LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Anashikilia resources muhim kama mafuta na gas
Hizo rasilimali muhimu zingekuwa zinapatikana Russia pekee sawa unfortunately OPEC ana members wengi,gas hata Tzn ipo ya kulisha Germany nzima for years achilia mbali mamia ya Nchi za Afrika,Arabs ,N and South America..

Brazil tuu kampinga kule UN,the same to Turkey
 
Hata Congo wana deposit ya resources nyingi kuliko Nchi yeyote kwenye bara la Africa...Tuiogope Congo??
Urusi ina jambo moja tu Duniani la kuifanya itambe:
Ina vichwa vya nyuklia zaidi ya 6200. Hilo tu basi.
Congo hana technology babu,Urusi ana kila kitu ambacho Nchi nyingi Duniani hazina
 
Urusi ndio Nchi pekee duniani yenye deposit ya Natural resources kuliko Nchi yoyote ile Duniani-vikwazo vya kiuchumi sio issue kwa Urusi.
Hitler hakuwa tahira kusema the only way uitawale hii Duniani vizuri,kwanza inabidi uitawale Urusi.
Suala sio rasilimali suala ni akili na tech full stop
 
Aseeh mrusi mweusi uko vizuri Sana.
 
Congo hana technology babu,Urusi ana kila kitu ambacho Nchi nyingi Duniani hazina
Teknolojia hata Taiwan wanayo.
URUSI ANATAMBA KWA SABABU ANA NYUKLIA TU BASI. Aharibu yale makombora kama hajawa sawa na Nchi ya Mongolia......
 
Urusi ndio Nchi pekee duniani yenye deposit ya Natural resources kuliko Nchi yoyote ile Duniani-vikwazo vya kiuchumi sio issue kwa Urusi.
Hitler hakuwa tahira kusema the only way uitawale hii Duniani vizuri,kwanza inabidi uitawale Urusi.
Utamuuzia nani?
 
Punguza hasira mkuu marekani alipovamia Iraq mataifa ya kikristu yalikaa kimya ,kwahiyo kwa hoja yako wakristu walipenda waislamu wasio na hatia wafe?.

Umia taratibu bro hii vita Haina uhusiano na dini ,na waislamu hawajapiga kura Wala kutoa tamko sijui umeyapata wapi
 
Urusi ndiye anayeipa teknlojia North Korea. Na North Korea ni jirani wa US.
 
Jana raisi wa Ukraine alitoa ya moyon kwamba ,hii vita dunia imebaki kupiga kelele tuu wakati wazee wa kazi wameshazama hadi mji mkuu,
Ni ajabu sana hawa mataifa ya magharibi kumwacha jamaa yao shimon,
Jamaa hawapokei simu tena wote wamebaki kupiga kelele .
Inatupasa Africa kutowashobokea hawa mataifa ya magharibi ,
Siku ya shida huwa wanazima simu ,na kujifanya kuweka vikwazo wakati mwanaume ulishauwawa saa nyingi
 
Mkuu naomba unipe source iliyoseka Russia wamejipa masaa 72 maana tangu mzozo niufuatilie sijaona hiki kitu. Ni kuteka viwanja vya ndege, Ukraine kuvikomboa tena, kuingia mjini kukutana na Molotov cocktails na vizuizi vya rais. Intel ya NATO jana imesema malengo yote ya Urusi hajayatimizwa hata moja.

China kakataa kukaa kwenye mjadala wa UN jana na kashaishauri Urusi ifanye mazungumzo. China yuko neutral na vikwazo vya Marekani lazima makampuni ya China yavizingatie (baadae miezi kadhaa tutarudi hapa kuambizana uchumi wa Urusi utakavyonywea trust me). Kazakhstan imegoma kushirikiana na Urusi, Urusi ana Chechens na Belarus. Putin kadri ya Ukraine inavyochelewa kuanguka ndivyo anazidi kupata opposition kwake na kwa majirani kina Finland anaowadharau.

NATO jana imemaliza kikao jioni na Secretary General wao kasema matakwa ya Russia kuondoa wanachama zaidi ya nusu hayakubaliki na jinsi Putin alivyotishia military consequences NATO imeamua kuactivate Rapid Response ambayo haijawahi kuwa activated tangu NATO iundwe.

Huu upiganaji wa jeshi la Urusi haunishawishi lolote. Kisingizio cha 72 hours sikikubali Putin anataka ashinde immediately ndio maana alianza na kuwataka wanajeshi wa Ukraine kujisalimisha wakagoma, sasa jana kawaambia wafanye mapinduzi wamuondoe Zelensky. He is very desperate huwezi nishawishi anasubiri 72 hrs. Hii ndio Russia ya kukutana na Polish brigades, Finn snipers?
 
Sio tatizo ila wacha wauwane tu wote jeuri
Binafsi nimegundua Russia hana nguvu za jeshi kupigana na Mataifa makubwa kihivyo kama upiganaji wake ndio huu wa Ukraine.
Anachojivunia ni Nukes kama tuu akina N.Korea nothing else..

Licha ya jeshi dhaifu la Ukraine lakini limemuweza na hapo kapata msaada kutoka Belarus na Georgia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…