Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bila shaka Zelensky yuko kwenye majuto makubwa mno.

Sasa hivi atakuwa anajisemea moyoni "ningejua nisingeingiza nchi yangu kwenye vita".
 
Zelensky baada ya kuona hajaalikwa, kajileleka mwenyewe juko UAE, ila ni kama vile kaenda kujitengenezea mazingira ya escape plan, maana kaenda kuomba makubaliano yafuatato na falme za kiarabu;
  1. Protection of personal data, hii maana yake hakutakuwa na taarifa binafsi zitakazotolewa na future government. Hapa anataka kufisha fedha huko uarabuni
  2. Ruhusa ya raia wa Ukraine kufungua kampuni kwa asilimia 70-100. Hapa anataka kutakatisha fedha kupitia kampuni atakazofungua yeye na familia yake au watu wa karibu.
 
Nadhani kinachoendelea ni Ukraine kukomolewa kwa kukataa kipindi kile kushirikiana na Trump
Trump anawakomoa wote Ukraine na Europe coz walikuwa wanashirikiana na Biden kumdidimiza! Analipa kisasi kwa kushirikiana na waliokuwa maadui wao!

Angalia ICC yote imekula vikwazo, ukiangalia ni Putin plus Netanyahu ndiyo vinara walioshtakiwa!
 
UPDATES

PARTIES IN THE WAR
= NATO (US+EU) VS RUSSIA
UWANJA WA VITA = UKRAINE
MSHINDI = RUSSIA

ALIYEKULA HASARA YA MILELE = UKRAINE

Kinachofuatia Ukraine = 1. Zelensky - Out, (uchaguzi October)
2. Madeni yatalipwa na vizazi vijavyo
3. Ardhi imechukuliwa na Russia
 
⚡Trump on Russian military:

They have a big, powerful war machine.

They defeated Hitler and Napoleon. They have been fighting for a long time. They have done it before.
 

Attachments

  • 19079000_bm832f5vgxpuee_jpeg_jpeg48385874d060018b96ac19abc91c0619.jpg
    13.5 KB · Views: 23
⚡NATO Military Chief Giuseppe Cavo Dragone:

A withdrawal of some of the 100,000 US troops stationed in Europe could be on the agenda because of some commitments that the US has far away from here, in the Pacific.

Still, The US will not pull out of NATO.
 
⚡U.S. Treasury Secretary Scott Bessent gave Ukrainian President Volodymyr Zelensky just ONE hour to accept a proposed economic deal in exchange for continued U.S. support.

Zelensky had expected discussions on financial aid, but instead, Bessent pushed for U.S. access to $500 billion worth of Ukraine’s rare earth minerals.

Unaccustomed to such direct pressure, Zelensky refused.

However, during the Munich Security Conference (Feb 14–16), the U.S. again demanded control over Ukraine’s resources as repayment for military aid.

By February 15, the Ukrainian delegation agreed to delay negotiations but accepted to start talks.
 

Attachments

  • 19079507_gjtummw0aet4de_jpeg_jpeg155554e39040f7348120ea53ea272589.jpg
    19.5 KB · Views: 25
WP: Europe considers sending up to 30,000 troops to Ukraine as a deterrent force.

The deterrent force would consist of several brigades with a total strength of 25,000 to 30,000 troops. France’s contribution could be around 10,000 soldiers.

European troops would not be stationed along the front line but would be “ready to demonstrate strength” if Russia launches another offensive. If necessary, these units could receive reinforcements and strengthen defenses.
 
Watazungumziaje kumaliza vita bila kumshirikisha Zelenskyy?

That’s some madness…..but what do I know? Maybe there’s some method to the madness.

We shall see.
Zelensky aliambiwa na URUSI wakae wayamalize.Boris Johnson akamkataza zelensky na kumwambia watamla silaha na kuishinda URUSI,sasa ulitaka URUSI ifanywe nini?
 
Ok,without US, EU and Ukraine are just dwarfs before Russia,remember that...?🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Keep on considering wakati vita vinamalizwa Leo huko Riyadh🤣🤣🇷🇺
P o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…