education system yetu. Kama hamiamini hiki, angalieni kiongozi wa serikalini mwenye pesa gani ana mtoto anayesomea tz??
Samahanini nimeandika kwa jazba ila watu madudu wanayoyaandika wanatia hasira. Apologies wakubwa. Hata ivyo, mayb hii inatokana na watoto kuwepo likizo
Da aisee naona unarahisisha sana mambo.Kama mexico atamkaribisha shida iko wapi?
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nyerere na kaunda wanataka kujenga reli ya TAZARA
nchi za magharibi na marekani walipinga kwamba huo mradi hauwezekani. Wachina wakaijenga hiyo reli.
Miaka ya 90 mrusi akaja na wazo la kujenga chuo mbeya tech. kwa sasa MUST, akaruhusiwa akaendelea na kazi.
Nci za magharibi nadhani walitaka kujua mrusi anafanya nini,wakatoa msaada wa vichwa vya traini kusaidia reli ambayo hapo awali walipinga isijengwe, mbona hawakutulazimisha kumkataa mrusi kwa nguvu,bali walitumia akili kuwa karibu,mrusi anataka kutumia nguvu na nadhani kwa sasa anajutia kimoyo moyo.
Na inamtafuna haswa mpaka kichwani amejaza nzi!Laana ya kuita wazazi wako NZI itakutafuna sana
Sawa na Mimi nasema hivi,vyoyote mtakavyosema Ukraine inastahili kuadabishwa kwa kukaribisha maadui wa jirani yake.Wewe hukuona Crimea imechukuliwa toka zaman, huoni kama Ukraine ilibid atafute ulinzi kulinda maeneo yake, vinginevyo Russia angeyamaliza. Vyovyote mtakavyosema ila mvamizi ni Russia
,✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Sikutaka kumpa mfano wa Cuba ili nipime uelewa wake,Asante Mkuu.Unaujua mgogoro wa cuba?
Ukiujua chanzo chake basi ndio utauelewa huo mfano uliopewa
Yaani ukiwa serious kabisa unafananisha ujenzi wa reli na ujenzi wa mitambo ya siraha
Kwaiyo waliopanga kumua Trump wanadunda kitaa?Wanatafuta sababu za kumpiga Muajemi....
Huna ujualoKama mexico atamkaribisha shida iko wapi?
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nyerere na kaunda wanataka kujenga reli ya TAZARA
nchi za magharibi na marekani walipinga kwamba huo mradi hauwezekani. Wachina wakaijenga hiyo reli.
Miaka ya 90 mrusi akaja na wazo la kujenga chuo mbeya tech. kwa sasa MUST, akaruhusiwa akaendelea na kazi.
Nci za magharibi nadhani walitaka kujua mrusi anafanya nini,wakatoa msaada wa vichwa vya traini kusaidia reli ambayo hapo awali walipinga isijengwe, mbona hawakutulazimisha kumkataa mrusi kwa nguvu,bali walitumia akili kuwa karibu,mrusi anataka kutumia nguvu na nadhani kwa sasa anajutia kimoyo moyo.
AiseeUmeandik
Umeandika mengi na kueleza kuwa Ukraine anasaidiwa na NATO. Kwani hilo ni pambano la Masumbwi au Soka hadi kuwe na nguvu sawa. Kwenye vita unakwenda na marafiki zako . Hivyo hiyo hoja yenu ya kusema NATO anaisaidia Ukraine NI HOJA YA KITOTO SANA.