Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Huyu Rais huenda Damu za watu zimeanza kumtesa.Jamaa itakuwa wamemnyofoa ubongo anatumia urojo kufikiria. Mpaka Jana bado anakwambia Kursk inaweza kuwa bargaining chip ya wao kurudishiwa occupied territories. Mpaka Jana bado anasema jeshi lake Kursk linaendelea kutimiza majukum kama kawaida!
Hivi huyu mtu anamiliki ubongo kweli?
Jamaa alikua ana ma breaking news motomoto kweli.Kuna yule SIKIRIMIMIMASIKINI sijui Yuko wapi
Ila kp kipanya44 ni jeshi la mtu mmoja, kabaki anapambana peke yake wenzie wote wameingia mitini.
Jamaa hakati tamaa, bado anaokoteza vi- news uchwara vya west
Muongo kishenzi yule jamaa,anaweka vu-terminology vya kizusha afu anajiita mchambuzi wa mambo ya kijeshi.😃😃😃😃dah ila huyu jamaa siku hizi kalikimbia jukwaa.
Anaitwa mzee wa michuma michumaMuongo kishenzi yule jamaa,anaweka vu-terminology vya kizusha afu anajiita mchambuzi wa mambo ya kijeshi.
Kwanza wameshindwa kufikia lengo lao.Wakuu naomba msaada.
Kwanini NATO USA na Zele boy wanahimiza sana ceasefire?
Mkuu unataka kusema kuwa Russia ndio superpower wa ukweli kwa uwezo wake aliouonesha kwa kupigana na NATO kuliko yule superpower wa mchongo tulioaminishwa? Siku zote?Kwanza wameshindwa kufikia lengo lao.
Pili, US anataka angalau aokote madini kidogo ambayo hayajachukuliwa na Russia.
Tatu, wanaogopa kuonekana wameshindwa na ndo maana mzigo wanausukuma kwa Zele boy
Nne, wameona uwezo wa Russia ni mkubwa sana kuliko wao hivyo wanaogopa aibu isiwapate.
aisee kipanya ni mtu kweli kweli. na anaonyesha ni msiri haswaaa. laa awe mtu maalum wa kuchangamsha uzi.Kwenye maisha hakikisha unarafiki aina ya kp kipanya44 mtu ambaye yuko tayari kuwa upande wako bila kujali hali unayopitia
Russia ni super power wa ukweli, wengine ni mbwembwe tuMkuu unataka kusema kuwa Russia ndio superpower wa ukweli kwa uwezo wake aliouonesha kwa kupigana na NATO kuliko yule superpower wa mchongo tulioaminishwa? Siku zote?
Kwa hiyo watamshambulia huyu mwanachama wa NATO?Pia Naryshkin kamwambia Ratcliffe kwamba Russia waona kila kinoendelea pale Poland kuhusiana na mzigo unoingia kutoka Marekani.