🤣🤣🤣🤣JD ni mchonganishi sana, ukiangalia kiundani yeye ndo kama amesababisha hii vita ya leo, Trump kama alikua na staha fulani ya kiutu uzima ila Vance alikua anajitahidi sana kumchokonoa Zelensky mpaka nae busara ikamshinda akaamua kuanza kuropoka, na upande wa pili alijua kabisa kuna vitu akiongea lazima mashetani ya bosi wake yapande.
Unaweza sema walipanga makusudi kuionesha dunia Zelensky ni mtu wa aina gani make kete zilikua zinasukumwa kwa akili nyingi si mchezo.
Umejua kunichekesha.