ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Ww jamaa unaelekea kuwa kichaa.
Ww jamaa unaelekea kuwa kichaa.
Cc. T14 ArmataShhhh...!!!! Ukraine is winning, Russia is using DIsh washers and washing machines chips from west , shovels and spade and are running out of food and arms
Dah !Wengine tutawapeleka Nyachina karibu na Mlima Nkala kata ya Nyantakubwa

,🤣🤣🤣🤣🤣😂😅😅😂😂😅zilikua ni ndoto za Alinacha.
Trump ni mtu wa Putin anajaribu kuwadanganya ukraine wasarrende ila hakuna wa kuwawezaNajaribu kuwaza ingekua vipi Askari wa Urusi 50,000 ndio wangekua wamezingirwa na kuzidiwa na majeshi ya UkraiNATO katika uwanja wa vita,je Trump ama Viongozi wa Nchi za west wangeomba wasiuwawe? Kama jinsi Sasa hivi Trump anavyomuomba Putin asiwauwe hao NATO waliozungukwa kursk?
US President Donald Trump’s call to spare the lives of the “thousands of Ukrainian troops” who are “completely surrounded by the Russian military.”
“This would be a horrible massacre, one not seen since World War II,” he commented on Truth Social.
Asante kwa kunisaidia takwimu mujarabu
😂😂😂 Vilianzia Crimea na vitaishia CrimeaShhhh...!!!! Ukraine is winning, Russia is using DIsh washers and washing machines chips from west , shovels and spade and are running out of food and arms
Wakati huu uzi unaanza kuna mwamba alikuwa anachambua silaha kuanzia capacity of production, range, ability, strength, weakness mpaka maneuverability utadhani yeye ni head of CIA mpaka mwili unasisimka. Siku hz nasikia hana hamu na Russia amejikita kwenye kilimo.Sasa hivi jukwaa hili ni Pro Russia TU ndio wanatamba.
Wale wazee wa maelezo meeeengi wametoweka kuelekea kusikojulikana.
waliwalisha watu wengi sana matango pori Kwa vile wanaojua Kila aina ya silaha.
Kuna watu waliaminishwa kua Urusi ni masikini,dhaifu ,jeshi dhaifu,silaha Duni,wanajeshi wa Russia hawana nidhamu,Urusi nchi masikini,Haina high tech,hawawezi kupigana muda mrefu,Urusi ni supa pawa wa mchongo na Kila aina ya blabla.lkn watu wana msemo,usemao kua, "muda ni mwalimu mzuri",hatimae muda umesema.
YERIKO NYERERE?Wakati huu uzi unaanza kuna mwamba alikuwa anachambua silaha kuanzia capacity of production, range, ability, strength, weakness mpaka maneuverability utadhani yeye ni head of CIA mpaka mwili unasisimka. Siku hz nasikia hana hamu na Russia amejikita kwenye kilimo.
Acha kabisa ndugu yangu.Wakati huu uzi unaanza kuna mwamba alikuwa anachambua silaha kuanzia capacity of production, range, ability, strength, weakness mpaka maneuverability utadhani yeye ni head of CIA mpaka mwili unasisimka. Siku hz nasikia hana hamu na Russia amejikita kwenye kilimo.
Hapana Yeriko ni Pro Russia.YERIKO NYERERE?