Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Huyu Rais huenda Damu za watu zimeanza kumtesa.Jamaa itakuwa wamemnyofoa ubongo anatumia urojo kufikiria. Mpaka Jana bado anakwambia Kursk inaweza kuwa bargaining chip ya wao kurudishiwa occupied territories. Mpaka Jana bado anasema jeshi lake Kursk linaendelea kutimiza majukum kama kawaida!
Hivi huyu mtu anamiliki ubongo kweli?
Nakumbuka Rais wa Georgia bwana Mikhail Saakashivil baada TU ya vita na Urusi akaanza kupatwa na uchizi.