mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Hizo fiber wanazitumia kuharibu jammers, maana NATO wana jammers hivyo wireless drones zikiingia eneo ambako jammer ilipo inashindwa kuwasiliana na operator, hivyo wanachofanya wanazifunga fiber, drone inaruka imefungwa fiber hivyo haitumii radio waves ku transmit control signals, na hiko kiwaya ndio link ya mawasiliano...Warusi wanazipenda izi kwa sababu ni gharama ndogo sana kuzitengeneza na pia utengenezaji wake hauchukui muda ila kwa sasa drone hatari sana ambazo wanatengeneza Warusi ni Lancet na Fiber optical drone.izi kwa sasa ni balaa jingine
Ndio maana wachambuzi wanakuambia stealth is scam, hata siku ile wanataka kupitisha ile B-2 kwenye anga la Iran kufanya mashambulizi, siku hio ndege za Israel zilikuwa zinashambulia non stop, hadi tukawa tunajiuliza kuna nini leo?Kwanza
Unatakiwa kujiuliza B-2 Spirit (stealth bomber) wanasema haiyonekani kwenye Rada ila ikienda kwenye misheni inalindwa na F-22 raptor na jamming aircraft.
Sasa jiulize mwenyewe ina maana gani iyo ya ndege kuwa Stealth?.
Marekani kwenye movie ni hatari ila kwenye uhalisia kiukweli ana mapumbufu mengi sana katika utengenezaji wa silaha zake
We jamaa ni mgeni humu? Mbona unaanza kubishana na chizi freshi?Samahani, jaribu kutumia akili hata ya kuvukia barabara na usipende kubishana hata kama ukweli upo wazi.Sifahamu kama unalipwa hata kwa kuandika pumba.
Ukweli ni huu: Huko kwenye battle field Ukraine ana hali mbaya sana na ndiye anayeomba vita visimame na siyo Urusi. Nafikiri Trump siyo mjinga wa kumuita Putin kwanza coz yeye ndiye mwenye kete kubwa hapo mezani kwa sasa.
Russian troops advance in Ukraine ahead of Trump-Putin peace summit
August 12, 2025
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
Russian breach sparks alarm on Ukraine’s eastern front
Russian breach sparks alarm on Ukraine’s eastern front
Sudden advance beyond Ukrainian frontline in Donetsk region comes ahead of Trump-Putin summit in Alaskawww.ft.com
Russian troops make sudden gains in 'gift to Putin' before Trump summit
Tuesday 12 August 2025
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Ukraine's military says it engaged in 'difficult combat' around Pokrovsk
Tuesday 12 August 2025
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Ukraine may abandon Pokrovsk if Russian forces close 15km gap
Swali: Kwa kuufuatilia huu mgogoro unahisi ni kwa nini nchi za kimagharibi zinataka vita visimame kwa sasa na siyo Urusi??
Unaikumbuka counter offensive ya Ukraine ya mwaka 2022, Urusi aliomba vita visimame coz alizidiwa, Ukraine plus Magharibi walikataa coz waliona ushindi upo.
Ukraine counter-offensive: Russian forces retreat as Ukraine takes key towns
Ukraine counter-offensive: Russian forces retreat as Ukraine takes key towns
The Ukrainian advances - if held - would be the most significant since Russia withdrew from near Kyiv in April.www.bbc.com
Ukraine war: We've retaken 6,000 sq km from Russia, says Zelensky
President Volodymyr Zelensky says the gains were made in the east and south during a swift counter-offensive.www.bbc.com
Ukraine war: Russia pushed back from Kharkiv - report from front line
Correspondent Quentin Sommerville and cameraman Darren Conway are with Ukrainian troops as they advance.www.bbc.com
Ukraine war: What will Russia's losses mean for Putin?
Questions are being asked as even state media reported the "tough" week, says the BBC's Russia editor.www.bbc.com
Hoja ya kufa: Vita yoyote, wanajeshi lazima wafe plus kuharibika kwa vifaa.Iwe taifa dogo ama kubwa madhara ni lazima.Hakuna maajabu wala muujiza.
Nb: Nimejaribu kukuelimisha plus kulekezana na siyo kubishana. Ila hii ID ni kama ya kp kipanya44
Hii j10 watu waliibeza wakazani ni cm za techno au itel 😆J-10 imeonyesha uwezo wake kwenye India vs Pakistan war. Imendoka na ndege za mirrage na lafael
Huyo atakua mgeni humu 😆We jamaa ni mgeni humu? Mbona unaanza kubishana na chizi freshi?
Mchina kajipanga hapo watu walijua ni kama Oppo au vivoHii j10 watu waliibeza wakazani ni cm za techno au itel 😆
Mkuu kuna ile Lancet nayo umehisahau kiukweli ile mashinde imeondoka na Leopard na Abram tank nyingi sana kuliko maelezo, pale Warusi wametisha sana.Hizo fiber wanazitumia kuharibu jammers, maana NATO wana jammers hivyo wireless drones zikiingia eneo ambako jammer ilipo inashindwa kuwasiliana na operator, hivyo wanachofanya wanazifunga fiber, drone inaruka imefungwa fiber hivyo haitumii radio waves ku transmit control signals, na hiko kiwaya ndio link ya mawasiliano...
Hizo fiber ni nzuri kwa kuharibu jammers... lakini binafsi sidhani kama hizo drones ni bora zaidi kuliko zingine, maana haziwezi kuruka umbali mrefu sana... ikihitaji kuruka umbali mrefu sana inabidi ibebe pia fiber yenye urefu mkubwa kitu kitakacho athiri perfomance ya drone... lakini kwenye suala la electronic warfare ni drone nzuri sana...
🤣🤣🤣🤣 Mipasho ya motomoto , ila huyu mzee akili zake sijui anaachaga wapi muda mwingine
Hapo hakuna hoja!! hapo mnadanganyana tu!!Huyo hana ubavu wa kujibu hoja zilizo mkini