kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Sawa mkuu,tuwe na subira kwamaana muda wa matokeo haujaja bado!Ndio Mkuu, kumbuka hii vita ilianza tangu 2014., sanasana inadhoofisha super power wa mchongo huku akipoteza ushawishi wake kama alivofurushwa huko syria
NaamSawa mkuu,tuwe na subira kwamaana muda wa matokeo haujaja bado!
Wazee wa Potok Operation.Wazee wa pipeline!Ukiwaangalia unajua wazee wa kazi!
View attachment 3269069
View attachment 3269071View attachment 3269073
Umemkataa kp kipanya44 unaanza kuwazimikia wazee wa pipe line.., inaonekana unapenda pipe sana bibie 🏃🏃🏃🤩🥰😍Wazee wa pipeline!Ukiwaangalia unajua wazee wa kazi!
View attachment 3269069
View attachment 3269071View attachment 3269073
Nilimwona akiongea huyu Bw. Ihor Chalenko aliongea kwa uchungu sana!Russian dictator Vladimir Putin appeared in military uniform in Kursk Oblast on March 13, as the Ukrainian military continues its operations in the region, political analyst Ihor Chalenko said on Radio NV.
Sio kwamba watapeleka tu, urusi akijifanya kiburi kuvunja makubaliano ya ceasefire atatiwa adabuSwala la nchi kupeleka peace keepers ukraine ni ndoto za mchana labda waishie Kiev napo watakuwa wana kimbilia shimoni
Kwa nini hawakumtia adabu hapo kabla?Sio kwamba watapeleka tu, urusi akijifanya kiburi kuvunja makubaliano ya ceasefire atatiwa adabu
Bw. J. D. Vance Makamu wa Rais wa Trump aliwaambia Waingereza wasahau kuwa wanaweza kutunishana msuli na Urusi maana Urusi wako vitani kipindi chote cha maisha yao. Akasema Uingereza haijawahi pigana vita yoyote ya maana kwa muongo mmoja sasa. Hivyo ikijaribu itatiwa adabu.European countries may launch "direct and immediate" strikes on Russian assets if a ceasefire is violated.