LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nadhani kinachoendelea ni Ukraine kukomolewa kwa kukataa kipindi kile kushirikiana na Trump ku expose biashara za kihuni walizonazo familia ya Biden nchini mwao.
Mkuu, ukisema kuikomoa Ukraine, unamaanisha nani hasa? Je, ni bilionea Zelensky au raia waliokimbia nchi yao? Au unazungumzia rasilimali zao?
 
Mambo hua yanazunguka,Kuna wakati wa west walikua wanajidadi kuzungumzia amani ya Ukraine bila Urusi kuwepo.
Sasa ni zamu ya mazungumzo ya amani ya Ukraine bila Ukraine kuwepo😄😄😄😃😃😃
Jamaa ni wepesi sana wa kusahau!!
Wamesahau ule mkutano aliitisha Zelensky ukafanyikia Uswisi juzi tu na akawa anaulizwa kwanini hakuwaalika Urusi akawa anasema wataalikwa mikutano ya baadae sana tena sio kusikiliza hoja zao ila ni kupewa maazimio/ ultimatums kwa ajili ya utekelezaji 😭😭😭😭

Maisha haya, hakika usinene ukamala!!
 

Revealed: Trump’s confidential plan to put Ukraine in a stranglehold​

Panic in Kyiv as US president demands higher share of GDP than Germany’s First World War reparations.
=================

Kama Taiwan wana akili walau hata ya kuvukia barabara, watasali sana, wataomba na kufunga kumshukuru Mungu kwa kuwaonesha majibu yote ya mtihani wanaotegemea kufanya very soon.

Maanina Zelensky!!
============================
Narudia tena kuwasisitiza Taiwan, hawatopata ishara nyingine zaidi ya hii!!!
 
Zelensky bado mdogo na bado ajifunza hii michezo ya kidiplomasia. Tena si yeye tu hata wengine akina Macron bado hawajakomaa.

Mara nyingi hufanya mambo bila kuzingatia hali halisi.

Kwa mfano leo mkutano wa dharura Paris umeamua kuongeza vikwazo kwa Russia na haijulikani ni kwa misingi ipi!
 

Trump responds after Ukraine not invited to Russia talks​

Someone has just asked Donald Trump to respond to Ukrainians who may be disappointed that officials from their country were not invited to peace talks.
"They've had a seat for three years and a long time before that," responded Trump.
"This could have been settled very easily. Just a half-baked negotiator could have settled this years ago without, I think, the loss of much land and without the loss of any lives and without the loss of cities that are just laying on their side."
Trump said he could have "made a deal" for Ukraine if he were US president when the war broke out.
"I could have made a deal for Ukraine that would have given them almost all of the land," he said.
"Everything, almost all of the land. And no people would have been killed and no city would have been demolished."

===========================
Huyu mzee wako baadhi ya watu wanamuona hamnazo ila ukimsikiliza with a free mind utagundua anaongeaga sense sana.

Na yupo sahihi sana, kwanini Ukraine hawakumalizaga vita kipindi kile kile cha Istanbul? Wangeokoa roho nyingi sana, maeneo, jeshi, uchumi na muda, kifupi wangeiokoa "nchi" yao.

Sasa kweli Urusi amemwaga damu kiasi gani, amewekewa vikwazo kiasi gani, amepoteza vifaa kiasi gani vya kijeshi, nguvukazi kiasi gani amepoteza kupata maeneo aliyoyapata ya Ukraine halafu leo kweli umwambie akurudishie kila kitu kwenye meza ya mazungumzo, hata sio ubinadamu kabisa!!

Kwanza huyo Putin akikubali kitu kama hiko Warusi watamtafuna mzima mzima.

Viherehere wengine wote kama hawatapata somo hapa, hawatojifunza tena mpaka nao yawakute.
 
Ndo maana nchi hizi mbili kubwa duniani Superpowers Marekani na Russia wameamua kujirudi kwenye sense na kurudisha mahusiano yao kama zamani.

Mahusiano ya kidiplomasia, biashara na mengine mengi tu kama ujasusi yote yalivurugwa na njia za mawasiliano kuvunjwa, walikuwa hawapigiani hata simu ilibakia ile ya 'red Line".

Hivyo waanza upya wateue mabalozi na maofisa kadhaa kisha baadae ndo waanze mazungumzo rasmi.
 
Oya hutakiwi kabisa!Jamaa anapitia kipindi kigumu sana!

Trump hints Ukraine election may be needed for peace​


Wednesday 19 February 2025 00:23, UK



View: https://x.com/worldupdates245/status/1891946489494241728
 
Bila shaka kuna mapito anaweza kupitia mtu yakawa kama kitabu chako cha kujifunzia 😁
 
Tena ukizingatia Trump na Putin wame piga marufuku ushoga kuwa tunu nchini mwao.....sasa huyo Zelensky ni shoga trump na putin wanaona kukaa nalo kwenye mazungumzo ni nuksi
 
Trump na Putin awapendi kuzungumza na choko mezani wanatamani uchaguzi ufanyike ukrain hili apatikana mtu sahihi wa kukaa naye mezani.
 
Ha ha haa nakumbuka aisee!
😄😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…