Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Ni wazi jamaa hataki unafiki kwa sasa kwa vile ameshagundua Russia haongeki wala haanguki.Kwa haya anayoyasema Trump basi Europe waamshe akili zao.
Huyu jamaa kadhamiria kuwa sawa na Russia maana ni mfanya biashara yule ameona faida kubwa.
Europe wao wanaakili za kichawi kukomoana tu sio kufikiria faida kwa nchi zao.
Wanaikataa gas ya Russia halafu wanainunua kwa bei kubwa kwa third part hii ni akili kweli.
Ni marufuku kudharau viongozi wa Africa na kuwatukuza hawa walioagainst Russia maana nikuwakosea sana waafrica wenzetu.
Hadi sasa wanaotuzidi uzalendo ni viongozi wa America,Russia,China,North korea,Iran,Israel n.k
Halafu akiona uchumi wa Marekani unavyoporomoka huku BRICS ikishika kasi, ndiyo kabisa hapati usingizi.