LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Europe must have a seat at the negotiating table because its way of life and security are among Russia’s strategic targets, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said.
 
Ki-rat anashabikia habari za kwamba eti Europe must have a seat at the negotiating table...
Kwanza ieleweke kuwa angalau ki-rat is talking about peace...
Secondly, those who have been defeated Hawana nguvu Tena ku-determine nani awepo kwenye Meza ya mazungumzo..Europe has been defeated militarily, economically, socially and psychologically.
 

US joins Russia in voting against UN resolution condemning Moscow's aggression​


In a potential stark shift by Ukraine's most powerful Western ally, the US has voted against a UN resolution that backs Kyiv's territorial integrity and condemns Russian aggression.

Monday 24 February 2025 19:25, UK

 

US joins Russia in voting against UN resolution condemning Moscow's aggression​


In a potential stark shift by Ukraine's most powerful Western ally, the US has voted against a UN resolution that backs Kyiv's territorial integrity and condemns Russian aggression.

Monday 24 February 2025 19:25, UK

Yes! Nakazia 🇷🇺🇷🇺
 

Attachments

  • 20250224_225524.jpg
    20250224_225524.jpg
    1.2 MB · Views: 2
Trump in 2022: If I were in the White House now, I would threaten Putin to bomb Moscow

Trump in 2025: Zelenskiy is a dictator, and Ukraine is to blame for the war.
Mna uhakika akaunti ya assistant ambassador wa Ukreni ndg kp kipanya44 haijadukuliwa kweli?

Maana kabla ya Trump kuchaguliwa mwishoni mwa mwaka jana, jamaa huyu alijigamba mno akisema kwamba Trump angembwekea Putin ile mbaya mbovu hadi atoke Ukreni kwa aibu.
 
Kwa haya anayoyasema Trump basi Europe waamshe akili zao.

Huyu jamaa kadhamiria kuwa sawa na Russia maana ni mfanya biashara yule ameona faida kubwa.

Europe wao wanaakili za kichawi kukomoana tu sio kufikiria faida kwa nchi zao.

Wanaikataa gas ya Russia halafu wanainunua kwa bei kubwa kwa third part hii ni akili kweli.

Ni marufuku kudharau viongozi wa Africa na kuwatukuza hawa walioagainst Russia maana nikuwakosea sana waafrica wenzetu.

Hadi sasa wanaotuzidi uzalendo ni viongozi wa America,Russia,China,North korea,Iran,Israel n.k
 
Switzerland could provide 200 soldiers for a future peacekeeping mission in Ukraine if an official request is made and the government approves the decision, Swiss Armed Forces Commander Thomas Süssli said in an interview with Swiss outlet SonntagsBlick on Feb. 23.
Duuu Sasa 200 wakafanye nini 🤣🤣🤣🤣si mizaha hii?
 
Thubutu ...kuivamia ukrain ni hadi mrusi akubali la sivyo watagongwa makwenzi na urusi mpaka wapasuke vichwa
Labda hunelewi situation ilivyo,Kule kaskazini mwa Ukraine,Kuna watu wanaongea lugha ya Poland,sasa lile eneo,Poland ilikuwa ikilidai mda mrefu kutoka Ukraine.mwaka Jana Medvedev alitweet,akasema Ukraine ikianguka,pia ijiandae kuvamiwa na Poland,kwenye huo Mkoa
 
Back
Top Bottom