LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ni wazi umeshikiliwa akili maana kama mpaka sasa miaka miwili umeshupaza shingo licha ya aibu yote hii ambayo Urusi imepitia, yaani mumepofushwa na yale mafundisho yenu.
Urusi ilidhulumu ardhi ya Crimea, lakini haikuwahi kuvamia Kyiv au kufanya aina ya huu uvamizi ambao walithubutu kuiparamia Ukraine yote, ni dhahiri hawakushauriwa vizuri, waliishia kuangukia pua na maelfu ya wanajeshi wa Urusi kufa kama senene.
Na mpaka wanaendelea kuuawa huku wakiachia maeneo waliyokua wamenyakua, Urusi ilitumia mbinu za kijinga sana, sote tumeshuhudia humu, nimekua nikileta taarifa kila siku za wanavyopelekeshwa, hivyo wewe kuandika andika hizi insha zako hakubadilishi na bado naendelea kuwahabarisha.
Vipi Kiongozi baado upo? Ukraine Wana hali gani huko? Na mchekeshaji wao😄
 
Mkuu, wewe ndiye humwelewi Trump.

Jamaa amenyooka kama rula na yuko wazi mno tangu vita vianze, kuhusu nini anachotaka.

Mahaba yake kwa Urusi ni makubwa kwa vile Russia amekuwa mstari wa mbele tangu awali kusisitiza suala la mazungumzo ya amani.

Ameonekana kuwa tofauti kabisa na Zelenskyy na vifiwaza (warmongers) wa NATO kwa sababu jamaa wanataka vita viendelee kwa manufaa yao wenyewe.

Yeye kama kiranja wa dunia, lazima awe msuluhishi.

Huu ndio wajibu unaopaswa kufanywa na taifa, jamii au mtu yeyote mwenye nguvu kuliko wengine.

Tunaweza kusema Trump anajaribu kuirudisha Marekani kwenye reli, lengo na msingi wake - ambao haufahamiki kwa wengi kwa vile sivyo ambavyo tumeizoea kuona ikifanya siku zote.

Kwenye kampeni zake za urais, Trump aliwahi kusema kwamba endapo angeshinda, angefanya mambo ya kuwashangaza wengi kwa sababu siyo matarajio yao wala hayakuzoeleka kwao.
Hakika Mkuu umenena. Na jamaa alisema kabsa kuendelea kuifadhiri Ukraine ni kucheza kamari ya vita ya tatu ya Dunia so best way kusuluhisha tu yaishe.
 
The entire world other than the authoritarians are standing with Ukraine and condemning Trump and Vance. The Trump United States is now aligned with the Axis of Evil - Russia, China, North Korea, and Iran!

BREAKING: TRUMP STANDS ALONE: After Trump and Vance's disgraceful Oval Office ambush of President Zelensky, major world players just came out to DEFEND Ukraine and Zelensky:

- Polish Prime Minister Donald Tusk: “Dear Zelensky, dear Ukrainian friends, you are not alone.”

- President of Lithuania Gitanas Nausea: “Ukraine, you’ll never walk alone.”

- Denmark Prime Minister Mette Frederiksen: “Dear Zelensky, Denmark proudly stands with Ukraine and the Ukrainian people.”

- French President Emmanual Macron: “There is an aggressor: Russia. There is a people being aggressed: Ukraine. We were all right to help Ukraine and sanction Russia three years ago and to continue doing so. We, that’s the Americans, the Europeans, Canadians, Japanese, and many others... Because they are fighting for their dignity, their independence, for their children, and for the security of Europe.”

- President of Moldova Maia Sandu: “The truth is simple. Russia invaded Ukraine. Russia is the aggressor. Ukraine defends its freedom—and ours. We stand with Ukraine.”

- Swedish Prime Minister Ulf Kristersson: “Sweden stands with Ukraine. You are not only fighting for your freedom but also for all of Europe’s. Slava Ukraini! ”

- Incoming German Chancellor Friedrich Mer: “Dear Zelenskyy, we stand with Ukraine in good and in testing times. We must never confuse aggressor and victim in this terrible war.

- Crotia’s Prime Minister Andrej Plenković: “Croatia knows from its own experience that only a just peace can last. The Croatian Government stands firm in its belief that Ukraine needs such a peace - a peace that means sovereignty, territorial integrity, and a secure Europe.”

- Finland’s Prime Minister Petteri Orpo: “Finland and the Finnish people stand firmly with Ukraine. We will continue our unwavering support and work towards a just and lasting peace.”

- Estonian Prime Minister Kristen Michal: “We stand united with
Zelenskyy and Ukraine in our fight for freedom. Always. Because it is right, not easy.”

- Ireland’s Deputy Prime Minister Simon Harris: “Ukraine is not to blame for this war brought about by Russia’s illegal invasion. We stand with Ukraine.“

- Latvia’s President Edgars Rinkevics: “Ukraine is a victim of the Russian aggression. It fights the war with the help from many friends and partners. We need to spare no effort for just and lasting peace. Latvia stands with Ukraine”

- Prime Minister of the Netherlands Dick Schoof: ”The Netherlands supports Ukraine as firmly as ever. Now more than ever. We want a lasting peace and an end to the war of aggression started by Russia. For Ukraine and its people, and for Europe.”

- Prime Minister of Luxembourg Luc Friedsen: “Luxembourg stands with Ukraine. You are fighting for your freedom and a rules based international order. ”

The West stands with the heroic Zelensky. Trump sides with the evil Putin. What has America become?

Please like and share!

- Ed Krassenstein on X
Presedent wa lithuana ni shabiki wa Liverpool 🤣🤣🤣
 
Mkuu, wewe ndiye humwelewi Trump.

Jamaa amenyooka kama rula na yuko wazi mno tangu vita vianze, kuhusu nini anachotaka.

Mahaba yake kwa Urusi ni makubwa kwa vile Russia amekuwa mstari wa mbele tangu awali kusisitiza suala la mazungumzo ya amani.

Ameonekana kuwa tofauti kabisa na Zelenskyy na vifiwaza (warmongers) wa NATO kwa sababu jamaa wanataka vita viendelee kwa manufaa yao wenyewe.

Yeye kama kiranja wa dunia, lazima awe msuluhishi.

Huu ndio wajibu unaopaswa kufanywa na taifa, jamii au mtu yeyote mwenye nguvu kuliko wengine.

Tunaweza kusema Trump anajaribu kuirudisha Marekani kwenye reli, lengo na msingi wake - ambao haufahamiki kwa wengi kwa vile sivyo ambavyo tumeizoea kuona ikifanya siku zote.

Kwenye kampeni zake za urais, Trump aliwahi kusema kwamba endapo angeshinda, angefanya mambo ya kuwashangaza wengi kwa sababu siyo matarajio yao wala hayakuzoeleka kwao.
Inawezekana mimi ndio simuelewi. anataka mazungumzo ya amani hapo Ukraine vipi kule Gaza hataki amani?
 
Inawezekana mimi ndio simuelewi. anataka mazungumzo ya amani hapo Ukraine vipi kule Gaza hataki amani?
Kujaribu kulinganisha suala la Ukraine na Gaza ni sawa kabisa na kuilinganisha Urusi na Hamas, jambo ambalo ni kosa kubwa.

Ingawa wote wanadai kupigania maslahi ya nchi zao au ardhi yao, mbinu yao ni tofauti.

Kabla ya tukio la Februari 22 la SMO Ukreni, Urusi ilimpatia Zelenskyy nafasi ya kuchagua njia ya amani au vita.

Zelenskyy, kwa kushupazwa shingo na wafadhili wake, akaamua yeye mwenyewe kuwatumbukiza raia wake kwenye machinjio.

Angeamua kujivika ujasiri alionao sasa wa kubishana na Trump hadharani, akakaa meza moja ya mazungumzo na Putin wakati ule, basi hakika leo historia ya Ukreni ingekuwa tofauti sana!

Tukio la kuhuzunisha sana walilofanya Hamas Oktoba 7 halikuwapa Israeli nafasi ya kuchagua kati ya vita au maridhiano.

Huenda hii ni kutokana na historia ya huko nyuma, uwezo wao na mtazamo, lakini wala hilo si hoja hapa.

Russia alionesha ustaarabu na kujitambua na kujali sana uhai kwa kitendo chake cha kusisitiza suala la amani kwa njia ya mazungumzo ya pamoja.

Kwa mazingira haya, ni dhahiri Gaza ilipokelewa jinsi ileile Hamas walivyoingia Israeli - kwa mauaji ya kikatili tena bila kujali uhai wowote!

Nadhani Netanyau na Israeli kwa ujumla wanaamini kwamba Hamas wanaelewa lugha moja tu ya matumizi ya nguvu.

Kwa upande mwingine, Urusi ni utawala unaojaribu kulinda maslahi yake pamoja na usalama na heshima na ushawishi wake kwa pamoja.

Urusi inajiona kama kiongozi duniani. Hadhi yake ni muhimu sana.

Hamas hujiona kama mhanga. Uhai wake ndio kipaumbele kwa vile ndio uko hatarini zaidi kutoweka.

Jambo la tatu muhimu linalokazia kwa nini pengine Trump haoneshi msimamo wake wa amani Gaza kama ule wa Ukreni ni malengo makuu ya vita.

Ni kama vile Hamas na Gaza walishaamua kwamba haiwezekani kamwe katu wao kuwepo ilhali Waisraeli nao wakiwepo.

Kwao coexistence yao pamoja na wana wa Yakobo ni anasa ghali mno wasiyoweza kuimudu.

Mtazamo huu unawaachia uchaguzi mmoja tu wa kubuni kila njia wawezayo ili kupambana na Mzayuni hadi tone la mwisho - ama zangu, ama zake!

Wazo la nne nilionalo hapa pia ni kwamba Trump anaonekana kupamudu zaidi Mashariki ya Kati kuliko Ukreni, ambapo anamudu upande mmoja tu wa Zelenskyy.

Trump ana njia nyingi za kumdhibiti Israeli na Hamas, kwa sababu ya uwezo alionao juu yao.

Hata hivyo, Ukreni ndiye pekee anayeweza kufokewa na Trump.

Kwa hesabu za jamaa, hawezi kabisa kumchokonoa sana Putin kwa vile ni dubu - ingawa ni mtulivu, anayejitambua sana.

Haiwezekani kumtishia Urusi bomu ukadhani atanywea na kuchutama.

Lakini Zelenskyy yeye?

Kwa nini hakuwa na wawakilishi kwenye ule mkutano wa awali Saudia uliokuwa ukiihusu nchi yake?

Kwa nini Trump ampigie simu Putin, halafu Zelenskyy akaishia tu kupewa taarifa baadaye kuhusu dondoo za mazungumzo husika?

Kwa nini Trump amtishie kwamba mkataba wa madini adimu utasainiwa ama pamoja naye au pasipo yeye?

Kwa nini baada ya ule mtikasi wa kulumbana Ikulu Marekani, Zelenskyy akatakiwa kuomba radhi hadharani, na akafanya hivyo kweli?

Hii yote ni kutuambia kwamba Zelenskyy kwa Trump anatishika na kushikika.

Hiki ni kinyago walichokichonga Marekani wenyewe; wala hakiwezi kuwatisha.

Kwa mtazamo wa Trump, na ndio ukweli wenyewe, Zelenskyy ^hana karata,^ maana yake hana chake hapo.

Kwa ufupi, Trump anaelewa malengo yake (amani) na pia anajua njia zipi feasible atumie ili kuyafikia kwa gharama ndogo.

Trump anaelewa fika mipaka yake pia. Ni mara ngapi akizungumzia kuikabili Urusi, suala la VV3 linaibuka mara zote?

Kwa hiyo kuishambulia Hamas ndiyo njia ya amani?

Bila kuhalalisha ubaya wowote, ila kwa mtu mkatili asiyetambua amani kwa njia ya mazungumzo ya pamoja na hatimaye maridhiano, basi matumizi ya nguvu kidogo yatasaidia kumkumbusha hilo.

Ni baada ya kipondo kizito cha miaka 3 ndipo Ukreni akili zimemkaa na kutambua vizuri zaidi umuhimu wa suluhu kwa njia ya mazungumzo.
 
Mtu kakimbizwa huko Kursk 🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺
20250307_232434.jpg
 
Kursk Bulge
"Surrender or Die"

WinWin 🇷🇺 on TG reports:

There are 4,700 to 6,300 Ukrainian Armed Forces fighters surrounded in the Kursk region.

They have no way out.
Only a breakthrough.

Only 15-20% of the total mass can handle it.
There is no way to unblock either.

Only surrender or die.

The electronic warfare system has turned off the Ukrainian Armed Forces' communications.
Starlinks have not been working since Monday.

Separate groups (they are fighting with small BTRGs) have independently, without regard for Syrsky, begun negotiations on surrendering and taking out the wounded in exchange for life and new types of weapons supplied by the US and France.

They are ready to give up new types of UAVs, a satellite encryption system, electronic warfare, and some armored vehicles.

More than a thousand fighters are ready to surrender right now.

There are still 230 seriously wounded who need emergency care.

The Ukrainian Armed Forces command went off the air early in the morning of 07.03.2025
In essence, they abandoned the troops.

There will be no concessions for the Ukrainian Armed Forces in the Kursk region.

Anyone who does not surrender at dawn on 08.03.2025 will be destroyed by all types of KABs by the night of the next day.
===========

Operation ya KURSK imeshafikisha miezi nane au zaidi,

Operation ya Gaza sijui ilichukua miezi mingapi, nafikiri ilifika miezi 6.

Tunavyosimuliwa habari za vita na uhalisia ulivyo ni tofauti.

Nimejifunza vita haina mkubwa wala mdogo, vita ni mfumo kamili wa maisha.


Russia si wadhaifu,
ukraine si wadhaifu,
Israil si wadhaifu, wala
Hamas si wadhaifu.

Ili vita iwe nyepesi ni lazima upande mmoja uwe na vigeugeu kama ilivyokuwa mapinduzi ya SYRIA hivi karibuni.
1741401299877.jpeg
 
Katika sehemu Ukrainian army walijichanganya ama labda hesabu kufeli ni Kursk Region. Waliingia but kulikuwa na umuhimu Zele boy kutafakari upya ye na makamanda wake advantage ya wao kuwa pale!
Kwa namna flani haikuwa na sio rahisi kuhodhi Jimbo la Russia ukafanikiwa Kwa muda mrefu eti iwe kama karata ya mazungumzo. Maskini poleni sana Ukraine.Your days there are numbered.
 
Mungu wangu!! Maskini Ukraine wanaenda kupigwa na kitu kizito sana hapo Kursk!

Kuna wanajeshi zaidi ya elfu kumi wa Ukraine wanaenda kuzingirwa Sudzha na watauliwa wote kama hawato surrender.

Huyu Zelensky ukiwa na uwezo nae, kwanza unamchinja halafu unamuua, halafu unamkaba, halafu unampiga chuma, halafu unamnyonga na mwisho unampiga sindano ya sumu.
 
jirani..,huko pokrovsk tulioambiwa zaidi ya hizi story
Story hii hapa. Wala usifiche chochote
====

Retreating from their military positions in the Kursk region, on southern and northern Donbass frontlines, the Armed Forces of Ukraine accumulated large forces and attempt counterattacks in the Pokrovsk direction.

The front south and east of Pokrovsk has remained relatively stable over the past few weeks. After a number of unsuccessful attacks aimed to take back control of Peschanoe and Kotlino in the middle of February, the Ukrainian military took a pause to regroup, reducing the intensity of attacks.

In recent days, Ukrainian attempts to counterattacks resumed in different directions along the front. According to the reports from the battlefield, on March 5th, Ukrainian forces attempted a series of large counterattacks near the village of Shevchenko. This settlement is of strategic importance for the Kiev regime, because there is one of the largest lithium deposits in Europe, which the Ukrainian leadership sold to its foreign patrons.

 
Vita isikie tu...
One of the targets of Russian attack was a hotel in the city of Krivy Rih in the Dnepropetrovsk region. Foreign mercenaries and instructors from NATO countries often stay in hotels in the rear regions. Hotels in Krivy Rih are coming under Russian attacks on a regular basis because almost all of them were turned into bases and points of deployment of the Ukrainian military command and foreign fighters.

On the morning of March 6th, Zelensky was forced to admit that there were foreigners hiding in the destroyed hotel in Krivy Rih. According to him, a group of US and British citizens checked into the hotel “literally before” the missile attack. However, Zelensky claims that the foreigners represented “one of the humanitarian organizations,” without revealing the name of the organization that the “volunteers” represented.

The reference to “humanitarian organizations” and “volunteers” is standard for the Ukrainian authorities, who are forced to acknowledge the deaths of foreigners. In the vast majority of cases, these formulations hide foreign mercenaries and military instructors. After years of Kiev’s lies about Russian attacks on civilians in Ukraine, claims of Ukrainian officials can no longer be trusted.
===
Yawezekana Hiki ndicho chanzo cha US kutishia vikwazo na UK na France kushupaza shingo!!!
 
Mtu kakimbizwa huko Kursk 🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺
View attachment 3263017
Vita isikie tu kwa jirani..,huko pokrovsk tulioambiwa zaidi ya hizi story unazoleta Leo😁
Mungu wangu!! Maskini Ukraine wanaenda kupigwa na kitu kizito sana hapo Kursk!

Kuna wanajeshi zaidi ya elfu kumi wa Ukraine wanaenda kuzingirwa Sudzha na watauliwa wote kama hawato surrender.

Huyu Zelensky ukiwa na uwezo nae, kwanza unamchinja halafu unamuua, halafu unamkaba, halafu unampiga chuma, halafu unamnyonga na mwisho unampiga sindano ya sumu.
Huko pokrovsk ni nini kiliwakwamisha warusi!? Maana huko tuliambiwa kila aina ya story,Tena kutoka vyombo vikubwa vya habari., usifikir vita ni muvi za Rambo🏃🏃
 
Story hii hapa. Wala usifiche chochote
====

Retreating from their military positions in the Kursk region, on southern and northern Donbass frontlines, the Armed Forces of Ukraine accumulated large forces and attempt counterattacks in the Pokrovsk direction.

The front south and east of Pokrovsk has remained relatively stable over the past few weeks. After a number of unsuccessful attacks aimed to take back control of Peschanoe and Kotlino in the middle of February, the Ukrainian military took a pause to regroup, reducing the intensity of attacks.

In recent days, Ukrainian attempts to counterattacks resumed in different directions along the front. According to the reports from the battlefield, on March 5th, Ukrainian forces attempted a series of large counterattacks near the village of Shevchenko. This settlement is of strategic importance for the Kiev regime, because there is one of the largest lithium deposits in Europe, which the Ukrainian leadership sold to its foreign patrons.

Kwa maelezo haya tayari Ukraine kafurushwa huko Kursk 🏃 🤩
 
Republican lawmakers are calling on President Donald Trump to resume U.S. military and intelligence assistance to Ukraine, the Hill reported on March 7.
 
Ukraine receives the first tranche from the UK under a loan using Russian assets

Ukraine has received the first disbursement of funds from the United Kingdom under a G7 loan using proceeds from Russia's frozen assets.

Prime Minister of Ukraine Denys Shmyhal reported about it in X (Twitter).

Shmyhal said that Ukraine has received the first funds from the United Kingdom under the G7 loan, secured by the proceeds of frozen Russian assets - 752 million pounds.

“The funds will be used to strengthen Ukraine's defense capabilities. I am grateful to Keir Starmer, the UK government and our G7 partners for the mechanism that makes Russian funds work for Ukraine. We expect that all sovereign assets of the Russian Federation will be confiscated in the future and transferred to our country,”
the Prime Minister said.
 
🚀 Ukrainian UAVs spotted over Russia! Russian monitoring channels report drone threats in Astrakhan region and Yeysk, with confirmed activity in both areas.
 
Back
Top Bottom