TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
EU ‘can’t afford’ to support Ukraine – OrbanTwenty-six EU member states
Vipi Kiongozi baado upo? Ukraine Wana hali gani huko? Na mchekeshaji wao😄Ni wazi umeshikiliwa akili maana kama mpaka sasa miaka miwili umeshupaza shingo licha ya aibu yote hii ambayo Urusi imepitia, yaani mumepofushwa na yale mafundisho yenu.
Urusi ilidhulumu ardhi ya Crimea, lakini haikuwahi kuvamia Kyiv au kufanya aina ya huu uvamizi ambao walithubutu kuiparamia Ukraine yote, ni dhahiri hawakushauriwa vizuri, waliishia kuangukia pua na maelfu ya wanajeshi wa Urusi kufa kama senene.
Na mpaka wanaendelea kuuawa huku wakiachia maeneo waliyokua wamenyakua, Urusi ilitumia mbinu za kijinga sana, sote tumeshuhudia humu, nimekua nikileta taarifa kila siku za wanavyopelekeshwa, hivyo wewe kuandika andika hizi insha zako hakubadilishi na bado naendelea kuwahabarisha.
Hakika Mkuu umenena. Na jamaa alisema kabsa kuendelea kuifadhiri Ukraine ni kucheza kamari ya vita ya tatu ya Dunia so best way kusuluhisha tu yaishe.Mkuu, wewe ndiye humwelewi Trump.
Jamaa amenyooka kama rula na yuko wazi mno tangu vita vianze, kuhusu nini anachotaka.
Mahaba yake kwa Urusi ni makubwa kwa vile Russia amekuwa mstari wa mbele tangu awali kusisitiza suala la mazungumzo ya amani.
Ameonekana kuwa tofauti kabisa na Zelenskyy na vifiwaza (warmongers) wa NATO kwa sababu jamaa wanataka vita viendelee kwa manufaa yao wenyewe.
Yeye kama kiranja wa dunia, lazima awe msuluhishi.
Huu ndio wajibu unaopaswa kufanywa na taifa, jamii au mtu yeyote mwenye nguvu kuliko wengine.
Tunaweza kusema Trump anajaribu kuirudisha Marekani kwenye reli, lengo na msingi wake - ambao haufahamiki kwa wengi kwa vile sivyo ambavyo tumeizoea kuona ikifanya siku zote.
Kwenye kampeni zake za urais, Trump aliwahi kusema kwamba endapo angeshinda, angefanya mambo ya kuwashangaza wengi kwa sababu siyo matarajio yao wala hayakuzoeleka kwao.
Presedent wa lithuana ni shabiki wa Liverpool 🤣🤣🤣The entire world other than the authoritarians are standing with Ukraine and condemning Trump and Vance. The Trump United States is now aligned with the Axis of Evil - Russia, China, North Korea, and Iran!
BREAKING: TRUMP STANDS ALONE: After Trump and Vance's disgraceful Oval Office ambush of President Zelensky, major world players just came out to DEFEND Ukraine and Zelensky:
- Polish Prime Minister Donald Tusk: “Dear Zelensky, dear Ukrainian friends, you are not alone.”
- President of Lithuania Gitanas Nausea: “Ukraine, you’ll never walk alone.”
- Denmark Prime Minister Mette Frederiksen: “Dear Zelensky, Denmark proudly stands with Ukraine and the Ukrainian people.”
- French President Emmanual Macron: “There is an aggressor: Russia. There is a people being aggressed: Ukraine. We were all right to help Ukraine and sanction Russia three years ago and to continue doing so. We, that’s the Americans, the Europeans, Canadians, Japanese, and many others... Because they are fighting for their dignity, their independence, for their children, and for the security of Europe.”
- President of Moldova Maia Sandu: “The truth is simple. Russia invaded Ukraine. Russia is the aggressor. Ukraine defends its freedom—and ours. We stand with Ukraine.”
- Swedish Prime Minister Ulf Kristersson: “Sweden stands with Ukraine. You are not only fighting for your freedom but also for all of Europe’s. Slava Ukraini! ”
- Incoming German Chancellor Friedrich Mer: “Dear Zelenskyy, we stand with Ukraine in good and in testing times. We must never confuse aggressor and victim in this terrible war.
- Crotia’s Prime Minister Andrej Plenković: “Croatia knows from its own experience that only a just peace can last. The Croatian Government stands firm in its belief that Ukraine needs such a peace - a peace that means sovereignty, territorial integrity, and a secure Europe.”
- Finland’s Prime Minister Petteri Orpo: “Finland and the Finnish people stand firmly with Ukraine. We will continue our unwavering support and work towards a just and lasting peace.”
- Estonian Prime Minister Kristen Michal: “We stand united with
Zelenskyy and Ukraine in our fight for freedom. Always. Because it is right, not easy.”
- Ireland’s Deputy Prime Minister Simon Harris: “Ukraine is not to blame for this war brought about by Russia’s illegal invasion. We stand with Ukraine.“
- Latvia’s President Edgars Rinkevics: “Ukraine is a victim of the Russian aggression. It fights the war with the help from many friends and partners. We need to spare no effort for just and lasting peace. Latvia stands with Ukraine”
- Prime Minister of the Netherlands Dick Schoof: ”The Netherlands supports Ukraine as firmly as ever. Now more than ever. We want a lasting peace and an end to the war of aggression started by Russia. For Ukraine and its people, and for Europe.”
- Prime Minister of Luxembourg Luc Friedsen: “Luxembourg stands with Ukraine. You are fighting for your freedom and a rules based international order. ”
The West stands with the heroic Zelensky. Trump sides with the evil Putin. What has America become?
Please like and share!
- Ed Krassenstein on X
Inawezekana mimi ndio simuelewi. anataka mazungumzo ya amani hapo Ukraine vipi kule Gaza hataki amani?Mkuu, wewe ndiye humwelewi Trump.
Jamaa amenyooka kama rula na yuko wazi mno tangu vita vianze, kuhusu nini anachotaka.
Mahaba yake kwa Urusi ni makubwa kwa vile Russia amekuwa mstari wa mbele tangu awali kusisitiza suala la mazungumzo ya amani.
Ameonekana kuwa tofauti kabisa na Zelenskyy na vifiwaza (warmongers) wa NATO kwa sababu jamaa wanataka vita viendelee kwa manufaa yao wenyewe.
Yeye kama kiranja wa dunia, lazima awe msuluhishi.
Huu ndio wajibu unaopaswa kufanywa na taifa, jamii au mtu yeyote mwenye nguvu kuliko wengine.
Tunaweza kusema Trump anajaribu kuirudisha Marekani kwenye reli, lengo na msingi wake - ambao haufahamiki kwa wengi kwa vile sivyo ambavyo tumeizoea kuona ikifanya siku zote.
Kwenye kampeni zake za urais, Trump aliwahi kusema kwamba endapo angeshinda, angefanya mambo ya kuwashangaza wengi kwa sababu siyo matarajio yao wala hayakuzoeleka kwao.
Huyu Mzee ni kinyongaTrump kweli kigeugeu😁😍🤩View attachment 3262755
Yaani achokoze afu akimbilie kuomba msamahaa
Kujaribu kulinganisha suala la Ukraine na Gaza ni sawa kabisa na kuilinganisha Urusi na Hamas, jambo ambalo ni kosa kubwa.Inawezekana mimi ndio simuelewi. anataka mazungumzo ya amani hapo Ukraine vipi kule Gaza hataki amani?
Vita isikie tu kwa jirani..,huko pokrovsk tuliambiwa story zaidi ya hizi unazoleta Leo😁😍🤩Mtu kakimbizwa huko Kursk 🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺
View attachment 3263017
Story hii hapa. Wala usifiche chochotejirani..,huko pokrovsk tulioambiwa zaidi ya hizi story
One of the targets of Russian attack was a hotel in the city of Krivy Rih in the Dnepropetrovsk region. Foreign mercenaries and instructors from NATO countries often stay in hotels in the rear regions. Hotels in Krivy Rih are coming under Russian attacks on a regular basis because almost all of them were turned into bases and points of deployment of the Ukrainian military command and foreign fighters.Vita isikie tu...
Vita isikie tu kwa jirani..,huko pokrovsk tulioambiwa zaidi ya hizi story unazoleta Leo😁Mtu kakimbizwa huko Kursk 🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺
View attachment 3263017
Huko pokrovsk ni nini kiliwakwamisha warusi!? Maana huko tuliambiwa kila aina ya story,Tena kutoka vyombo vikubwa vya habari., usifikir vita ni muvi za Rambo🏃🏃Mungu wangu!! Maskini Ukraine wanaenda kupigwa na kitu kizito sana hapo Kursk!
Kuna wanajeshi zaidi ya elfu kumi wa Ukraine wanaenda kuzingirwa Sudzha na watauliwa wote kama hawato surrender.
Huyu Zelensky ukiwa na uwezo nae, kwanza unamchinja halafu unamuua, halafu unamkaba, halafu unampiga chuma, halafu unamnyonga na mwisho unampiga sindano ya sumu.
Kwa maelezo haya tayari Ukraine kafurushwa huko Kursk 🏃 🤩Story hii hapa. Wala usifiche chochote
====
Retreating from their military positions in the Kursk region, on southern and northern Donbass frontlines, the Armed Forces of Ukraine accumulated large forces and attempt counterattacks in the Pokrovsk direction.
The front south and east of Pokrovsk has remained relatively stable over the past few weeks. After a number of unsuccessful attacks aimed to take back control of Peschanoe and Kotlino in the middle of February, the Ukrainian military took a pause to regroup, reducing the intensity of attacks.
In recent days, Ukrainian attempts to counterattacks resumed in different directions along the front. According to the reports from the battlefield, on March 5th, Ukrainian forces attempted a series of large counterattacks near the village of Shevchenko. This settlement is of strategic importance for the Kiev regime, because there is one of the largest lithium deposits in Europe, which the Ukrainian leadership sold to its foreign patrons.
Ukrainian Army Launches Counter Offensive South Of Pokrovsk
Retreating from their military positions in the Kursk region, on southern and northern Donbass frontlines, the Armed Forces of Ukraine...maps.southfront.press