MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Huu utamalizwa na china tu, Wala hakuhitajiki global attention.WAdau wa vita kuna mgogoro mpya.
THAILAND - CAMBODIA
kazi kwetu
naamHuu utamalizwa na china tu, Wala hakuhitajiki global attention.
Ila ni Bora Thailand alivyo lianzisha kwa Cambodia, kwa nini?
Kwa sababu siraha za vikundi vya waasi vya kikabila nyingi zinapitia Cambodia .
Hivyo kufunga mpaka ni hatua nzuri, Sasa wapambane na njia za panya kuwadhibiti
Waturuki wanafiki sio wa kuwaamini.Russia and Ukraine end Istanbul peace talks after about 34 minutes — TASS
😄😄
Habari kama izi uwa zinapendeza sana.mkataba wa madini kati ya Marekani na Ukraine unatakiwa uwe mkataba ewa,labda wakachimbie hayo madini Marekani
EU wamemkatia misaada Zelensky kutokana na tuhuma za kuvunjilia mbali Kitengo cha Rushwa cha Ukraine.Naona sasa west wamemchoka Zelensky na wanataka kumtoa kwa njia ya maandamano, matumizi yake yameisha.
Maana ofisi ya NABU aliyoivunja ilikuwa mkono wa west.
Structure ya ile ofisi kisheria kiliwekwa kipengele cha kutoa taarifa kwa mabalozi wa NATO
Hii ofisi ilianzishwa 2015 baada ya colour revolution
Amevirudisha (NABU na SAPU) tayari ila kwa kubend baadhi ya kanuni.EU wamemkatia misaada Zelensky kutokana na tuhuma za kuvunjilia mbali Kitengo cha Rushwa cha Ukraine.