Mpaka Sasa zaidi ya warusi laki 9 wamechinjwa huko Ukraine.., lakini hakuna namna zaidi ya kuendelea tu kutii amriDah sometime ujeshi nao unakuwaga mgumu sana. Yaani unaamuriwa uingie ndani ya mpaka wa Russia na upigane na unakubali.
Updates: Russia na Ukraine wakubaliana kusitisha mashambulizi Katika Bahari Nyeusi.
View attachment 3283009
Meli ya Russia ikipita katika mfereji wa Bosphorus nchini Uturuki kuelekea bahari nyeusi ikiongozwa na mitumbwi au tugboats. Picha na Reuters.
Russia na Ukraine wamefikia makubaliano kusitisha mashambulizi Katika Bahari nyeusi na makubaliano hayo ni kama yafuatavyo:
1. Marekani, Ukraine na Russia wamekubaliana kwamba meli zote zipite Katika Bahari hiyo bila kushambuliwa na kusipitishwe meli zenye kubeba silaha.
2. Marekani na Russia wamekubaliana kushirikiana Pamoja kuhakikisha hakuna mashambulizi yatayoelekzwa kwenye vyanzo vya nishati ya umeme.
3. Marekani itaisaidia Russia kuweza kurudisha soko lake la mbolea na mazao ya nafaka Katika soko la Dunia.
4. Marekani pia itaisaidia Russia kuweza kupeleka meli zake Katika bandari yoyote Duniani bila vizuizi na kuondoa vikwazo vote vilivyowekwa dhidi ya meli zake kupita Katika njia rasmi.
Hapana, Russia ndie anaweka masharti ambayo Trump ampasia Zele na Zele hana jinsi bali kukubali.Hii Dunia inakwenda Kasi sana aisee.,Leo hii Russia na anamheshimu Ukraine kama mkubwa mwenzie.., mwanzoni mwa uvamizi akina macroni na viongozi wengine wa ulaya walitolewa nje.., Putin alikuwa hataki kusikiliza kitu!
🔴 The #UnitedStates said on Tuesday it had secured separate agreements with #Ukraine and #Russia to ensure safe navigation in the #BlackSea and to ban strikes against their respective energy facilities.
🚢 Ukraine has called for more talks to settle the "details" of the agreement announced by Washington and warned the movement of Russian #warships would violate the deal.
Read more: https://go.france24.com/rcc
Mkuu unapotosha kama ilivyokawaida yako. Mpaka sasa hakuna mazungumzo kati ya Russia-Ukraine, wala Russia na Ukraine hawajakaa meza moja ya mazungumzo bali mazungumzo ni kati ya Russia-US na Ukraine-US, hapo US ni middleman kati ya ndugu wasioweza kukaa meza moja.Hii Dunia inakwenda Kasi sana aisee.,Leo hii Russia na anamheshimu Ukraine kama mkubwa mwenzie.., mwanzoni mwa uvamizi akina macroni na viongozi wengine wa ulaya walitolewa nje.., Putin alikuwa hataki kusikiliza kitu!
🔴 The #UnitedStates said on Tuesday it had secured separate agreements with #Ukraine and #Russia to ensure safe navigation in the #BlackSea and to ban strikes against their respective energy facilities.
🚢 Ukraine has called for more talks to settle the "details" of the agreement announced by Washington and warned the movement of Russian #warships would violate the deal.
Read more: https://go.france24.com/rcc
Ametumika bila kijijua,I think Zele might be the most stupid prezidaa ever
Usimfananishe Ibrahim traole na vitu muozo mkuuKama Ibrahim Traole TU ameweza kujisimamia,yeye ameshindwa Nini.
Katika Dunia maisha ya kujipendekeza sio maisha.
Updates: Russia na Ukraine wakubaliana kusitisha mashambulizi Katika Bahari Nyeusi.
View attachment 3283009
Meli ya Russia ikipita katika mfereji wa Bosphorus nchini Uturuki kuelekea bahari nyeusi ikiongozwa na mitumbwi au tugboats. Picha na Reuters.
Russia na Ukraine wamefikia makubaliano kusitisha mashambulizi Katika Bahari nyeusi na makubaliano hayo ni kama yafuatavyo:
1. Marekani, Ukraine na Russia wamekubaliana kwamba meli zote zipite Katika Bahari hiyo bila kushambuliwa na kusipitishwe meli zenye kubeba silaha.
2. Marekani na Russia wamekubaliana kushirikiana Pamoja kuhakikisha hakuna mashambulizi yatayoelekzwa kwenye vyanzo vya nishati ya umeme.
3. Marekani itaisaidia Russia kuweza kurudisha soko lake la mbolea na mazao ya nafaka Katika soko la Dunia.
4. Marekani pia itaisaidia Russia kuweza kupeleka meli zake Katika bandari yoyote Duniani bila vizuizi na kuondoa vikwazo vote vilivyowekwa dhidi ya meli zake kupita Katika njia rasmi.
Africa needs many more leaders of Traore's caliber.⚡Emmanuel Macron: "We need to strenghten our friendship with Captain Ibrahim Traore, President of Burkina Faso, as we convince him to allow our Military bases in his country"
Ibrahim Traore: "But you're already friends with USA, Britain, Brazil, Canada. Do you have any Military bases in those countries?"
Mkuu unapotosha kama ilivyokawaida yako. Mpaka sasa hakuna mazungumzo kati ya Russia-Ukraine, wala Russia na Ukraine hawajakaa meza moja ya mazungumzo bali mazungumzo ni kati ya Russia-US na Ukraine-US, hapo US ni middleman kati ya ndugu wasioweza kukaa meza moja.
Mpaka sasa matakwa au mapendekezo ya Ukraine hayajafanyiwa kazi na alishaambiwa hayawezekaniki. Matakwa makubwa zaidi ni 2 ambayo ni
1. Ukraine ilirusiwe kujiunga NATO au ipewe security guarantee
2. Ukraine irudishiwe maeneo yake yaliyoporwa.
Wakati wewe unafurahia kwamba Ukraine imesikilizwa kama mkubwa, Zelensky anayalalamikia makubaliano haya. Sasa sijui tumsikilize nani, kati yako na Zelensky. Na ni nani mwenye uelewa mzuri juu ya mazungumzo na makubaliano yaliyoafikiwa kati yako na Zelensky
nachokifaham ni kwamba kumekua na tetes kwamba moja ya shart la.Mrusi ni kwamba wanahitaj Rais wa kisheria hivyo zelesky aitishe uchaguz na kuna tetes mwamamama Yulia matvienko anapasha mikono .jana lavrov kasema zelesky days are numbered. ukunbuke hili li jamaa la fegi sio kama yanakuwa yanajiongelea.yanakua na taarifa kamil kabisaMkuu unapotosha kama ilivyokawaida yako. Mpaka sasa hakuna mazungumzo kati ya Russia-Ukraine, wala Russia na Ukraine hawajakaa meza moja ya mazungumzo bali mazungumzo ni kati ya Russia-US na Ukraine-US, hapo US ni middleman kati ya ndugu wasioweza kukaa meza moja.
Mpaka sasa matakwa au mapendekezo ya Ukraine hayajafanyiwa kazi na alishaambiwa hayawezekaniki. Matakwa makubwa zaidi ni 2 ambayo ni
1. Ukraine ilirusiwe kujiunga NATO au ipewe security guarantee
2. Ukraine irudishiwe maeneo yake yaliyoporwa.
Wakati wewe unafurahia kwamba Ukraine imesikilizwa kama mkubwa, Zelensky anayalalamikia makubaliano haya. Sasa sijui tumsikilize nani, kati yako na Zelensky. Na ni nani mwenye uelewa mzuri juu ya mazungumzo na makubaliano yaliyoafikiwa kati yako na Zelensky
Bora niache kazi nikimbie kuliko kukubali ujinga kama uwo.yani unajipeleka kwenye kifoDah sometime ujeshi nao unakuwaga mgumu sana. Yaani unaamuriwa uingie ndani ya mpaka wa Russia na upigane na unakubali.
unatakiwa uache kazi kabla ya amri, amri ikishatoka wewe ni kwenda au uuaweBora niache kazi nikimbie kuliko kukubali ujinga kama uwo.yani unajipeleka kwenye kifo