It may,if it sells it's to USAThe U.S. may resume military aid to Ukraine if there is progress during talks with Kyiv in Saudi Arabia this week, U.S. Secretary of State Marco Rubio told journalists on March 10 en route to Jeddah, The Guardian reported.
Russia is self sufficient in weapons you mayThe United States will not provide military aid to Russia, U.S. Secretary of State Marco Rubio told reporters on March 10 in a curious comment ahead of U.S.-Ukraine talks.
Pale timu imefungwa goli 20 halafu nayo ikafanikiwa kupata 1 jinsi mashabiki wake wanavyoshangilia.Safi sana Zelensky,sio Kila siku watu wako wanauwawa unaishia kulaani.
Mashambulizi ndani ya Russia tena Moscow ndio yatawalazimisha Kukaa mezani.
Inatakiwa uandae mashambulizi kama haya kwenye Miji 5 Kwa mpigi watu wafe ndio Putin atapiea pressure na watu wake vita itaisha 👇👇
View: https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1899418390176891191?t=QOFSyVy5P0wgiIE3se3jbA&s=19
Waendelee kupambana hivyo hivyoPale timu imefungwa goli 20 halafu nayo ikafanikiwa kupata 1 jinsi mashabiki wake wanavyoshangilia.
Aisee hongereni sana, kupata hakuna kudogo. Mmekaa kiunyonge sana muda mrefu, hivyo shangilieni hata mmapopata mpira wa kurusha
Russian air
Cool down zaidi ya drone 300 zimerushwa kwenye miaka 10 tofauti tofauti. Ila kati ya hizo 74 zilidunguliwa zikiwa njiani kuingia Mosco.
Soma hizo habari hapo juu.Urusi Leo kaipatapata fresh 😎😎😎View attachment 3266573
Wewe mbona hujatujulisha Jinsi urusi ilivyochakazwa na drones 🦁Kipanya 44 ebu tupe habari ya Kurks.bado mnasonga mbele kuelekea mkoa gani mwingine ndani ya Urusi😂😂😂
Anza kwanza wewe maana nasikia Kurks imebaki story 😂😂Wewe mbona hujatujulisha Jinsi urusi ilivyochakazwa na drones 🦁
Huu Sasa ni upuuzi, siyo Kila kitu ukusikia tu unaleta kupost humu. Tangu lini USA akatoa military aid to Russia?The United States will not provide military aid to Russia, U.S. Secretary of State Marco Rubio told reporters on March 10 in a curious comment ahead of U.S.-Ukraine talks.
Tujulishe kwanza super power anachakazwaje na drones,Tena Moscow kabisa 🏃 🤩Anza kwanza wewe maana nasikia Kurks imebaki story 😂😂
Kuhusu nini? Au kuna tatizo juu ya nilichomueleza mdau?Soma hizo habari hapo juu.
Hii umekosea au umedhamiria?The United States will not provide military aid to Russia, U.S. Secretary of State Marco Rubio told reporters on March 10 in a curious comment ahead of U.S.-Ukraine talks.