kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Kirat mambo?Russia suffered approximately 883,950 casualties in Ukraine between February 24, 2022 and March 8, 2025, with 1,150 soldiers killed or wounded in the past 24 hours, according to the General Staff of the Ukrainian Armed Forces.
Safi bibie,kwema!?Kirat mambo?
Ukreni wala hataki amani. Anataka kipondo kizito ili apate sababu ya kuziburuza nchi za NATO vitani moja kwa moja.Trump says Ukraine 'more difficult' to deal with than Russia
Hiyo ni tactic retreat,subiri uone🤣🇷🇺Vita isikie tu kwa jirani..,huko pokrovsk tulioambiwa zaidi ya hizi story unazoleta Leo😁
Huko pokrovsk ni nini kiliwakwamisha warusi!? Maana huko tuliambiwa kila aina ya story,Tena kutoka vyombo vikubwa vya habari., usifikir vita ni muvi za Rambo🏃🏃
Hawana pa kutokea. Ni ama wajisalimishe, au wakubali kuchinjwa.==============
Hatari kweli kweli
Hii NATO bila US sioni kama wana uwezo wa kupambana na Russia. Wao wenyewe wanalia uhaba mkubwa wa silaha kwenye mataifa yao.Ukreni wala hataki amani. Anataka kipondo kizito ili apate sababu ya kuziburuza nchi za NATO vitani mojakwa moja.
Trump ndio anaiadhibu Ukraine.Hawana pa kutokea. Ni ama wajisalimishe, au wakubali kuchinjwa.
Kama Ukraine peke yake kaweza kummudu Russia sioni haja ya NATOHii NATO bila US sioni kama wana uwezo wa kupambana na Russia. Wao wenyewe wanalia uhaba mkubwa wa silaha kwenye mataifa yao.
Kama hela inatokana na assets za Urusi zinazoshikiliwa, kwanini wamkopeshe? Si wampe tuUkraine receives the first tranche from the UK under a loan using Russian assets
Ukraine has received the first disbursement of funds from the United Kingdom under a G7 loan using proceeds from Russia's frozen assets.
Prime Minister of Ukraine Denys Shmyhal reported about it in X (Twitter).
Shmyhal said that Ukraine has received the first funds from the United Kingdom under the G7 loan, secured by the proceeds of frozen Russian assets - 752 million pounds.
“The funds will be used to strengthen Ukraine's defense capabilities. I am grateful to Keir Starmer, the UK government and our G7 partners for the mechanism that makes Russian funds work for Ukraine. We expect that all sovereign assets of the Russian Federation will be confiscated in the future and transferred to our country,”
the Prime Minister said.