Alafu utamuona kp kipanya44 na "Russian losses" ana post ndege,wanajeshi etc, anashindwa kujua hivyo vyote ni replaceable,ila ardhi na madini ni irreplaceable!Alafu mje kusema tena vita aina faida.mgodi wa Lithium imeanguka kwenye mikono ya WarusiView attachment 3193175
Kawaida sana,hamna Cha ajabuWadau hii nayo imekaa aje
The Kenyan National Intelligence Service received two Turkish Bayraktar TB2 attack UAVs
View attachment 3192963
Hao ni warusi wenye asili Asia kutoka eneo la Siberia.
Mkuu kuna Wanajeshi 100,000 wa Ukraine wamegoma kupigana. Tena wengine walikuwa wametoka Ufaransa kupewa mafunzo maalum. Hakuna namna inabidi Ukraine asalimu amri.Ukraine's recent military successes in Kursk Oblast have humiliated Russian dictator Vladimir Putin and highlight his vulnerabilities, The Telegraph reported, analyzing the developments amid Ukraine’s recent offensive in the Russian region.
Putin "may" ???🤣🤣Putin May Consider Ukraine’s NATO Membership in Exchange for Concessions
Russian President Vladimir Putin might agree to Ukraine’s accession to NATO if it includes concessions such as reducing American bases on NATO’s eastern flank and partially lifting sanctions against Russia, investigative journalist Hristo Grozev said. This statement was reported by the Czech portal Novinite.
View attachment 3194974
...vulnerabilities.....
😂😂😂 kipanya unachukua habari kutoka wapi wewe.ebu tafuta vyanzo sahihi, wezako wamekufa kama kuku iyi juziThe Ukrainians today carried out a successful ADVANCE into Russian territory between 15 and 25 km2.-President Zelensky: "A North Korean battalion was decimated, as well as a Russian paratrooperView attachment 3194752
Kwann Ukraine wamegoma kutoa taarifa ya hiyo counter offensive?Wajinga wameanzisha
😂😂😂 kipanya unachukua habari kutoka wapi wewe.ebu tafuta vyanzo sahihi, wezako wamekufa kama kuku iyi juzi
Wanasubir walikomboe Jimbo lote la KurskKwann Ukraine wamegoma kutoa taarifa ya hiyo counter offensive?
Alafu anakuja Ms*ng* mmoja anasema eti Russia ni aggressor eti Ukraine anaonewa ,shenzi eti democracy sijui sovereignty haya ameeleza vizur kabisa hata hao US hawazingatii sovereignty za majirani zao .hapa ndio nimeamini kwamba ukiona mtu yupo upande wa west kwenye huu mgogoro anauelewa mdogo kuhusu geopolitics na diplomacy na hataki kujifunzaViva Russia 👊🏿👊🏿👊🏿
View attachment 3195228