Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
1. Hakuna tena kumfokea Putin"Dear President Zelenskyy, Europe will always stand by Ukraine in the pursuit of peace.
You can count on our support at the negotiating table to achieve a just and lasting peace.
Today, we also discussed the steps Ukraine is taking to earn its place in our family of nations,"
- Ursula von der Leyen, President of the EU Commission
Nitakuwepowote hawa wameshathibitisha kuhudhuria kwenye Victory Parade - May 9
View attachment 3318687
Leta ushahidi zaidi.hapo nyuma RUSSIA walikuwa wanakanusha uwepo wa wanajeshi kutoka KOREA YA KASKAZINI,
Wakorea gani unaowasema au awa wanaofundishwa na wakufunzi wa Urusi.vijana wa Kim wamekuja kufundishwa mafunzo ya kijeshi ili wapate uzoefu wa namna ya kukabiliana na majeshi ya Nato na Marekani.hapo nyuma RUSSIA walikuwa wanakanusha uwepo wa wanajeshi kutoka KOREA YA KASKAZINI,
Hapo juzi bwana GERASIMOV alipokuwa anawasilisha ripoti ya kukamilika kwa operesheni ya kuwaondoa wavamizi mitaa ya KURSK alisikika akitoa pongezi kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini kwa kushiriki kwao bega kwa bega kwenye operesheni hiyo.
leo hii PUTIN pia ametoa pongezi kwa wanajeshi wa DPRK.
Wataalamu hii ina maana gani,
kwa nini iwe wakati huu ambapo mission imekwisha
=========
Putin praises ‘heroism, dedication’ of DRPK troops for helping defeat Ukrainian forces in Kursk Region
He said they 'defended our Motherland as their own... covering themselves with unfading glory.'
Mafunzo ya kijeshi ni Urusi, Q-ba ya Fidel na Vietnam. Wengine wote ni mazoezi ya viungo tu.Vijana wa Kiduku washapokea mafunzo na uzoefu wa kutosha uwanja wa vita.sasa ajichanganye mtu 🤣🤣🤣
View: https://x.com/MyLordBebo/status/1916789768706232794?t=ZZomvl9u73fsRaUMl4jPQg&s=19