Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Ila na wewe hapa katikati ulianza kuyumba bro.Hivi yule mkenya 254 yupo humu bado. Nakumbuka yeye, My Son Drink Water,
The Sunk Cost Fallacy na Kipanya walikuwa na ofisi pale Kiev
Ila na wewe hapa katikati ulianza kuyumba bro.Hivi yule mkenya 254 yupo humu bado. Nakumbuka yeye, My Son Drink Water,
The Sunk Cost Fallacy na Kipanya walikuwa na ofisi pale Kiev
Ha ha haa.kuna memba humu lazima am tag.Alaf alikua anaaminika na kina kipanya yule mwamba Kila kifaa anakijua mpk udhaifu wa risasi 🤣
Mixx ni mmoja wa wachangiaji makini kabisa wa jukwaa hili akiwa Pro haki mwenzetu tumetoka nae mbali sana,akichangia kutokea Nairobi akiongozwa na facts na history.Limuru road hapa umoja wa Mataifa Nairobi along UN Avenue jamaa alifunga ka ofisi which was streaming live from Uwanja wa mapambano huko The Siverskyi Donets – Donbas. lets cut them some slacks
Am much humbled my buddyMixx ni mmoja wa wachangiaji makini kabisa wa jukwaa hili akiwa Pro haki mwenzetu tumetoka nae mbali sana,akichangia kutokea Nairobi akiongozwa na facts na history.
Wewe ni pro haki na pro Russia katika thread hii,mchango wako ni mkubwa mno na hutasahaulika.
Aaah mwamba tumetoka mbali sana,mmefanya kazi kubwa sana ya kutoa Elimu adimu,watu wengi sana walikua hawajui vitu vingi,walidhani west ndio Kila kitu.Am much humbled my buddy
Kuwa na Rais wa hivi ni hasara sana⚡️Key Statements from President Zelensky’s Briefing:
🔴Russian forces are trying to encircle Ukrainian troops that took part in the Kursk operation. They are now attempting this within Sumy oblast. However, no encirclement has taken place so far;
🔴The €150 billion defense package planned by the EU is intended to strengthen European defense, including Ukraine as an equal component;
🔴Ukraine is preparing to formalize its security guarantees and reconstruction plans on paper;
🔴The war can be stopped, but only by remaining strong and maintaining pressure on Russia;
🔴Ukraine hopes for security guarantees from Europe, the U.S., and other willing partners;
🔴NATO membership decisions should depend on NATO allies, not Russia;
🔴Ukraine’s military strength is recognized by its partners as essential for the security of both Ukraine and Europe;
🔴Ukraine cannot sustain such a military force alone—all partners engaged in discussions should contribute financially;
🔴At the current pace, Ukraine and Europe can be strengthened within five years, but Ukraine believes it can be done in three years with accelerated efforts;
🔴Russia seeks a stronger position before entering a ceasefire agreement;
🔴Zelensky describes the ceasefire decision as an allied one, while the U.S. presents itself as a mediator;
🔴If Russia refuses a ceasefire, it is rejecting not just Ukraine, but also the U.S. and Trump;
🔴A monitoring mission involving the U.S. and European partners is entirely feasible.
Taifa la ukraine liliingia hasara kubwa sana kua na Rais huyu.Kuwa na Rais wa hivi ni hasara sana
Wote ni mwendo wa ngiri mkia juuHivi yule mkenya 254 yupo humu bado. Nakumbuka yeye, My Son Drink Water,
The Sunk Cost Fallacy na Kipanya walikuwa na ofisi pale Kiev
Ewaaaa huyo huyo. Bila kuwasahau #Digaller na #Detective J . Sijui kama mnawakumbuka hawa membersZelensk ni muuwaji wa ndugu zake.ameamua kuwapeleka Kuks ndugu zake kwa tamaa ya kupiga pesa peke yake.
😂😂😂😂 anaitwa T-14 Armata.sasa ivi analima matikiti maji kule kibiti.
Jamaa itakuwa wamemnyofoa ubongo anatumia urojo kufikiria. Mpaka Jana bado anakwambia Kursk inaweza kuwa bargaining chip ya wao kurudishiwa occupied territories. Mpaka Jana bado anasema jeshi lake Kursk linaendelea kutimiza majukum kama kawaida!Taifa la ukraine liliingia hasara kubwa sana kua na Rais huyu.
Kwa ujinga wake amesababisha Ukraine
-imepoteza eneo kubwa sana,haitakua kama zamani kieneo,eneo lenye kilomo, madini,viwanda na watu wenye uwezo wa kizalisha.
-Imepoteza nusu ya wanajeshi na silaha zake
-Imepoteza raia wake wengi sana,nguvu kazi ya taifa,
-Raia wengi wamekimbia nchi,nguvu kazi ya taifa.
-miundombinu imeharibiwa,
-viwqnda muhimu vimepotea,
Siyo mtu wa Putin, ila anaelewa uwezo wa Russia kijeshi na misimamo ya viongozi wake.Trump ni mtu wa Putin anajaribu kuwadanganya ukraine wasarrende ila hakuna wa kuwaweza
Hapana sio kweli Russia anaomba msaada north koreaSiyo mtu wa Putin, ila anaelewa uwezo wa Russia kijeshi na misimamo ya viongozi wake.
Endelea kujifariji.Pamoja na back up ya trump warusi wanazidi kuchinjwa tu, hii ni Jana 🏃🏃View attachment 3271140
Hii michezo ya kuwasubirisha wageni wake anaipenda Sana PUTIN,⚡Putin made Trump's envoy Witkoff wait 8 hours while he held a meeting with Lukashenko in Moscow.
Yule Mkenya mk254 atakua kajificha kwenye vichochoro vya kibera😅Hivi yule mkenya 254 yupo humu bado. Nakumbuka yeye, My Son Drink Water,
The Sunk Cost Fallacy na Kipanya walikuwa na ofisi pale Kiev
Kuna yule SIKIRIMIMIMASIKINI sijui Yuko wapiIngawa Kuna miamba imepoteza humu lkn sio Kwa kukomboa.
Galip Qrl na Huk Luk,sijui wako wapi Hawa jamaa bila kumsahau Bwana Utamu na wengine wengi sana.