LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Suala la Russia kuichukua Kursk ilikuwa sio ya kuijadili, ilikuwa ni suala la muda, US hata angeendelea Biden kwa miaka 10 asingweza kuwazuia Russia, Trump ni msema kweli na hana unafiki katika maneno na matendo, ameona hii vita ni kupotez muda... Ndio maana Trump alimuambia zelensky pale ikulu, " pasipo US hii vita ingechuku wiki mbili tu", ni ukweli mchungu..
 

Putin issues warning to foreign mercenaries​

Any combatants committing crimes against civilians on Russian soil will be treated as terrorists, the president has said

Foreign mercenaries fighting for Kiev should be aware that they do not have the same legal protections under international law as regular Ukrainian combatants, Russian President Vladimir Putin said during a visit to Kursk Region.
Speaking at a meeting with the Russian General Staff and military commanders on Wednesday, the president stated that any Ukrainian soldier or foreign mercenary captured on Russian soil can be treated as a terrorist under Russian law.
“All people who commit crimes against the civilian population on the territory of the Kursk Region, confront our Armed Forces, law enforcement agencies and special services, are terrorists in accordance with the laws of the Russian Federation,”
Putin said. “This is how the Russian Prosecutor General’s Office and the Investigative Committee qualify their actions.”
Putin stressed that Russia “treats and will treat all people humanely,” including prisoners of war (POWs), but warned that mercenaries lack the same legal status as regular troops.
“I still want to remind you that foreign mercenaries are not protected by the 1949 Geneva Convention on POWs,” the Russian leader said.
 
Ila inaonekana jamaa walikua wamejichimbia kweli kweli,walikua na zana nzito na walikua Wana uhakika wa supply ya silaha na vifaa muhimu Kila wanapohitaji.
Na inadhaniwa Kuna askari wengi maalumu wa NATO.
Sehemu kubwa ya Hawa waukraine waliingia Kursk walikua ni wale askari Bora na hodari kabisa.
Haikua kazi rahisi kwa Hawa wanajeshi wa Urusi kuwa piga surprise ya kibabe namna hii na kuwakatia mawasilaiano ya upatikanaji wa silaha na misaada na Sasa kuwaacha wakitafuta namna ya kuokoa nafasi zao.
 
Ila kwa vyovyote vile Askari wa Ukraine waliokuwa Kusk itakuwa wameshatoroka kwa njia yoyote ile na hata silaha zao za maana wameshazirejesha.. Pale Askari wa Russia watakuta tu vifaa vimetelekezwa.
Mnasema eti Askari elfu 10 wamezingirwa na wanasubiri kichapo. Russia itakuta vifaa chakavu tu.
NA HUENDA UKRAINE WALISHAONDOKA MUDA TU NA NDIO MAANA TUNAONA RUSSIA KAINGIA KIULAINI TU.
 
Upo sahihi.
 
Kwahiyo mabwana zako huko Washington na London wanavyotoa tahadhari kwamba jeshi la Ukraine lililoko Kursk limekatiwa njia zao wanakua hawajui unachokijua wewe au satellite zako zinaona kuliko zao?
 
Marekani haijawahi kukaa upande wa urusi,Ukraine imekuwa ikipata millitary intelligence,weapons,money,mercenaries n.k imabadilusha nini mpaka sasa?
 
WEWE HUOGOPI🇷🇺🇷🇺💪
 
Kwahiyo mabwana zako huko Washington na London wanavyotoa tahadhari kwamba jeshi la Ukraine lililoko Kursk limekatiwa njia zao wanakua hawajui unachokijua wewe au satellite zako zinaona kuliko zao?
Wewe Mzee Mfupi hebu ukipata taarifa kuwa Russia imewaua askari wa Ukraine waliozungukwa huko kursk UTULETEE HUMU.
 
Mkuu, kp kipanya44 , wewe hakika unachekesha sana. Mbona unajitoa ufahamu au kusahau kwamba huyo ^mbuzi^ ni wa Ukreni, na wala si wa Urusi?

Zelensky alishaambiwa mubashara kwamba yeye hana karata na wala hawezi kupambana na Urusi - hata akiwa na msaada wa Marekani na NATO. Hili nalo umesahau?

Namna pekee ya Ukreni kuwa salama ni kukubali ardhi yake imegwe na ikaliwe na Urusi, kuiachia Marekani rasilimali zake, na kuzikacha ndoto zake za kujiunga NATO.

Trump anachofanya sasa ni kuwaliwaza tu ili huo mkataba wa madini usainiwe. Kumbuka kwamba Russia na Marekani ndio walianza kukaa meza moja huko Saudia, na wala Ukreni na NATO hawajui kilichojadiliwa.

Mimi nina hakika kwamba kwenye ule mkutano, Urusi na Marekani walikubaliana kuifanya Ukreni kama ambavyo Afrika ilifanywa kutokana na mkutano wa Berlin 1884-5.

Kama Marekani sasa hana masihara na nchi kama Kanada jirani yake kabisa, sembuse Ukreni ambayo kimsingi ni Warusi walewale wanaochukiwa na Marekani?

Mwambieni Zelensky na NATO furaha yao ya kuona Ukreni kuendelea umwagaji damu wa watu wao, bila shaka inaelekea mwisho.
 
Ukraine ameshapata medali zake muhimu alizokuwa anafukuzia kwa udi na uvumba

1.resume flowing of military equipment

2.getting integence sharing from USA

3.Access to satellite images from Russia

Kwa Ukraine hata akipigana miaka 10 Wala hiyo si tatizo kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…