ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Lugha za namna hii binafsi hua zinanikera sana.Wachechnya wana balaa sana.... nadhani wameacha kutembea na 'vilainishi' sababu ya 'mfungo' 😎 Otherwise wangesafisha 'mitaro' ya LGBTQ+
Kwanza yapo mengi sana ya kukera unayoweza kuwatukana pro west/ Ukraine tofauti na hiki unafanya, pili pro Russia/ haki hawapo hivi mzee na tatu hata hii vita haihusiani kabisa na huo upuuzi unaoutaja.