LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hayo yote amekuwa akiyaoata Toka vita vianze na hakuna jipya,huko Kursk umesikia lakini?🤣
Ukraine ameshapata medali zake muhimu alizokuwa anafukuzia kwa udi na uvumba

1.resume flowing of military aid

2.intelligence sharing from USA

3.Access to satellite images

Kwa Ukraine hata akipigana miaka 10 hii si tatizo kwake, sanasana urusi atazidi kupoteza ushawishi kama alivofurushwa huko syria
 
Hili jukwaa linakuzidi uwezo. Unatumia lugha yenye kuleta kinyaa bila sababu yoyote. Nadhani uandishi wa namna hii unatokana na malezi mabovu uliyopata utotoni. Nadhani lugha kama hiii ilikuwa ni sehemu ya maisha yako. Fanya jitihada ujikomboe. Jukwaa hili ni la great thinkers wenye hoja za maana, na si kutuletea lugha za uwanja wa fisi.
Ukiweza hii kitu... utaendelea sana kwenye maisha yako! 'Ignore and override'
 
1741987705228.png
 
Sasa hivi jukwaa hili ni Pro Russia TU ndio wanatamba.
Wale wazee wa maelezo meeeengi wametoweka kuelekea kusikojulikana.

waliwalisha watu wengi sana matango pori Kwa vile wanaojua Kila aina ya silaha.
Kuna watu waliaminishwa kua Urusi ni masikini,dhaifu ,jeshi dhaifu,silaha Duni,wanajeshi wa Russia hawana nidhamu,Urusi nchi masikini,Haina high tech,hawawezi kupigana muda mrefu,Urusi ni supa pawa wa mchongo na Kila aina ya blabla.lkn watu wana msemo,usemao kua, "muda ni mwalimu mzuri",hatimae muda umesema.
 
Medvedev hua hacheki na wowote.

Ukrainian troops in Kursk Region will be destroyed, if refuse to surrender — Medvedev​

MOSCOW, March 14. /TASS/. The Ukrainian soldiers in the Kursk region will be ruthlessly destroyed, if they refuse to lay down their arms, said Dmitry Medvedev, Deputy Chairman of the Russian Security Council.
Earlier, Russian President Vladimir Putin told the Security Council that Ukrainian militants who lay down their weapons near Kursk would be guaranteed life and decent treatment.
"This is a very humane approach by our country, but for the Ukrainian Nazis, there is also a flip side—should they refuse to lay down arms, they will all be systematically and mercilessly eliminated," he wrote in his Telegram channel.
He noted that the coming hours will show whether the Kiev regime will use the chance to save its soldiers.

On March 13, Putin said Russia was in full control of the situation in the Kursk Region, and a group of Ukrainian solders was in complete isolation. On March 12, he visited one of the command posts of the Kursk group of the Russian army.
A massive attack by the Ukrainian army on the Kursk Region began in August, 2024. According to the General Staff of the Russian army, more than 86% of the area occupied by the Ukrainian army has already been liberated. Residents are being evacuated from the liberated Sudzha. In some sections of the border, the Russian army entered the Sumy Region. According to the Russian Defense Ministry, since the beginning of hostilities in the Kursk area, the enemy has lost more than 67,000 troops.
 
Oh maskiini poleni sana Ukraine Kwa kudanganywa na kujaribu kupigana na kuingia katika Moja ya nchi zenye ardhi ya moto kuliko zote duniani. Ardhi ya warusi. Hapo Russia walishindwa wafaransa baadae wajerumani na Leo pia Ukraine wataumia vibaya. Ila nwape pia hongera Kwa moyo wa kujaribu kuingia ndani ya mdomo wa mamba Kwa kufikiri mamba ni Mzee hawezi kutafuna Tena
Nb..
Zelensky waombee msamaha vijana warudi nyumbani salama hata kama ni mwakani uhai hauuzwi. Watapigana hawatashinda
 
Back
Top Bottom