LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Trump ni mpuuzi kashindwa kumconvince Zele achukue madini anaanza kupiga mkwara.
Amini usiamini, Zelenskyy ana mabwana wawili Marekani - bwana wa kwanza ni yule aliyemwambia apigane vita na Russia, bwana wa pili ni huyu anayemwambia asitishe vita mara moja.

Hawa wawili wako active na wanampa pressure kubwa sana jamaa hadi anashindwa ashike lipi, aache lipi.

This is always an inevitable price of being a puppet state.
 
Nadhani kinachoendelea ni Ukraine kukomolewa kwa kukataa kipindi kile kushirikiana na Trump ku expose biashara za kihuni walizonazo familia ya Biden nchini mwao.
Jana naona Trump kakumbushia issue ya Hunter Biden na namna Zelensky allivyogoma ku disclose dili chafu alizozifanya jamaa. Nadhani Trump ana kinyongo na kaka yake kipanya
 
No US,no NATO, no NATO,no Europe get that?
Asee wazungu wa ulaya wamechanganyikiwa. Kila mcjambuzi anatamani EU ifanye maamuzi ya kujitenga na US jana.
Yaani Ulaya waliposjindwa kutawala Afrika n.k, wakaanza kutawaliwa.na US
Nolikimbuka yale maazimio ya Munich Security Council, na mtifuano wa jana pale WH; kama wazungu hawatakomaa kuvua kamba Asia wanastahili kuwapiku kwa haraka sana
Wapimbavu watabaki Afrika
 
Mkuu yule wa kwanza si kaisha ondoka madarakani au kuna mwingine?
Huyu wa sasa ndio kichaa anampeleka puta sana.
 
Vance kachomekea eti Zele Oktoba mwaka jana alikwenda US akasaidia kampeni ya Kamala. Nadhani hii ndio chanzo cha hasira zao kwa Zele.
Hahahahah, na alivotaja hilo tu naona mashetani ya Trump ndo yakapanda mazima.

Kuna watu wameshajua namna ya kwenda na biti za Trump, angalia hata waliouliza maswali, wapo aliokua anawazodoa wameuliza maswali ya kipuuzi na wapo aliokua anawasifia wameuliza maswali mazuri sana, tazama walikua wameuliza maswali gani!!

Lakini deep down naamini hii ambush waliipanga maksudi, ilianzia kwa jamaa alieuliza kwanini Zelensky hajavaa suti halafu baadae Trump alivyoona kama imesahaulika akarudi tena kuiongelea ili wamjaze upepo Zelensky aharibu.
 
Walijua bado ni makelele ya biden kuwa kamwe hawezi kubali urusi ishinde
 
Baada ya kumuona zelensinky whitehouse,ndio nimejua kwa nini zelensinky aliambiwa akimbie nchi mwanzoni mwa uvamizi lakini akasema ..,staki safari,nataka silaha
Alibakia baada ya waziri mkuu wa Israel kuongea na Putin akamuomba Putin amhakikishie kwamba hatomuua Zelensky, baada ya Putin kutoa hiyo commitment ndio Zelensky akaanza kiburi kwasababu anajua Putin ni mtu wa kuheshimu kauli.
 
TAIWAN nawaita tena.

Pataneni na ndugu yenu muwe kitu kimoja.

Xi akimuhakikishia tu Trump atarudi kuwekeza Marekani biashara ya microchips ambayo Trump anailalamikia Taiwan mpaka leo na wakaweka sawa mambo mengine kadhaa kati yao mtaenda na maji hamtakaa muamini.

Pataneni muishi kwa umoja.

Hamtopata ishara nyingine zaidi ya hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…